Angola yadai kurejesha zaidi ya Dola Bilioni 11 zilizoibwa Serikalini

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Waziri wa Sheria Nchini humo, Francisco Queiroz amesema ndani ya miaka mitatu iliyopita Serikali imerejesha Mali na Fedha zinazofikia Dola za Marekani Bilioni 11.5 zilizoibiwa kutoka Serikalini na kufichwa katika Mataifa mbalimbali yakiwemo Uswisi, Uingereza na Singapore.

Baada ya kuingia madarakani mwaka wa 2017, Rais Joao Lourenco alizindua mchakato wa kupambana na ufisadi ili kurejesha mali ambazo alishuku zilifujwa chini ya Mtangulizi wake, Jose Eduardo dos Santos.

Kwa mujibu wa Waziri Queiroz, Mamlaka imefungua Mashtaka 715 ya jinai kwa ufisadi, ulaghai, ubadhirifu na uhalifu mwingine wa kifedha.
===

Angola has recovered assets worth more than $11 billion that had been looted from state coffers and stashed in countries around the world, the justice minister said Thursday.

The authorities have launched 715 criminal prosecutions for corruption, fraud, embezzlement and other financial crimes, Justice Minister Francisco Queiroz said in the state-owned Jornal de Angola.

Over the last three years, the government has recovered nearly 11.5 billion dollars (10.06 billion euros) in cash and property in Angola and around the globe, he said.

Assets have been recovered from Britain, Switzerland, Singapore and Bermuda, among others, he said.

"The total amount seized and recovered, in the country and abroad, totals $11,486,042,997.22," he said in the paper.

After taking office in 2017, President Joao Lourenco launched an anti-corruption drive to recoup assets he suspected were embezzled under his predecessor, Jose Eduardo dos Santos.

Dos Santos, 79, is accused of appointing relatives and friends to top positions during his 38-year presidency. They allegedly siphoned off Angola's oil wealth, leaving behind a nation mired in poverty.

His daughter Isabel is being investigated for allegedly funnelling state funds into offshore assets -- accusations she vehemently denies.

Source: The East African
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom