ruzuku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania PM Majaliwa: CHADEMA, ACT Wazalendo, NCCR, CUF, CCM na DP vimepokea jumla ya Tsh 17.5 bilioni ikiwa ni Ruzuku

    Waziri mkuu mh Majaliwa amesema Vyama 6 vya Siasa vyenye Sifa ya kupata Ruzuku ya Serikali vimepokea Jumla ya tsh 17.5 bilioni Vyama hivyo sita ni Chadema, ACT wazalendo, NCCR mageuzi, CUF, CCM na DP Chanzo: Swahili Times Nawatakia Juma Takatifu Lenye Baraka tele! --- Katika bajeti ya...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mwanachama wa CHADEMA, Kambaya amesema hajajenga nyumba ya ghorofa kwa fedha za ruzuku ya Vyama vya siasa

    Mwanachama wa Chadema ambaye kwa sasa ndio kiongozi wa kuimarisha Chama kanda ya Mwambao wa Bahari ya Hindi Tanga hadi Mtwara amesema ghorofa lake la Mbweni hajalijenga kwa Fedha za Ruzuku ya CUF. Kambaya amesema Yeye ni mfanyabiashara ya magari hivyo Ujenzi wa Jumba hilo la kifahari ni...
  3. Maguguma

    JamiiForums Tanzania Serikali itatue changamoto zilizojitokeza wakati wa uuzaji wa Mbolea ya Ruzuku

    Wananchi Wengi wa mkoa wa Ruvuma wampongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutoa mbolea ya ruzuku ambayo imewawezesha wakulima wengi kununua na kuongeza uzalishaji kwenye mazao yao, kwa bei ya Elfu 50,000 hadi 70,000 kwa mfuko wa Kilo 50. Mbolea ya Ruzuku imewasaidia wakulima kuondokana na...
  4. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hawajawahi kuupinga mahakamani Uchaguzi wa wabunge 2020, hivyo ni halali kupokea ruzuku

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lisu amesema ruzuku hutolewa kwa Chama kinachopata zaidi ya 5% ya kura zote za Wabunge wa majimbo Lisu anasema kwa mujibu wa NEC CHADEMA walipata takribani 17% ya kura hizo na wakaqualify kupewa ruzuku Sasa ikumbukwe hapa Baada ya Uchaguzi hakuna Mbunge...
  5. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Ruzuku na asali za CCM ndio zimetufanya kusahau michango ya makamanda? Hiki kiburi cha muda kitaisha tu

    Tunasahau kuwa tulikuwa tunachangishana kwenye shida na raha? Tunasahau mabakuli waliopitisha vijana wa Bavicha na kuingiza pesa kwenye akaunti zao binafsi za M pesa? Hii ruzuku na asali za CCM zimefanya kuwa na kiburi kiasi cha kusahau umuhimu wa michango ya makamanda.
  6. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Afya ya Wananchi ni kitu muhimu kuliko vyote. Kwanini tusitoe ruzuku kwenye mifuko hii ya bima za afya zinazosuasua?

    Afya ya wananchi ndiyo kitu muhimu kuliko vyote. Shughuli zote za uchumi wa nchi zinategemea sana afya za wazalishaji kuwa na afya njema ya kimwili, kisaikolojia, kiakili na kiroho. Hii mifuko ya bima za afya ambazo ndiyo tegemeo kuu kwa afya za wananchi zimekuwa zikisuasua kutokana na ukata...
  7. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Kwa CHADEMA kuanza kupokea ruzuku, akina Halima Mdee wanasameheka

    Nawasalimu waungwana wote wa JF, Nimesoma mahali kuwa CHADEMA wameanza kupokea ruzuku za kila mwezi zinazotokana na uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Ulikuwa ni msimamo wa CHADEMA kuwa uchaguzi mkuu wa 2020 haukuwa halali na ulikuwa uchafuzi na si uchaguzi. Kutokana na kutokuwa halali, ulikuwa ni...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Siasa za Kijungu Jiko, Penye Uzia, Penyeza Rupia!. Hakuna Mkate Mgumu Mbele ya Chai!, Hata Uwe Mgumu Vipi, Mbele ya Chai/Rupia, Lazima Utalainika!

    Wanabodi Waswahili wana vijineno neno vyao, ukivisikia unaweza kuviona ni kama vineno vya Utani!. Moja ya vineno hivyo ni "Penye Uzia Penyeza Rupia!" na "hakuna mkate mgumu mbele ya chai". Siasa zetu ni siasa za kijungu jiko, yaani siasa za hand to mouth kwa kutegemea ruzuku!. Hizi ni siasa...
  9. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamehalalisha haramu 'Covid-19' na Ruzuku

    WanaJf, salaam tena! Nimekuja kuuliza tena baada ya shangao kubwa linalotokana na ndimu mbili za chama kikongwe cha upinzani - CDM. Kimsingi sitegemei kuona CDM kikitoa misimamo inayoyumba na kuyumbisha taifa letu. REJEA (a) Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 CHADEMA ilituma kwa Spika majina...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ruzuku ya vyama vya siasa haitokani na Wabunge wa Viti Maalum

