Mgombea wa uraisi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan amesema awali katika Mkoa wa Dar es Salaam kulikuwa kunachangamoto ya umeme lakini kutokana na kazi kubwa iliyofanyika, hadi kufikia sasa katika mkoa huo nishati ya umeme inapatikana kwa saa 24
“Si muda mrefu uliopita...
Tatizo la kutokuhuzuria vikao ndo Haya sasa,
Wanaume na nyie baadhi yenu Kuna kaushamba flani mnako Tena kanaboa saana ndo maana hata mnavyo tongoza wadada wanawakataa ......mfano mtu.....
👇
anakuja inbox 📥 anakwambia dada mambo ...wajibu poa....anakuliza unakaa wapi....wamjibu pengine...
Shalom
Sikutegemea kuona umati kama ule ukijitokeza kumpokea mgombea wa CCM kwa kiasi kile.
Watanzania tuwaeleweje? Kwamba Polepole hamumsikii?... Hamumuelewi au!!
Kujazana vile kwenye mikutano ya CCM mnatupa ujumbe gani Watanzania wenzenu tusio na upande?
Naogopa
Miongoni mwa atakayozungumza:
1. Biashara za Rostam Aziz
2. Ziara ya Magufuli Morogoro, na mazungumzo yao kuhusu Rostam
3. Kashfa ya Uniform za Jeshi la Polisi ambayo kesi yake ilikuwa stori nyingine baada ya Magufuli kufariki
4. Wezi wanakoficha pesa
5. Kashfa ya kukomboa ndege Afrika Kusini
6...
niko maeneo ya makirikiri kibaha kwa Mathias
Sehemu ya kubadili finra na mawazo
Kaja kijanannanwenzie wanaagiza kwa masharti tupe za baridii sana
Mpaka sasa nusu saa wanazo hizo bia si bora wa wangeagiza za moto tu
Kama na wewe una tabia ya kukaa na bia moja bar agiza ya moto
N matumizi...
Umofia wana Sports !
Siku mbili zilizopita niligawa tickets 500 door to door na 216 nikawatumia wadau lengo ni kufika uwanjani. Malengo ilikuwa ni kuwafikia wadau 1000 kama nilivyosema mwanzo bahati mbaya siku ya jana POS ya kununua tickets ilikuwa down sana kiufupi hakuna ticket iliyouzwa...
Wanabodi,
Saa hizi ni saa 12 :00 asubuhi, kumekucha na makucha yake!
Siku ya leo, tarehe 21,leo ndio siku ya siku, imebatizwa jina la ”The Twenty First to remember!”, yaani ni ”Ishirini na moja ya kukumbukwa!”。
Saa mbili kamili usiku,yule Mwamba Humphey Polepole anapanda live kupitia...
kuwaamsha watoto saa tisa au saa kumi waende shule
Kuwapeleka boarding wakiwa wadogo
Hakuna mapumziko likizo ni tuition mtindo moja
Halafu bado wana uwezo wa kawaida kabisa ama kupitwa na watoto wengine wanaoamka saa moja, wapo day, likizo ni kwajili ya mapumziko hakuna tuisheni.
Na hapo...
Niongezee volume
Ama imetosha
Nimetokaa kusuluhisha kesi kama hii, sijui wameondoka waturidhishe ama kitaendelea kuumana huko.
Mungu awalinde wanandoa wote loh.
Leo tarehe 15 Agosti 2025 saa 2:30 usiku, Dkt. Josephat Mathias Gwajima, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC), atatoa ushauri wake kwa Taifa la Tanzania pamoja na viongozi wake.
https://www.youtube.com/live/94t64efdNxY?si=RslQI2cPUgAZ5-74
Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji...
Nimekuwa na Nguvu ya mamlaka, heshima, deal zangu za pesa zinaenda vizuri nikiongea na mtu ana kwa ana huwa ananisikiliza na kunielewa leo kuna mkuu mmoja niliambiwa ni kisiki ila leo kakubali kutia saini kuruhusu muamala. Nathibitisha kwa kusema kuwa kuna Nguvu katika uvaaji wa saa mkono wa...
Ashukuriwe Mungu wa mbinguni bwana wa majeshi kwa kutupenda mno sisi hata ikampendeza machungu yetu hatimaye kufikia mwisho labda tena kwa salama.
Tulipo hatuko mbali na tunakopahitaji yaani kwenye Tanzania ya haki. Haipo siri Tena, adui zetu wànajulikana vyema zaidi.
"Wapumzike kwa amani...
Atupumzishe tafadhali Watanzania ili tupige Kazi tupambane na Maisha.
Kama ana Bifu na Rais Samia mwambieni aombe kukutana ili wakamalizane.
Tokea nianze kusikiliza Ngonjera zake sijaona lenye maana.
Mwambieni tumechoka na tumemchoka. La muhimu Kwetu ni Lissu kuachiwa.
Wakuu, Taarifa kutoka ukurasa wa Polepole Instagram
==
Usikose itakuwa saa 6:00 Mchana tutakuwa LIVE Facebook, YouTube, Instagram na TikTok.
Nitasema jambo moja kubwa! Wale Vijana wakata swichi tambueni mnawatengenezea chuki Viongozi wetu, washaurini kwa unyenyekevu na kitaalam waambieni...
Kwanini Wakristo hawavai kanzu nyeupe saa ya kusali kama Yesu alivyofanya?
Yesu aliishi katika jamii ya Wayahudi iliyokuwa na mila na desturi za mavazi. Katika mazingira hayo, kuvaa mavazi meupe ya aina ya kanzu ilionekana kuwa ni ishara ya usafi, utakatifu, heshima na ibada.
Hata hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.