Je, CHRISTIANO RONALDO ananafasi ya kuchukua KOMBE LA DUNIA kupitia kwa mtoto wake CRISTIANO RONALDO JR?

Dj Aiman

Member
Dec 21, 2022
23
13
Baada ya kumalizika kwa Kombe la dunia nchini Quatar 2022, Baadhi ya mashabiki wa Christiano Ronaldo wamevunjika moyo sana nakuona kama ndoto za mchezaji huyo maarufu Duniani wa Ureno za kutwaa kombe la dunia zimeishia hapo kwani kwasasa anaumri wa miaka 37 hivyo itamuwiya vigumu kushiriki kombe la dunia lijalo 2026 kutokana na umri wake kuwa mkubwa na anatazamiwa kustaahafu hivi karibuni.

Kwa wenye jicho la kuona mbali utakubaliana nami kwamba bado staa huyo ananafasi ya kunyakua kombe hilo kupitia mwanaye wa kwanza maarufu kama Cristiano Ronaldo JR mwenye miaka 12 sasa ambaye amekuwa akifanya vizuri sana katika soka.

Like Father Like Son mtoto wa Cristiano Ronaldo tayari alisha anza kuingia kwenye headlines za vyombo vya habari kama baba yake kutokana na uwezo wake anaoendelea kuuonesha toka akiwa na umri wa miaka saba hata sasa kwenye vilabu kama Juventus na Manchestar United.

MADRID, HISPANIA. WANASEMA mtoto wa nyoka ni nyoka. Kila anachoweza kukifanya baba, basi usishangae kitu kama hicho kikifanywa pia na mtoto,Cristiano Ronaldo JR amekuwa akiiga hadi staili za baba yake za kupiga friikiki.Kinachosubiriwa ni kuona kama atatoboa kwenye soka la kisasa kama anavyofanya baba yake.Niswala la Muda tu Ronaldo kuwa mvumilivu na kusubiri siku ambayo mti alioupanda kwa mda mrefu utoe matunda.

Mtoto uyo kwasasa anaripotiwa kutaka kurejea Real Madrid baada ya baba yake kuondoka United,Msimu huu ndani ya Unite amecheza michezo 23 mabao 58 na assist 18.Licha ya Umri wa mika 12 lakini amekua akicheza timu za U-14.

Christiano amewekeza sana kwa mwanaye uyo kwakumpa misingi yote ya mchezo wa soka nakumsimamia katika mambo mbalimbalia kama mazoezi makali,lishe bora, mbinu, nidhamu, masomo n.k

Nimatuini yangu kuwa hapo mbeleni Cristiano Ronaldo naye atafurahi na kujivunia kama tu mastaa kadha waliokwisha kutwaa taji hilo kubwa zaidi Duniani kupitia kwa mwanaye.
cr7-pic.jpg
 
Baada ya kumalizika kwa Kombe la dunia nchini Quatar 2022,Baadhi ya mashabiki wa Christiano Ronaldo wamevunjika moyo sana nakuona kama ndoto za mchezaji uyo maarufu Duniani wa Ureno za kutwaa kombe la dunia zimeishia hapo kwani kwasasa anaumri wa miaka 37 hivyo itamuwiya vigumu kushiriki kombe la dunia lijalo 2026 kutokana na umri wake kuwa mkubwa na anatazamiwa kustaahafu hivi karibuni.

Kwa wenyejicho la kuona mbali utakubaliana namikwamba bado staa huyo ananafasi ya kunyakua kombe hilo kupitia mwanaye wa kwanza maarufu kama Cristiano Ronaldo JR mwenye miaka 12 sasa ambaye amekuwa akifanya vizuri sana katika soka.

Like Father Like Son mtoto wa Cristiano Ronaldo tayari alisha anza kuingia kwenye headlines za vyombo vya habari kama baba yake kutokana na uwezo wake anaoendelea kuuonesha toka akiwa na umri wa miaka saba hata sasa kwenye vilabu kama Juventus na Manchestar United.

MADRID, HISPANIA. WANASEMA mtoto wa nyoka ni nyoka. Kila anachoweza kukifanya baba, basi usishangae kitu kama hicho kikifanywa pia na mtoto,Cristiano Ronaldo JR amekuwa akiiga hadi staili za baba yake za kupiga friikiki.Kinachosubiriwa ni kuona kama atatoboa kwenye soka la kisasa kama anavyofanya baba yake.Niswala la Muda tu Ronaldo kuwa mvumilivu na kusubiri siku ambayo mti alioupanda kwa mda mrefu utoe matunda.

Mtoto uyo kwasasa anaripotiwa kutaka kurejea Real Madrid baada ya baba yake kuondoka United,Msimu huu ndani ya Unite amecheza michezo 23 mabao 58 na assist 18.Licha ya Umri wa mika 12 lakini amekua akicheza timu za U-14.

Christiano amewekeza sana kwa mwanaye uyo kwakumpa misingi yote ya mchezo wa soka nakumsimamia katika mambo mbalimbalia kama mazoezi makali,lishe bora,mbinu,nidhamu,masomo n.k

Nimatuini yangu kuwa hapo mbeleni Cristiano Ronaldo naye atafurahi na kujivunia kama tu mastaa kadha waliokwisha kutwaa taji hilo kubwa zaidi Duniani kupitia kwa mwanaye.View attachment 2456666
 
Bado haitobatilisha kuwa Christina amekosa kuchukua world cup

Shule ulienda kusomea ujinga?
 
Watoto wa messi ni kama wa shafih dauda mpira umewakataa ila baba zao wanawalazimisha watoto wamekuwa kama Peter msechu na lemutuz ila wa Ronaldo yupo fresh kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom