sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu inayonifanya nitake Taifa Stars ifungwe na Morocco

    Katika kipindi ambacho Taifa linapitia majonzi kwa familia nyingi kupoteza Ndugu zao Kwa matukio ya tarehe 29 Oktoba 2025, na kuacha mayatima wengi bila hata mayatima Hawa kutokuwa wazazi wao wamezikwa wapi, na wengine waliouwawa kufuatwa majumbani kuchukuliwa na kuuwawa pasipo kushiriki...
  2. JamiiForums Tanzania China ndio Sababu ya Maduro kutekwa na Marekani, Mchina ni tishio kwa Mmarekani

    Namna Marekani alivyocheza karata zake kwa Venezuela ni kama Demu mkali ale vitu vyako alafu kisha hakukatae badae unamuona anajibebisha kwa mwamba mwingine ambaye wewe ni kama mshindani wake wa muda mrefu, unaamua kumteka demu na kuondoka nae kwa nguvu hili awe na wewe kwa lazima. Hakuna...
  3. JamiiForums Tanzania Hakuna sababu ya kufanya maridhiano na watu ambao walijipanga kuvuruga amani na uchaguzi

    Hakuna sababu ya kuunda tume kufanya maridhiano na watu ambao walijipanga Kwa lengo la kuvuruga amani ya nchi Kuvuruga uchaguzi Kuharibu biashara za watu Kuharibu miundombinu ya serikali Kuliletea Taifa letu sifa mbaya Unakaaje meza Moja na watu kama hao ambao hawana tofauti na wahaini...
  4. JamiiForums Tanzania Nini sababu za wewe kuwa mpweke ?

    Miaka ya hivi karibuni asilimia kubwa watu wengi hawana furaha na wana upweke kupita kiasi . na mimi nikiwa mmojawapo Je ni sababu zipi zinazopelekea watu kuwa na upweke na tufanye vitu gani tuweze kuondokana na upweke ????
  5. JamiiForums Tanzania Ushawahi kupigwa ban na WhatsApp bila sababu ya msingi?

    Hii December nimepigwa ban mara sita Nimetumia number mpya hiyo hiyo ikapigwa ban Nimeadd member kwenye group nikapigwa ban Nimetuma text kwa chatgpt nikapigwa ban Kurud hiv vitu vikawa vinarecover Kutuma text kidogo ti ban Ban ban Christmas ban Je wewe hii hali ishawahi kukutokea? Ni...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM ilishawahi kumfanyia figisu Said Salim Bakhresa sababu alidhamini CUF

    Miaka ya 90 ukisikia chama cha CUF kilikuwa moto kwa CCM. Kafu ilifanyiwa figisu sana na polisi,wanachama kununuliwa,propaganda ya udini na mpaka kutishia matajiri. Said Salim Bakhresa alikuwa mzamini mkubwa wa mchango pesa kwa CUF leo CCM wakichangiwa sawa ila wengine wakichangiwa ni wahaini...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania tumelaaniwa. Eti Treni inasitisha Safari sababu ya Mvua. Mvua zipi?

    Yaani Safari zinasitishwa kabisa na watu wana amani. Sababu wao wanatumia ndege. Watu wanajenga reli hawakujua hii sehemu gani reli ipite juu au chini? Hawakujua Nchi yetu maji yanajaa mabondeni? Eti leo Reli inapita ndani ya maji kisa mvua imenyesha. Mbona pale Buguruni reli inapita juu...
  8. JamiiForums Tanzania Nguvu ya uwanaume inapotea kwenye jamii, wanaume tufanyaje?

    Wakuu habari za jioni hii. Hili ni andiko huru kwa watu huru, wa jinsia zote, na mlengo ni kuwekana huru kifikra. Mwanaume tokea Karne za nyuma anafahamika kuwa na sifa za uongozi kwenye Dunia, kuongoza nchi,kuongoza jamii na familia. Kitabu Cha mwanzo kinaelezea vizuri role ya mwanaume...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa sababu ya utawala mbaya wa CCM kila atakayefurahi Taifa stars ikifungwa weka comment hapa

    Utekaji, uuaji na ufisadi unaokwamisha maendeleo ya nchi yetu yameifanya tuichukie CCM. Taifa Stars wapigwe tu Wapigwe tu
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kila Mtanzania anajua wazi kuwa hakuna chama kilichokimbia uchaguzi kwa sababu ya wafadhili wa nje

    Sidhani kama Chadema walikimbia uchaguzi kwa shinikizo la watu wa nje. Hii sio kweli kabisa. Takwa kubwa lilikuwa ni kupata katiba mpya ambayo ingeweza kuleta mazingira ya kutokuwa na udanganyifu kwenye uchaguzi. Hili la kueneza maneno kuwa wanalipiwa hela kwenye mahotel huko nje sio hoja...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania ni shamba la bibi ndio maana taasisi na mabenki ya kila aina yamejazana kwa sababu ya riba soma hapa

