ronaldo

  1. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo aanza kutimiza ahadi aliyoweka mwaka 2022

    Cristiano Ronaldo moja ya wachezaji bora Duniani ameanza kutimiza Ahadi yake ambayo aliisema Mwaka 2022 mwez wa 4 baada ya kufunga Hat trik ya 60 ambapo ali tweet katika mtandao wa Twitter na kuandika "30 Hat-Tricks before 30 and 30 Hat-Tricks after 30.It's time to...
  2. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Christian Ronaldo atastaafu kwa aibu sana

    Naweka tu tahadhali, alipaswa azisome alama za nyakati. Muda unaenda atadharaulika atajikuta siku moja anakuja sajiliwa Simba na bado anawekwa bench. Umri unakataa; moyo unataka lakini mwili unakataa. Amekuwa mchezaji bora kwa miaka mingi. Amevuna pesa nyingi sana kutokana na uchezaji. Sasa...
  3. mcshonde

    JamiiForums Tanzania Messi na Ronaldo walivyokutana

    Kwenye mechi ya kirafiki kati ya PSG na wachezaji wa Al Nassr & Al Hilal Messi na Ronaldo wameonyesha ni namna gani mgawano wao wa ushabiki upo kwa ajili ya kutengeneza pesa na sio uadui. Kama Ronaldo kaanza vizuri namna hii basi ligi ya uarabuni itakuwa moto na kawaaminisha waarabu kuwa mzigo...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Ronaldo na kufuru yake nchini Saudi Arabia

    Cristiano Ronaldo, familia yake pamoja na wapambe wake wataishi kwenye hoteli moja balaa sana nchini Saudi Arabia ambapo watamiliki jumla ya vyumba 17 na watakuwa wakizilipia jumla ya dola za kimarekani 300,000 kwa mwezi sawa na zaidi ya shilingi milioni 650 za kitanzania kwa mwezi. Sasa jamaa...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Picha linaanza upya, Kocha mpya wa Ronaldo asema alitaka kumsajili Messi

    Katika kile kinachoonekana anataka ‘kutikisa kiberiti’ japo haijajulikana kama alikuwa anamaanisha au anatania, Kocha huyo wa Al-Nassr, Rudi Garcia ametoa kauli hiyo mbele ya waandishi wa habari wakati alipoulizwa juu ya ujio wa Cristiano Ronaldo kikosini hapo. Amesema “Nilitaka kumsajili...
  6. Poker

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo kuingizia Billion 1.5 kwa siku huko saudi Arabia

    Umri wake ni miaka 37 mwakani mwezi wa 2 tarehe 5 atakuwa na miaka 38. Amesaini mkataba wa kufuru utakaomfanya kulipwa pesa nyingi kuliko mchezaji yoyote duniani!
  7. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Ronaldo aamua kuyafuata maneno ya Floyd Mayweather.

    Bondia bora wa muda wote katika madaraja yote ya ngumi (Pound for pound),Floyd Mayweather aliwahi kusema "If it makes dollars it makes sense" kauli hii aliitoa baada ya watu kumshutumu kwamba amefulia kwa kitendo cha yeye kucheza exhibition fights na kuacha kupigana na real boxers wanaotrend kwa...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Neville na Carragher wasema Ronaldo amejimaliza Kisoka kwenda Saudi Arabia

    Kauli za Wakongwe hao wa Soka zinakuja muda mfupi baada ya #CristianoRonaldo kujiunga na Klabu ya #AlNassr kwa mkataba wa miaka miwili na nusu wenye thamani ya Tsh. Bilioni 493.7 kwa mwaka, sawa na Tsh. Bilioni 41.1 kwa mwezi. #GaryNeville ambaye amewahi kuchezea #ManUnited amesema "Nilihisi...
  9. Last Seen

    JamiiForums Tanzania Ronaldo atua rasmi Al Nassr

    Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Manchester United Cristiano Ronaldo amesaini mkataba mpya na klabu ya Al Nassr ya nchini Saudi Arabia. Mkataba huo utamfanya kuwa mchezaji anyelipa zaidi na atasalia klabuni hapo hadi 2025. Ronaldo mwenye umri wa Miaka 37 amekabidhiwa jezi namba 7.Al Nassr ni...
  10. Dj Aiman

    JamiiForums Tanzania Je, CHRISTIANO RONALDO ananafasi ya kuchukua KOMBE LA DUNIA kupitia kwa mtoto wake CRISTIANO RONALDO JR?

    Baada ya kumalizika kwa Kombe la dunia nchini Quatar 2022, Baadhi ya mashabiki wa Christiano Ronaldo wamevunjika moyo sana nakuona kama ndoto za mchezaji huyo maarufu Duniani wa Ureno za kutwaa kombe la dunia zimeishia hapo kwani kwasasa anaumri wa miaka 37 hivyo itamuwiya vigumu kushiriki kombe...
  11. Execute

    JamiiForums Tanzania Luka Modric apewe Ballon d'Or za mwaka 2014 na 2017 badala ya Cristiano Ronaldo

    Hizi tuzo zilitolewa kwa kuangalia mshindi wa UEFA Champions League (UCL). Ni dhahiri kwamba mchango wa Modric ni muhimu na wakipekee. Kama asingekuwepo Modric wala Real Madrid wasingeshinda hayo makombe. Huyu Modric aliweza kufikia nafasi ya pili (2018) na nafasi ya tatu (2022) Kombe la Dunia...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kuanzia sasa Christiano Ronaldo akikuzingua tu na ukitaka umnyamazishe kilazima awe mpole muoneshe picha ya Messi!

