ruzuku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Mbolea za Ruzuku wapewe JKT kusambaza

    Taarifa ya habari Leo kwenye vyombo mbalimbali waziri wa kilimo amesema msimu huu kulikuwa na changamoto ya usambazaji wa mbolea. Hivyo, msimu ujao watawatumia/watatumia vyama vya ushirika. Ni jambo jema kabisa. Mimi nilikuwa ninawaza hivi hawawezi kuwatumia JKT? JKT inahusika na Shughuli za...
  2. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania Miaka ya 30 ya vyama vingi, Ondoeni ruzuku tufanye mambo ya maana

    Katika kipindi cha miaka 30 ya vyama vingi, tumetumia mabilioni ya pesa za walipa kodi ili kusaidia vyama ambavyo vingine haviko tena mitaani. Vingine vipo kama maboya tu ya kupitishia ajenda za watawala. Kwa umri huu vyamna hivi vinatakiwa vijisimamie. Ni aibu kuendelea kuwa na wacheza siasa...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dizeli yaendelea kupanda bei, Ruzuku ya Tsh. Bilioni 100 yaondolewa

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya za mafuta zitakazotumika kuanzia leo Jumatano, Januari 4, 2023 huku bei ya dizeli ikiendelea kupaa. Katika taarifa hiyo iliyotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Modestus Lumato imeonyesha kuwa katika jiji la Dar es...
  4. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Mnaoshangilia mbolea ya ruzuku mnajua madudu yaliyojificha ndani? Msikilize DC huyu

    Mkuu wa Wilaya ya Malinyi, Mhe Mathayo Maselle amesema Rais Samia Suluhu Hassan ametoa bilioni 150 kwa ajili ya mbolea ya ruzuku ili iwafikie wakulima lakini kwa makusudi na kwa uzembe mkubwa uliofanywa na watendaji wa serikali kuhujumu jiitihada za Serikali kwa za utoaji wa mbolea ruzuku 'Kwa...
  5. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruzuku ya Umeme kusitishwa Desemba 31, wananchi kulipa zaidi kuanzia Jan 1, 2023

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti Nishati na Petroli (EPRA) Daniel Kiptoo amesema #RuzukuyaSerikali ya 15% itasitishwa rasmi Desemba 31, 2022 na hivyo watumiaji watalazimika kulipia ongezeko hilo. Wanaotumia Uniti 50 kwa mwezi walikuwa wakilipa Tsh. 17,794, wanaotumia uniti 200 walilipa...
  6. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali ya CCM yashindwa kulipa Posho za Madaraka ya Walimu Wakuu, Wakuu wa shule, vyuo, na Maafisa Elimu kata pamoja na ruzuku za shule Dec 2022

    KUTOKANA na Hali mbaya ya uchumi, pamoja na serikali kumiliki deni la Taifa la Trilion 91, Serikali imemshinda kuwalipa Posho za madaraka ya walimu wakuu,wakuu washule,vyuo,na maafisa elimu kata pamoja na ruzuku za shule Kwa kipindi cha Mwezi Novemba na Decemba 2022. Hali hii imekwenda mbali...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wakulima Mbeya walia uhaba mbolea ya ruzuku

    Wakulima wa Tarafa ya Kiwanja, Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya wamelalamikia uhaba wa mbolea na pembejeo za ruzuku. Wakizungumza haya Novemba 28, 2022 wakati wakizungumza na mwandishi wa habari hizi ambapo wamedai kuwa katika maeneo yao mpaka sasa hakuna mawakala wa pembejeo licha...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Viongozi mnaudhi sana! Mbolea ya ruzuku inakaeje Dar na hamnaga mashamba huko!?

    Niko pwani, eti nikitaka mbolea ya Ruzuku niifate Dar? Na unatonywa kisiri siri? Mbolea inakaaje kwenye magodauni ya Dares alam ili hali inapaswa ikatumike Kwa wakulima waliolo Pwani? Mh msatasfu Rais Kikwete ni mkulima mwenzangu, Je yeye kweli anachukulia mbolea Dar badala ya huku kwetu...
  9. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Mzee wa miaka 70 afariki akisubiri mbolea ya Ruzuku

    Mzee wa miaka 70, Bw.Seif Mwangaeka mkazi wa Kijiji cha Mkurumusi, wilayani Mbinga mkoani Ruvuma, amefariki dunia akiwa kwenye kituo cha kuuzia mbolea ya Ruzuku cha Kigonsera na kusababisha kituo hicho kufungwa kwa siku moja kuomboleza kifo hicho. CHANZO: ITV
  10. J

    JamiiForums Tanzania Hivi Kigoma kukoje? Wakulima wanakaa foleni wiki nzima kusubiri mbolea ya Ruzuku

    Kigoma wanaishije lakini? Nimeshuhudia kupitia ITV habari Wakulima wanalalamikia mbolea ya Ruzuku wanaifuata mjini na wakifika wanakaa foleni zaidi ya Siku tatu ndio unauziwa Ndio najiuliza Kigoma ni Tanzania kweli?
  11. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Anguko la Bashe ni ruzuku ya Mbolea