    Hili ni jambo muhimu sana ambalo wana JF mnapaswa kulifahamu, kwamba ruzuku ya vyama vya siasa hutolewa kutokana na Kura za Jumla ambazo Chama kimepata kutoka kwenye Uchaguzi Mkuu husika. Kwa mfano, Jumla ya Kura ambazo Chama kinapata kwenye Majimbo yote ndio zinazopigiwa mahesabu ya kujua hata...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: CHADEMA tumeanza kupokea Ruzuku

    Makamu Mwenyekiti Mh Tundu Lissu akiwa katika mtandao wa Club house ameweka wazi kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimeanza kupokea Ruzuku Mwezi huu uliopita. Makamu huyo nguli wa sheria na siasa bora Tanzania ametumia nafasi hiyo kuwapongeza watanzania waliokiunga mkono chama hicho kikiwa...
  12. zitto junior

    JamiiForums Tanzania Barua ya ACT Wazalendo kuhusu ruzuku ya CHADEMA ni feki

    Wakuu kumekua na barua inayosambaa ikisemekana inapongeza juhudi za Samia na pia kukosoa Chadema kupokea ruzuku takribani million 800!! Kwenye kutafuta ukweli wa mambo, ACT wenyewe wamekanusha kuwa barua kuhusu Chadema kuchukua ruzuku ni feki. Hata katika kurasa rasmi za chama hakuna hiyo...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Chadema, Ndugu ACT Wazalendo amesema kuwa Chadema imepokea ruzuku!

    Inaweza kuwa sahihi, Basi Bwana ACT Wazalendo alete ushahidi usio na mashaka kama payment voucher, cheque iliyolipa hizo hela, acceptance by Chadema official, bank statements and the like! Siyo nembo ya Bwana ACT Wazalendo na maandishi! Erythrocyte
  14. happyxxx

    JamiiForums Tanzania Kumbe CHADEMA wameanza kupokea ruzuku kimya kimya na hawasemi?

    Inasikitisha sana kuona Chadema wanakula matapishi kama tulivyozoea. Walisema chochote kilichotokana na uchaguzi wa 2020 ni haramu ikiwemo ruzuku. Sasa wanalamba asali ya mama wanapokea ruzuku mil 800 na inatafunwa kimya kimya pale ufipa Mbowe na kikundi chake kilichojimilikisha chama. Bado...
  15. Stroke

    JamiiForums Tanzania Pamoja na gharama za maisha kuwa juu Bei ya mafuta yaongezeka kwa sh.149 kwa lita. Ruzuku ina faida gani?

    Hawa Ewura naona wanamkakati wananchi tutembee kwa miguu katika shughuli zetu za kila siku. Pamoja na gharama za maisha kuwa juu bado bei ya mafuta imepanda kwa Tshs. 149 kwa lita. Mafuta ni bidhaa muhimu sana katika uchumi wa nchi hivyo kama yakipanda bei basi ni mara moja tu madhara yake...
  16. Debby the FEMINIST

    JamiiForums Tanzania Lindi: Afisa kilimo kata ala fedha za mahindi ya ruzuku milioni tano

    Afisa Kilimo kutoka kata ya Milola halmashauri ya manispaa ya Lindi ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kula fedha kiasi cha shilingi Milioni 5 za mahindi ya ruzuku kwa wananchi wa kijiji cha Milola B. Mkuu wa Wilaya ya Lindi Shaibu Ndemanga amekiri juu ya kutiwa mbaroni kwa afisa kilimo huyo akisema...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Sasa huyu Bashe kamsaidia mkulima au kamuangamiza? Huu mchele wa Ruzuku unaweza kuuzwa 1,500/- kwa kilo

    Ninavyowajua Watanzania wanapenda vitu vya bei rahisi Bila kuzingatia ubora Hiyo michele iliyofichwa na Wakulima soon inaenda kuwadodea Bashe ajipime kama anatosha!
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC aongoza upandaji wa miti 1000 Rungwe ndani ya siku moja, aahidi Mbolea ya Ruzuku kuendelea kusambazwa

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ameongoza zoezi la Upandaji miti katika Kijiji cha Ijoka, Kata ya Mpombo Halmashauri ya Busokelo ikiwa ni hatua muhimu ya kulinda vyanzo vya maji, kudumisha uoto wa asili, na kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Jumla ya miti 1000 imepandwa leo...
  19. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Hili la mbolea ya ruzuku kuna mahali tumeteleza, Bashe lazima awajibike

    Gazeti la Mwananchi Januari 18,2023.
  20. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Ruzuku ya mbolea haina fada kwa Mtanzania

    Kwa bei hii ya vyakula unga, Michele, maharage ni kwamba ruzuku haijafanya lolote kumnufaisha mtanzania mlipa kodi wa mbagala Dar es salaam. Wafanyabiashara wachache na wakenya ndio wanaofaidika wa ruzuku hiyo.
Back
Top Bottom