The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.
Ok, hakuna jipya katika dunia, lakini sometime back matendo ya ngono yalikuwa faragha na ngono haikuwa hyped namna hii, ngono ilionekana kama jambo la siri, aibu na muda mwingine sacred.
Ila sasa hivi binti wa miaka 19 ndio anakufundisha style, kijana wa kiume ameruka na mademu wee hadi...
Historia inaonyesha ufaransa na Uingireza iliwahi kunyonga watawala wawili Kwa sababu mbalimbali
Kwa upande wa ufaransa ilimnyonga Louis na Malkia Maria Kwa sababu kuu ni
Umaskini na njaa
Kodi kubwa
Kokosekana Kwa haki na usawa
Kuupuuza matatizo ya wananchi
Kwa upande wa kiongozi wa...
Wanabodi katika jamii yetu, taasisi za dini zimekuwa zikitarajiwa kuwa mfano wa maadili mema, uadilifu, uwajibikaji na haki.
Hata hivyo, katika miaka ya karibuni kumekuwepo na malalamiko ya wazi na ya siri kuhusu baadhi ya viongozi wa dini kujihusisha na vitendo vinavyokwenda kinyume na misingi...
TTCL ni moja ya taasisi muhimu sana katika historia ya mawasiliano Tanzania. Ilikuwa uti wa mgongo wa mawasiliano ya taifa kwa miaka mingi. Hata hivyo, leo hii TTCL inaonekana kufeli au kuendelea kufanya underperform licha ya kuwa na rasilimali, miundombinu na nafasi ya kipekee kama shirika la...
Kuna minog'ono inatolewa na WanaCCM wanaoionea wizvu CHADEMA ya Lissu na Heche kuwa inakwenda kufa kisa tu wana misimamo thabiti.
Kwa sababu hawataki kuwa kama Mbowe na kuwa wananunulika na CCM kuwasaliti Watanganyika.
Siku chache baada ya mahabusu Michael Rambau (18), kudaiwa kujinyonga ndani ya Kituo Cha Polisi Kati-Moshi, mkoani Kilimanjaro, waombolezaji waliokuwa wamekusanyika leo nyumbani kwa wazazi wa marehemu huko Rau, Manispaa ya Moshi ili kushiriki ibada ya maziko yake, wanadaiwa kumfukuza na kumzomea...
Kuna hii taarifa inasambaa inayosema kuwa serikali ya Tanzania inatumia zaidi ya shilingi bilioni 2.5 kutafuta ushawishi ndani ya Marekani, ikiwemo kuwashawishi Serikali ya Marekani na wadau wengine wa huko watamani kununua madini yetu.
Napenda kuwakumbusha kuwa kabla na baada ya MO29, viongozi...
Kuna watu wanajidanganya CCM kwamba chao chao na Tanzania ifuate mfumo wa Kichina badala ya mfumo wa kidemokrasia. Ukweli ni kwamba mfumo inabidi uendane na jamii. Sasa tujiulize kama haya yanawezekana. au la. Kwa mawazo yangu haiwezekani kwenye jamii ya Watanzania kwasababu chache tu
1. Jamii...
Hakuna sababu yoyote inayoweza kuhalalisha mauaji ya tarehe 29.Habari njema ni kwamba Mungu amesikia sauti ya vilio vya watanzania waliouawa pamoja na vilio vya ndugu zao.Hukumu ipo tayari kwa wauaji wote kuanzia juu.
Swala hili lina jibu la kihistoria lenye vipindi viwili, si mtu mmoja tu. Nitakuwa wazi na sahihi.
Jibu fupi
Hakuna mtu mmoja aliyekuaja “kuangusha dola ya Kiislamu” yote.
Dola ya Kiislamu ilianguka kwa awamu, na pigo kubwa la kwanza lilitoka kwa Wamongolia, kisha mwisho rasmi wa Ukhalifa...
Hata kama atakaa kwa muda mrefu ataondoka tu kirahisi kama walivyondoka akina Mobutu , Bokasa na wengineo.
Hata vijana ambao huwa nakutana nao mara kwa mara huwa nawaeleza hili kuwa kila jambo lina mwisho.
Tulipata uhuru bila kumwaga damu. Lakini leo hii watu walimiminiwa risasi kama njugu...
Salam wakuu. Bila kuwachosha
Kwa miongo kadhaa nimekuwa mtumiaji wa simu za hii kampuni ya Tecno
Binafsi sijaona tatizo lolote kama inavyosemekana
Kipindi flani niliwahi kununua simu ya Samsung baada ya kuona zinasifiwa sana ila kwa baadae nilikuja kuiuza baada ya kuona inakula sana moto...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, leo tarehe 09 Januari, 2026 amesema ametahadharisha akiwaita wanaochokonolewa kuharibu amani ya nchi kuacha mara moja akikumbusha yaliyojiri...
Siku mbili hizi akiwa huko Zanzibar, alinukuliwa akisema kuwa namba 1 atawaongezea posho wazee wa kaki.
Hiyo ni kweli na taratibu zote zilishafanywa. Ila sasa barua yenye huo muongozo pale juu ina ule muhuri mwekundu umeandikwa “RISI”.
Maana yake wanatakiwa wajue wanaohusika tu. Yeye akaona...
Communists walidanganya wengi, afrika ilidanganywa na communists kwa miaka 60 sasa kwamba Christianity ni adui yao na capitalism inawanyonya, matokeo yake viongozi wa afrika waliwekeza miaka 60 baada ya uhuru ku-undo colonial capitalistic economic system iliyokuwepo ambapo ilikuwa well...
Katika kipindi ambacho Taifa linapitia majonzi kwa familia nyingi kupoteza Ndugu zao Kwa matukio ya tarehe 29 Oktoba 2025, na kuacha mayatima wengi bila hata mayatima Hawa kutokuwa wazazi wao wamezikwa wapi, na wengine waliouwawa kufuatwa majumbani kuchukuliwa na kuuwawa pasipo kushiriki...
Namna Marekani alivyocheza karata zake kwa Venezuela ni kama Demu mkali ale vitu vyako alafu kisha hakukatae badae unamuona anajibebisha kwa mwamba mwingine ambaye wewe ni kama mshindani wake wa muda mrefu, unaamua kumteka demu na kuondoka nae kwa nguvu hili awe na wewe kwa lazima.
Hakuna...
Hakuna sababu ya kuunda tume kufanya maridhiano na watu ambao walijipanga Kwa lengo la
kuvuruga amani ya nchi
Kuvuruga uchaguzi
Kuharibu biashara za watu
Kuharibu miundombinu ya serikali
Kuliletea Taifa letu sifa mbaya
Unakaaje meza Moja na watu kama hao ambao hawana tofauti na wahaini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.