Hivi Karne hii wapo wanaume wa hivi?

Hivi Karne hii wapo wanaume wa hivi?

kadiri kasimba

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2022
Posts
588
Reaction score
1,144
Tatizo la kutokuhuzuria vikao ndo Haya sasa,

Wanaume na nyie baadhi yenu Kuna kaushamba flani mnako Tena kanaboa saana ndo maana hata mnavyo tongoza wadada wanawakataa ......mfano mtu.....
👇
anakuja inbox 📥 anakwambia dada mambo ...wajibu poa....anakuliza unakaa wapi....wamjibu pengine mwanza....anakuliza umeolewa au una mpenzi...unamjibu ninae au Sina.....anakuliza una miaka mingapi...wamjibu ......kibaya zaidi anamalizia kukuambia lete story.....duh so sad 😭😭 kwa kweli inatia huluma Kuna wanaume kutongoza ni mtihani........Sasa mpaka mdada wawatu anajiuliza huyu kaka ni mwandishi wa habari au.maana so kwa maswali hayo.....wewe unataka utelezi binti kuwa na mke au mpenzi inakuhusu nini.....unamuliza miaka unataka umpelekeee jeshi.......unamwambia lete story zipi hizo story unataka akuletee....... kiukweli Kuna wanaume wanakera kama madomo zege........yaani mdada wawatu umemuita amekuheshimu kasimama badala ukamwage sera unaenda kumuhoji maswali yasio na msingi kuliko kwenda kwenye point.......angalau fika tanguliza samahani kwa muda wako kama hutojali nisaidie no ako nikitulia ntakuchek wewe anasimama unaenda kumuliza una mpenzi......

Muwe mnahudhuria vikao!
 
Sawa

"Mrembo mamb ?? samahani kwa muda wako kama hutojali nisaidie no ako nikitulia ntakucheck"

Ukiona hivyo hujakidhi vigezo vyake.

Swali la umeolewa/ una mpenzi ni muhimu sana sisi wengine tunapotaka kutongoza utelezi sio kipaumbele kivile Bali kupata mtu sahihi utakayekuwa naye huru na kufurahia Maisha, HATUPENDI KUINGILIA MAHUSIANO YA WATU WENGINE.
 
Ukiona hivyo jua hana fweza huyo.
Sisi wenye mafweza huwa tuko straight forward.
 
Attachments

  • Screenshot_20250906_053047_Messenger.jpg
    Screenshot_20250906_053047_Messenger.jpg
    87.4 KB · Views: 29
Utitiri wa wanawake wanaojiuza kama nguo za mtumba kila Kona ya jiji imepelekea suala kupata kitumbua kuwa jepesi na lisilohitaji maelezo marefu sana kulipata!!

Hali hiyo automatically imepelekea vijana kuondokewa na uhodari wa ushawishi wa kupangilia maneno mazuri ili kupata kitumbua ambayo ndio yanaitwa kutongoza!!
 
Him: Sister samahan !
Her: unasemaje?
Him: kulingana na uharaka ulionao siwezi kuzungumza mengi. Itoshe kusema nimependa komwe lako kubwa kama Tv ya kichogo

Her: wewe kaka vipi?
Him: napenda sana makomwe ndo ulevi wangu. Hapa ushanimaliza kabisa.

Her: usinizoee hivyo.
Him: ulitegemea niongee lugha gani unitilie maanani?

Her: hicho ndo kimekufanya unisimamishe?
Him: samahan bibie, mapenzi bila utani hayanogi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom