saa

  1. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Hakutakuwa na mechi za saa nane mchana, mechi zitaanzia saa 11 sababu kutakuwa na miundombinu bora kabisa ya viwanja vya mpira

    Kwa east afrika na afrika kwa ujumla hakuna nchi itakua na miundombinu bora ya mpira wa miguu kama Tanzania Mtoto wa uganda, kenya, Congo, Rwanda atakua na ndoto za kuja kucheza mpira Tanzania Team 255713520180
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Ndani ya Saa 24 zimetokea ajali nne za Mabasi

    Tanzania: Ndani ya Saa 24 zimetokea ajali nne za Mabasi 1. Premier line 2. Kandahar invest 3. Msigwa Express 4. Njombe express Kinachouma Jeshi la Polisi hawataki kutoa taarifa. Mifumo ya Nchi imeparalyse kila mtu anafanya atakalo. Matajiri hawaguswi sababu ya Rushwa. Waongea ukweli...
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania ADUI YAKO MWOMBEE NJAA..NA ZNZ MNAFUNGWA NA BERKANE KUANZIA GOLI 2+ NIKO KWA SUGUYE NAOMBEA MAADUI ZANGU MPAKA SAA NNE HAPA NIMEANZA KUWAPASUA WATEKET

    MUNGU WA BABA YANGU SUGUYE NABII HAJAWAHI KUSHINDWA ALINISHINDIA MAOMBI MECHI YA MOROCCO MUNGU HUYUHUYU WA NABII SUGUYE TUNAKWENDA KUSHINDA TENA HAPO ZNZ TEAM BERKANE HAPA TUKO KWENYE MFUNGO WA SIKU TATU MWISHO KESHO NASEMA HIVI TUNAHARIBU MAADUI ZETU WOTE TUNAKEMEA WASHINDWE LOLOTE...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Vyama vinavyoshiriki uchaguzi vyaipa Onyo CHADEMA ikae chonjo na uchaguzi Saa mbaya

    Sasa joto limeanza kupanda vyama vinavoshiriki Uchaguzi vimeiambia CHADEMA kaa chonjo saa mbaya usitake kutuharibia na wengine tutapambana na wewe na tunaitaka CCM ikae pembeni hawa kama hawajafunzwa na mama zao watafunzwa na dunia. Hawashiriki uchaguzi washike adabu zao na heshima zao...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania BASATA mmekuwa zaidi ya mizigo! Eti wimbo Oscar Oscar 'Mniombee' upigwe saa Sita Usiku na ushasambaa

    Katibu Mtendaji Wa Baraza La Sanaa Taifa Kedmon Mapana amesema wimbo wa Mtangazaji Oscar Oscar Jr hautaruhusiwa kupigwa sehemu za wazi, utapigwa kuanzia saa sita usiku na utasikilizwa na watu wazima pekee. Mapana ameyazungumza hayo baada ya kumuita Oscar Oscar BASATA kujadili mustakabali wa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nini kimemkumba Wakili Madeleka kuwabeza wanaharakati?

    Jana baada ya kuhamia ACT Wazalendo chama kikuu cha upinzani alianza kuwabeza wanaharakati aliokuwa wanamsupport Kauli iliowashatua wengi kumwambia sativa auguze makovu aliyoyapata kwa washikaji Ukifatilia comments zake za jana na wachangiaji ktk account yake ni wazi kwamba brand ya kitapeli...
  7. Setfree

    JamiiForums Tanzania Una habari? Watu 7,000 wanakufa kila saa!

    Takribani watu 7,000 wanapoteza maisha yao kila saa, duniani. Takwimu hizi zinashtua, ila zinapaswa kutufanya tufikirie kwa kina kuhusu maisha yetu yajayo. Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) na Idara ya Idadi ya Watu ya Umoja wa Mataifa (UN DESA). Sababu za vifo ni...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CAF wakaza, Fainali ya pili kupigwa New Amaan Complex, Zanzibar Saa 10 Jioni

    Mchezo wa fainali ya pili ya Kombe la shirikisho barani Afrika (CAFCC) utapigwa uwanja wa New Amaan Complex, Visiwani Zanzibar, saa kumi jioni. CAF wameshaanza kufanya branding ya uwanja wa mchezo wa fainali ya pili ya CAFCC.
  9. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Saa nzuri kabisa kuanzia Mtoto wa Miaka 9-18 na ni imara

    Saa za Watoto & Watu wazima Ubora umezingatiwa 💯 Haziingizi Maji ✅ Zina Alarm ⏰ Zina Stopwatch ⏱️ Zinasoma days Kwa Bei Janja Tsh 15,000/= 🔥 UBORA UMEZINGATIWA ☎️ 0712350159 🚩 FREE DELIVERY AROUND ARUSHA TOWN
  10. Maleven

    JamiiForums Tanzania Kuepuka usumbufu, nakushauri usitume pesa kutoka Tigo/Yas kwenda mitandao mingine kuanzia saa 12 jioni. Be informed