    Nilikuwa naambiwa na jamaa mmoja ni raia wa nje kuwa riba ya mikopo kwa ina asilimia ndogo ukilinganisha hapa. --- 🏦 1) Riba ya Mabenki Kuu (Central Bank / Policy Rates) – Sera za Riba Hizi ni viwango ambavyo benki kuu za nchi zinatumia kudhibiti uchumi. 🇪🇺 Uropa (Eurozone) European...
  12. JamiiForums Tanzania Mwigulu hauziki na hatoshi kwenye uwaziri mkuu, ila aliteuiwa kwa sababu zifuatazo

    1. Aliemteua mwenyewe pia hatoshi kwenye hicho cheo. 2. Mwigulu ni bingwa wa kujipendekeza na kulamba viatu. 3. Mwigulu ni "yes man", hana gut ya kuhoji maelekezo yoyote, na viongozi ambao ni incompitance wanawapenda "yes men" kwa maana hawawachalenge kwenye maamuzi yoyote. Hawa ndio...
  13. JamiiForums Tanzania Sababu kuu 2 za kutumia hii App kama unataka kuanza Ufugaji wa Kuku mwaka 2026

    Kama wewe ndo umemaliza chuo au mwaka kesho unataka kuanza ufugaji wa Kuku Kwa urahisi,hii ni kwa ajili yako Kama unataka kuanza Kufuga kuku kwa urahisi,bila kuhangaika kujua pa kuanzia, bila kuteseka kupata bajeti halisi, na bila stress ya kufuatilia kila kitu manual, basi hivi ndivyo unaweza...
  14. JamiiForums Tanzania Sisi bado tupo tu, wakifungua nchi sisi hao barabarani sisi hatujaondoka wala haibadilishi chochote lazima sababu kuu za maandamano zitatuliwe kwanza

    Sisi bado tupo tu, wakifungua nchi sisi hao barabarani sisi hatujaondoka wala haibadilishi chochote lazima sababu kuu za maandamano zitatuliwe kwanza. Waambieni sisi tupo sana
  15. JamiiForums Tanzania Siwachukii Gen Z, sababu ya kutokutaka kuwaunga mkono ni kwasababu harakati zao zina viashiria vya kupoteza maisha

    Siwachukii Gen Z, sababu ya kutokutaka kuwaunga mkono ni kwasababu harakati zao zina viashiria vya kupoteza maisha Napenda vijana waishi na sio wafe Na hii ndiyo sababu ya kutokutaka kuwaunga mkono Nikiwaunga mkono nitakuwa nimewatuma shimoni jambo ambalo litaniingiza kwenye kesi ya mauwaji...
  16. JamiiForums Tanzania Idadi kubwa ya Wananchi inalinda wanafamilia pamoja na mali zake sababu kubwa iliyopelekea kupuuzwa kwa maandamano

    Baada ya Wananchi kuumwa na nyoka baada ya kupoteza wanafanilia pamoja na mali zao, wamebadilisha fikra zao na kuamua kulinda familia pamoja na mali zao badala ya kushiriki kwenye maandamano, idadi kubwa inasema haitaki kupoteza urithi wake wa watu na mali uliotafutwa miaka kenda iliyopita...
  17. JamiiForums Tanzania Simbachawene unaposema mfano Sudan, hujasema sababu unakimbilia kupinga maandamano

    Unapozungumzia sijui angalieni sudan nacho mwambia na yeye akaangalie Wasafi ze story book kwa nini sudani ilifikia pale. Mlipofikisha hapa mbona unaruka kama CD imechubuka. ujataja haya mambo: • Uchaguzi feki, • Utekaji,ufisadi,uhuru wa haki. Kama yupo au anayemfahamu mwambieni The story...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kama hamnipendi kwa sababu ya dini, si mniache nimalize mda wangu

    Hii ni moja ya kauli za Samia, na wapo wanaomuunga mkono. Lakini kama juhudi zako hizo za uchawa, je, unajua impact ya miaka tano? Umewahi kufikiria kwamba baada ya miaka mitano utakuwa na umri gani? Umewahi kufikiria kwamba baada ya miaka mitano bila uhuru, chini ya utawala wenye sanctions...
  19. JamiiForums Tanzania KERO Hivi hii shida ya maji ni huku tu au nchi nzima?

    Hello Wakuu Hii mitaa yetu huku Dar es Salaam tunakabiliwa na changamoto ya maji karibia wiki nzima na sio kawaida kabisa Naomba kuuliza ni viunga vyetu tu hivi vya kimaskini au nchi nzima hili tatizo lipo? Hii hali ikiendelea hivi mbele kutakuwa kubaya sana
  20. JamiiForums Tanzania Hizi hapa ndizo sababu hasa zilizopelekea vijana wa kitanzania kuandamana.

    Pamoja na kuteua tume ya mchongo itakayo kuja na majibu ya uongo ili muendelee kuudanganya umma na kujisafisha. Tambueni umma wa sasa sio wa miaka ya uhuru hili mulielewe kabisa na umma wa sasa umewakataa. Baada ya hayo tambueni hizi ndio hoja za msingi za vijana. Kukithiri kwa vitendo vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…