    Tafuta tu popote pale Picha ya Lionel Cognizant Messi akiwa ameshika Tuzo yake ya Golden Ball na ile ameshika Kombe la Dunia alizoshinda zote leo kisha muonyeshee tena kwa Kumringishia kabisa Christiano Ronaldo utaona atakavyokuwa Mpole na hata Kukuamkia Shikamoo kama ambavyo sasa anamuamkia...
  13. Kumar Singh

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo kama kulinganishwa alinganishwe na akina Lewandowski na Ibrahmovich

    Cristiano Ronaldo moja ya mafanikio yake makubwa ni kufananishwa na Lionel Messi lakini kiuhalisia huyu Lionel Messi ni wa level za Pele na Maradona. Huyu Ronaldo ni wa kulinganishwa na akina Lewandowski na Ibrahmovic ambao ndio level zake. Kitu pekee team Cr7 walichobakiza ni kumuita Ronaldo...
  14. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Je, Messi akikosa Kombe La Dunia Atakua Juu ya Cristiano Ronaldo?

    Habarani Wapenda Michezo. Naomba niseme mapema mimi ni shabiki wa Ronaldo the Boy from Madeira CR7 shabiki Kufakufa. Hio haimanishi siwez kusema mazuri ya Messi NO, MESSI is so F*ck*ng Talented Kabisa. Nirud kwenye Mada. Leo ndio ndio ile siku Maalum. Macho Mengi yapo kwa Messi. Dua Nyingi...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Kwa huu ukaribu wa Ronaldo na Mbappe na Mwamuzi Mreno kuihukumu fainali Jumapili, mashabiki wa Argentina tuna hofu

    Haiwezekani Mchezaji Christiano Ronaldo Siku zote alikuwa hana Urafiki na Kylian Mbape na Timu ya Ufaransa leo hii amekuwa nae na kuwa nao bega kwa bega. Haiwezekani FIFA wanajua fika kuwa Wareno kwa Upendo walionao kwa Ndugu yao Christiano Ronaldo Wanamchukia Mchezaji Lionel Messi halafu leo...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo ‘atibuana’ na wakala wake

    Inadaiwa kwa nyota huyo wa Ureno hafanyi kazi kwa ukaribu na wakala wake huyo, Jorge Mendes kutokana na wawili hao kupishana mitazamo juu ya timu ambayo Ronalo anatakiwa kujiunga nayo. Inaelezwa kuwa klabu zinawasiliana na Ronaldo (37) moja kwa moja kwa ajili ya mazungumzo ya kumsajili badala...
  17. February Makamba

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Ronaldo wanaharibu soka

    Ronaldo alianza kumtuma Pepe na Bruno Fernandez wa ureno kusema kuwa FIFA wanambeba Messi. Tokea hapo kumekuwa na wimbi kubwa la mashabiki wa Ronaldo ambao kila mechi ya Argentina wanalalamika inabebwa, mfano ni jana ile penati. Tunajua ndio penalty nyingi kwenye mpira huwa zinaleta debates...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo anataka kubeba mizigo yake aondoke kambi ya Ureno

    Inadaiwa kuwa Cristiano Ronaldo anataka kuchukua hatua hiyo kutokana na kutokuwa na maelewano mazuri na kocha wake wa timu ya taifa ya Ureno, Fernando Santos. Mshambuliaji huyo alianzia benchi katika mchezo wa Hatua ya 16 Bora dhidi ya Uswisi, inaelezwa kuwa amechukizwa na maamuzi hayo na mpaka...
  19. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Kinachowauma mashabiki wa Ronaldo hadi sasa ni kwamba CR7 ana mchango mdogo sana kwenye timu ya Ureno

    Kinachowauma mashabiki wa Ronaldo hadi sasa ni Kwamba CR7 ana mchango mdogo sana kwenye timu ya Ureno. Ureno inasonga mbele zaidi na inaonekana ni wazi bila hata Ronaldo timu inaweza kufanya vizuri tu,
  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Christian Ronaldo ana utoto sana. Huwa namchukia sababu ya kudhani yeye ni bora sana anafaa kuogopwa

    Wampige chini asicheze leo fala huyu. Yaani asitolewe? Akitolewa anasusa? Hata kama uwanjani ana ruka ruka tu? Tabia za kipuuzi sana. Mimi ngekuwa coach. Ndo simpangi acha kama tutatolewa tutolewe hamna kumbembeleza mtu utadhani yeye Mungu. Fala kabisa.
Back
Top Bottom