    Yani tangu Tigo iwe yasi kuna mambo mengi ya kukera lakini kubwa zaidi ni changamoto ya kutuma pesa kutoka Tigo kwenda mitandao mingine has ikifika usiku. Imagine unatuma pesa, kisha wanakwambia usubiri masaa 72 ndio utapata majibu kama pesa itarudi au itafika kwa mhusika. So kujiepusha na...
  11. technically

    JamiiForums Tanzania Muda huu kuanzia saa 4 Leo wake za watu watatafunwa Sana

    Wakati upo busy na Jambo fulani na wenzako wapo kukusaidia kwenye Jambo jingine Wengine watagongwewa kwenye vitanda na masofa ya waume zao Inaumiza Sana sema kataa ndoa uwa Wana hoja sometime!! Naiombea ushindi Simba ubaya ubwera uzalendo kwanza !!
  12. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania EATV saa moja jioni leo 15/05/2025: chama kipya kimesajiliwa

    Kama kichwa cha Post kinavyojieleza, mwenye kujua jina la hicho chama naomba aliweke hapa maana nimejaribu kukitafuta nimeshindwa.
  13. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Saa nzuri za watoto na imara

    Saa za Watoto & Watu wazima Ubora umezingatiwa 💯 Haziingizi Maji ✅ Zina Alarm ⏰ Zina Stopwatch ⏱️ Zinasoma days Kwa Bei Janja Tsh 15,000/= 🔥 UBORA UMEZINGATIWA ☎️ 0712350159 🚩 FREE DELIVERY AROUND ARUSHA TOWN
  14. Malaika wa Misukosuko

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Astrology/Unajimu kuelekea Fainali ya Shirikisho Caf, Berkane atashinda mechi ya kwanza ila ya Pili kama ikichezwa saa kumi Simba ita Draw

    Habarini, viongozi wa Simba chukueni huu ushauri msiupuuzie Mechi ya jumamosi Tarehe 17 Berkane atashinda, ila mechi ya pili iliyokuwa imepangwa kuchezwa Dar es salaam majira ya saa kumi ilikuwa lazima Simba ita Draw hata pia ikichezwa Zanzibar kwa majira hayo hayo ya saa kumi pia Simba ita...
  15. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania 92.5 Dar Bado wanachambua michezo hadi mchana huu saa saba kasorobo. TZ tunasafari ndefu sana

    GT. Ila Tanzania ujinga umetamalaki aisee imagine masaa kama haya radio bado inachambua michezo .game ya Simba na yanga. Hizi radio nadhani vijiwe vya kahawa aisee ina maana hawana ajenda zingine kama 1. Afya 2. Kilimo 3. Uchumi 4. Elimu 5. Utalii 6..usafiri 7.ufundi 8.Mapishi. 9..siasa...
  16. T

    JamiiForums Tanzania IGP piga chini Muliro, kauli ya kumaliza kikao na kupata kinywaji kuanzia saa 1 hadi saa 4:30 alimaanisha ulevi

    RPC Muliro kachonganisha kanisa katoriki na serkali ya CCM kuliko hata aliyemshambulia Fr. Kitima. Kwanza, kama kamanda wa Dar tukio hili kutokea katika mkoa wake ameshindwa kusimamia ulinzi wa raia katika mkoa wa Dar Es Salaam kwa hiyo mkoa hauko salama. Pili, kitendo cha mharifu kuingia...
  17. Mayor of kingstown

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika kusimamishwa barabarani nusu saa kisa Stephen Wasira anapita

    Tukio limetokea leo asubuhi Dodoma, tumesimamishwa na Polisi magari yote yakae pembeni nikadhani ni kiongozi mkubwa anapita kumbe ni Mzee Stephen Wasira
  18. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Yaas wamefunga kazi kuanzia saa sita usiku mpaka sasa nne alfajiri

    Labda ndio mbinu ya kuzuia mawasiliano kati ya wanaharakati ili Dar es Salaam iwe salama You cannot accuse this government of being inefficient. Yaani Yaas wataanza kazi baada ya maandamano.
  19. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Saa saba Usiku Muda wa Kuombea ndoa Uchumi na Uponyaji

    MAOMBI YA USIKU YA UPONYAJI, UCHUMI, NDOA, BIASHARA NA KAZI Ee Baba wa Mbinguni, Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo, Ninakuja mbele zako usiku huu nikiwa na moyo wa unyenyekevu na shukrani. Wewe uliyeanza siku hii nami, nakushukuru kwa ulinzi wako, rehema zako na neema zako ambazo hazikomi. Ee...
  20. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Saa Tisa Muda wa Maombi Malaika wameshuka

    Maombi ya Nguvu za Kimungu na Kufunguliwa kwa Jicho la Tatu (Maono ya Kiungu) (Saa Tisa Usiku – Wakati wa Roho Mtakatifu Kuongea na Nafsi) Ee Baba Mtakatifu, Mungu aliye hai, Ninakuja mbele zako usiku huu wa kipekee, Nikiwa nimevua utu wa mwilini na kujinyenyekeza rohoni, Nikitafuta uso wako, na...
Back
Top Bottom