    Wabunge wanaendelea kujadili ripoti ya CAG Bungeni wabunge wengi wmeonekana kulalamikia ubabaishaji mkubwa uliopo kwenye mfumo wa utoaji wa ruzuku ya mbolea huku wengi wakidai utaratibu huo unawanufaisha matajiri huku wakulima wakiendelea kulia. Mbunge Condescha Sichalwe na Vita Kawawa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amwaga mabilioni ya fedha za ruzuku ya maendeleo jimboni Ludewa- Njombe

    RAIS SAMIA AMWAGA MABILIONI YA FEDHA ZA RUZUKU YA MAENDELEO JIMBONI LUDEWA- NJOMBE. "Asante sana Mhe. Rais Samia Samia Suluhu Hassan kwa Fedha nyingi za Ruzuku ya Miradi ya Maendeleo kwenye Jimbo letu la Ludewa. Haijawahi kutokea fedha kuletwa mapema hivyo kabla ya msimu wa mvua kuanza, hii...
  13. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, mbolea ya ruzuku ikichelewa wakulima wa kutotegemea mvua tutapata hasara kubwa

    Ombi kwa mheshimiwa Raisi Mama Samia. Mpango wa mbolea ya ruzuku ni mzuri sana na wenye tija kama utatekelezwa kwa wakati. Serikali yako imesikiliza kilio cha wakulima cha muda mrefu. Hongera sana. Pongezi pia ziwafikie washauri wako na wazira ya kilimo kwa ujumla. Mpango huu umeanza kuwa...
  14. Kamgomoli

    JamiiForums Tanzania Changamoto kubwa kwenye mfumo mbolea za ruzuku

    Msimu wa kilimo 2022/2023, serikali imekuja na mfumo wa mbolea za ruzuku, ambapo mkulima ni lazima ajisajili kwenye madaftari ya wakulima yaliyosambazwa kote vijijini. Changamoto kubwa iliyojitokeza ni wakulima wengi kutopata namba ambayo wanatakiwa kwenda nayo kwa wakala ili wakamilishe malipo...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Serikali haitaendelea kutoa ruzuku ya unga, itawasaidia wakulima

    Rais Ruto wa Kenya amesema hatoendelea kutoa ruzuku ya unga na badala yake atasaidia wakulima wadogo na wakubwa kufanya uzalishaji ambao utapunguza bei ya bidhaa hizo. Bei ya unga nchini Kenya ilipanda sana kutokana na vita vya Ukraine na Urusi ambapo serikali chini ya Rais Uhuru Kenyata...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kenya: Serikali yafuta Ruzuku ya Mafuta, bei yapanda zaidi

    Bei mpya kuanzia leo kwa Petroli inayotumiwa zaidi na magari mengi binafsi ni Tsh. 3,468,45 kwa lita kutoka Tsh. 3,100.29, huku Dizeli ambayo hutumiwa na wasafirishaji na viwanda ni Tsh. 3,197.17, Mafuta ya Taa ni Tsh. 2,867.77 Haya yanajiri baada ya Rais William Ruto kutangaza kuwa utawala...
  17. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya yasitisha malipo ya Ruzuku za unga, madeni yazidi

    Wizara ya Kilimo imethibitisha uamuzi huo huku ikitaja sababu kuwa ni kuzidiwa na malimbikizo ya madeni yaliyopelekea wafanyabiashara wa kati kulipwa mamilioni ya pesa huku wauzaji reja reja wakikosa zabuni. Wasagishaji Unga wamelalamikia uamuzi huo unaoanza leo Septemba 2,2022 wakidai kuwa...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Mbolea ya ruzuku ipo au haipo?

    Leo nilienda kujiandikisha ili na mimi niwekatika ule mpango wa mbolea hiyo ya RUZUKU Maajabu afisa mtendaji akaniambia mimi sistahili kuwa katika mpango huo kwani najiweza sababu namiliki ekari 20 Hivyo waliolengwa ni wale wanaomiliki ekari 3 kushuka chini Swali langu kwa Waziri wa Kilimo...
  19. Kyara Atufigwe

    JamiiForums Tanzania Ruzuku kwenye mbolea na mustakabali wa uchumi wa taifa letu

    Jitihada kadhaa zenye lengo la kuiinua sekta ya kilimo zimewahi kufanywa na serikali za awamu zilizopita lakini bado hazikufanikiwa kwa kiasi kikubwa. Moja ya iliyokuwa changamoto kubwa katika sekta ya kilimo ni mfumuko wa bei za mbolea nchini. Bei ya mbolea imekuwa ikipanda maradufu na...
  20. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yasitisha malipo ya Ruzuku ya Unga

    Wakenya watalazimika kuanza kununua Unga kwa bei ya juu baada ya serikali kusimamisha Mpango wa Kitaifa wa Ruzuku ya Unga wa Mahindi kutokana na uhaba wa fedha Waziri wa Kilimo, Peter Munya kupitia taarifa yake leo amethibitisha hilo kwa maelezo kuwa Hazina ya Taifa haijatoa pesa za Ruzuku...
Back
Top Bottom