Napendekeza rushwa ziongezeke zaidi

Napendekeza rushwa ziongezeke zaidi

Midnight

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2021
Posts
228
Reaction score
681
Nature ya watanzania ni ubinafsi na roho mbaya. Nasema uongo ndugu zangu?

Kati ya watanzania 10, nane au tisa kabisa wamejawa na wivu, chuki, rohombaya na vijicho. Sasa jitu lenye roho mbaya litaruhusu upate kazi kweli? au upate- connection ya kupiga pesa? Sasa hapo ndipo ninapouona umuhimu mkubwa wa rushwa kwa maendeleo ya nchi yetu.

Anaepinga rushwa hajitambui, anaepinga rushwa hajawahi kukamatwa na police, anaepinga rushwa haishi Tanzania, pia ni malaika anaeishi hapa Duniani kwa taabu zake mwenyewe.

Ukitaka uwekewe umeme na Tanesko haraka, toa rushwa

Ukitaka uachiwe police kwa kesi ya kubambikiwa toa rushwa, au kataa ukaozee segerea

Ukitaka kupata tenda, toa rushwa au acha ufe njaa na watoto wako.

Inshort nisizungumze mengi sana wakati ninyi mnayajua zaidi yangu.
Rushwa ndio imeleta angalau haya maendeleo kidogo tunayojivunia, vinginevyo watu wangefanyiana ubaya ubaya na hakuna ambaye angesonga mbele.

Nakaribisha maoni.
 
Siungi mkono hoja, ila ukweli ndio huo, Tanzania inanuka rushwa, rushwa imefanywa kama sehemu ya maisha, lazima tukubaliane na uhalisia.
Hii hoja ni fikirishi sana ,maana kuna watu hawapati haki zao bila kutoa kitu.
Sema solution sio kuibariki bali tuna haja kama nchi kutafuta mwarobaini wa rushwa, angalau ipungue.
 
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Upo sahihi mkuu kuto kuunga mkono hoja yangu. Lakini nashukuru pia unatambua umuhimu wa rushwa katika kufanikisha mipango ya mtanzania.
Na kuhusu mwarobaini wa kupunguza rushwa hiyo tusahau.
 
Nature ya watanzania ni ubinafsi na roho mbaya. Nasema uongo ndugu zangu?

Kati ya watanzania 10, nane au tisa kabisa wamejawa na wivu, chuki, rohombaya na vijicho. Sasa jitu lenye roho mbaya litaruhusu upate kazi kweli? au upate- connection ya kupiga pesa? Sasa hapo ndipo ninapouona umuhimu mkubwa wa rushwa kwa maendeleo ya nchi yetu.

Anaepinga rushwa hajitambui, anaepinga rushwa hajawahi kukamatwa na police, anaepinga rushwa haishi Tanzania, pia ni malaika anaeishi hapa Duniani kwa taabu zake mwenyewe.

Ukitaka uwekewe umeme na Tanesko haraka, toa rushwa

Ukitaka uachiwe police kwa kesi ya kubambikiwa toa rushwa, au kataa ukaozee segerea

Ukitaka kupata tenda, toa rushwa au acha ufe njaa na watoto wako.

Inshort nisizungumze mengi sana wakati ninyi mnayajua zaidi yangu.
Rushwa ndio imeleta angalau haya maendeleo kidogo tunayojivunia, vinginevyo watu wangefanyiana ubaya ubaya na hakuna ambaye angesonga mbele.

Nakaribisha maoni.

Siku bint yako abakwe halafu jamaa aliye fanya huo unyama aachiwe kwa sababu ya rushwa.
 
Siungi mkono hoja, ila ukweli ndio huo, Tanzania inanuka rushwa, rushwa imefanywa kama sehemu ya maisha, lazima tukubaliane na uhalisia.
Hii hoja ni fikirishi sana ,maana kuna watu hawapati haki zao bila kutoa kitu.
Sema solution sio kuibariki bali tuna haja kama nchi kutafuta mwarobaini wa rushwa, angalau ipungue.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Kutafuta mwarobaini wa Rushwa ni kutafuta kifo chako pre-maturely sababu rushwa na ufisadi ni mtu na binamu yake!

R.I.P Mwendazake.
 
Rushwa ni adui wa haki...

Utaona inarahisisha mambo labda kwa sababu una uwezo wa kuitoa, lakini hebu mfikirie yule asiye na uwezo, je si atapoteza haki yake?
Sio kupoteza haki tu hata uhai wa mtu kabisa unaweza potezwa kwa kukosa bakshishi tu!
 
Yeah ni kweli kabisa, kama yule dogo aliyepotezwa na askari
Rushwa sio kitu kizuri kabisa na adhabu yake ilitakiwa iwe kali sana ili watu waogope hata kuikaribia rushwa.

Adhabu iwekwe wazi tu kuwa ukikamatwa unakula takrima we ni utapigwa bomba na jamhuri tu ndugu zako wafanye msiba shughuli iwe imeisha. Hamna kufungana maisha kwenda kula bure segerea unakula shaba tu mbona watu wangenyooka tena wabongo wanavyoogopa kufa.

Cha msingi watu wawe na camera wanarekodi hayo matukio tu. Askari wengi wangeenda na maji.
 
Ahughuli za namna hii ya adhabu anaiweza China tu ambao kuna kiwango cha rushwa ukila unapigwa sindano tu ukapambane kwenye after life...

Afrika viongozi hawawezi kuweka sheria ambazo baadaye zitatumika kuwahukumi wao pia...

Rushwa sio kitu kizuri kabisa na adhabu yake ilitakiwa iwe kali sana ili watu waogope hata kuikaribia rushwa.

Adhabu iwekwe wazi tu kuwa ukikamatwa unakula takrima we ni utapigwa bomba na jamhuri tu ndugu zako wafanye msiba shughuli iwe imeisha. Hamna kufungana maisha kwenda kula bure segerea unakula shaba tu mbona watu wangenyooka tena wabongo wanavyoogopa kufa.

Cha msingi watu wawe na camera wanarekodi hayo matukio tu. Askari wengi wangeenda na maji.
 
Siku bint yako abakwe halafu jamaa aliye fanya huo unyama aachiwe kwa sababu ya rushwa.
Wewe nae vipi na Wewe unapanda dau unamrudisha lupango Tena unatoa bonus ale mvua kifungo cha maisha dawa ya moto ni moto yaani mtu amfanyie hivyo ndugu yangu Halafu ahonge vihela mbuzi tu atoke Hiiiiii bhaghosha nitakufa nae!
 
Panapo itajika kutoa toa unaweza kuwa upande wa haki na ukaumia pia ndio dunia yenyewe ilivyo Mungu atusaidie toka nije duniani kutoka sayar ya mbali sijawahi acha kutoa ila sipokei ameeen
 
Bado hujaua maumivu ya kupoteza haki yako kwa kuwa kuna mtu katoa rushwa.
 
Rushwa ni adui wa HAKI ila kitu kidogo rukhsa.
 
Siku bint yako abakwe halafu jamaa aliye fanya huo unyama aachiwe kwa sababu ya rushwa.
Na isiwe kama ulivyonena. Lakini ikitokea kwa yeyote yule ni sawa tu, maana mambo hayo mbona yanatokea kila siku.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom