Saa ya Kikwete (PHILIP STEIN) inauzwa bei gani?

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
11,665
Reaction score
23,650
1756662041746.jpg
1756662032985.jpg
 
Nasikia ni hobby yake ya kukusanya saa expensive.
__Ukishangaa ya ABDUL kumiliki Rolls Roys CULLINAN SERIES II na akiwa hana KAZI ya UJIRA utastaajabu ya KIKWETE Mstaafu na boss wa SAMIA anaemiliki Saa aina ya Patek Philippe Nautilus yenye THAMANI ya BILLION MOJA ( 1,000,000,000_/= ).
Balozi Humphrey Polepole ana hoja nchi INAUMIZWA hii.

#NO REFORMS NO ELECTIONS.
 
Nchi hii "inabanangwa" sana.
 
s-l1600.webp

prestige-automatic-chronograph-model-13a-bw-albrd-433276.png

Philip Stein.. zipo tofauti lakini bei zake zina range kuanzia 1 million Tshs hadi 9 million Tshs, kwa sababu picha ina blur ya kutosha inashindikana kujua exactly model...
Ina thamani ya kawaida..
 
__Ukishangaa ya ABDUL kumiliki Rolls Roys CULLINAN SERIES II na akiwa hana KAZI ya UJIRA utastaajabu ya KIKWETE Mstaafu na boss wa SAMIA anaemiliki Saa aina ya Patek Philippe Nautilus yenye THAMANI ya BILLION MOJA ( 1,000,000,000_/= ).
Balozi Humphrey Polepole ana hoja nchi INAUMIZWA hii.

#NO REFORMS NO ELECTIONS.

Inauzwa $40,000 uchawi tu unakusumbua
 
Back
Top Bottom