Ajira mpya za walimu: Rushwa imetawala ili upate kazi

Kajeba

JF-Expert Member
Oct 15, 2020
820
1,959
Kwa sasa kama huna connection hizi ajira mpya za walimu utazisikia hewani tu

Watu wamekuwa wazi kabisa, toa milion mbili upate kazi

Hii haikubaliki, watanzania wamejazana online kuapply kumbe wengine wamepeleka application mkononi

Viongozi wanaohusika na hili je hawaoni rushwa hii ya waziwazi?

Je, hao viongozi nao niwanufaika au?
 
Jf
Kwa sasa kama huna connection hizi ajira mpya za walimu utazisikia hewani tu

Watu wamekuwa wazi kabisa, toa milion mbili upate kazi

Hii haikubaliki, watanzania wamejazana online kuapply kumbe wengine wamepeleka application mkononi

Viongozi wanaohusika na hili je hawaoni rushwa hii ya waziwazi?
Je hao viongozi nao niwanufaika au?
Huyo anayechukua 2M ni nani ?

Watu wako mawindoni, wanajua namna wasaka ajira walivyo desperate.

Utapigwa muda si mrefu.
 
Jf
Kwa sasa kama huna connection hizi ajira mpya za walimu utazisikia hewani tu

Watu wamekuwa wazi kabisa, toa milion mbili upate kazi

Hii haikubaliki, watanzania wamejazana online kuapply kumbe wengine wamepeleka application mkononi

Viongozi wanaohusika na hili je hawaoni rushwa hii ya waziwazi?
Je hao viongozi nao niwanufaika au?
We umejuaje mkuu, inaonekana nawe ni muhanga wa ajira
 
Kumbe hata hivi tunavyoomba ni kama geresha TU ila majina yalishapangwa???

Ngoja tusubiri siku pdf ikitoka ndo tutajua mbivu na mbichi kwenye hizi ajira
 
Back
Top Bottom