Je, Messi akikosa Kombe La Dunia Atakua Juu ya Cristiano Ronaldo?

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,727
3,286
Habarani Wapenda Michezo.

Naomba niseme mapema mimi ni shabiki wa Ronaldo the Boy from Madeira CR7 shabiki Kufakufa. Hio haimanishi siwez kusema mazuri ya Messi NO, MESSI is so F*ck*ng Talented Kabisa.

Nirud kwenye Mada. Leo ndio ndio ile siku Maalum. Macho Mengi yapo kwa Messi. Dua Nyingi zipo kwa Messi,
Watu wanataka Messi ashinde Hii World Cup na wengi wanataka watumie hii Cup kama kumaliza Mjadala wa Who is a GOAT? Ambao umetawala Kwa Miaka Mingi.

Na Currently baada ya Ronaldo kutolewa na Team yake ya Taifa Watu walianza The Debate is Over,MESSI is a GOAT na sisi Mashabiki wa CR7 tumekaa Kimya hatuwez kujibu hadi iishe hii world Cup Maana tulupigwa na Kitu kizito.

Sasa Naomba niulize ikitokea Messi na Argentina wakafungwa Match ya Leo Messi atakua Juu ya Ronaldo??
Na Kwa Kipi?
 
Messi atabaki kuwa kipanga kwa performance yake no matter atanyakua kombe au laah.

Ronaldo kwamba kashapotea na yuko hatua za karibuni kustaafu kwamba hana maajabu Tena ..Tena mpaka sasa hana timu inahitaji huduma yake anaweza kwenda Zika soka lake huko arabuni.
 
255711455435_status_f9d8c0ff2c7446038ad3827903020530.jpg
 
Messi ameshamuacha Ronaldo kitambo sana, na hii wala sio mada tena. Messi ana Ballon 7, Ronaldo 5. Messi anachokitafuta kwa sasa ni yeye kuwa mchezaji bora wa muda wote.

Hata wachezaji wa ufaransa wenyewe wanatamani kumuona Messi akitunza hii heshima yake. Argentina anabeba hili kombe leo.
 
France angekuwa hajabeba World Cup hivi karibuni ningesema Game ya leo anaweza akambania Argentina asibebe.

Mbape amenyanyua kwapa kubeba hili kombe 2018 pamoja na wenzie, wao pia ni wanadamu. Hawawezi kukaza mshipa kumbania Messi akiyepambana ktk carrier yake kwa zaidi ya miaka 18 pasipo World Cup.
 
Mpira sio suala la kuoneana huruma. Ufaransa inataka rekodi mpya, Mbape anataka rekodi nyingine, Messi anataka rekodi mpya,Argentina inataka rekodi mpya. Mechi itakuwa kupigania kombe na si kupeana kombe. Iwapo itakukuwa kama unavyosema, Messi atakuwa ana kombe la maigizo na hilo litabaki kwenye kumbukumbu.

Messi ni mchezaji bora sana hata akilikosa kombe, Ronaldo ni mchezaji bora pia ila Messi ni bora sana, kumpatia kombe kimaigizo sijui sababu tayari ufaransa wanalo ni kubatilisha ubora wake.
 
Kila mpenda football anatamani kumuona Messi akibeba hili kombe. Leo Messi anakwenda kutengeneza Historia mpya ya maisha yake ktk futbol.
Kweli lazima abebe ana goal 5 kati yake 4 ni penalty kuna matukio yalitokea jana kwenye game ya Croatia na Morocco kama ni Argentina refa angefunika penalty zote zile kiufupi messi ameandaliwa kupewa kombe labda itokee miujiza tu
 
France angekuwa hajabeba World Cup hivi karibuni ningesema Game ya leo anaweza akambania Argentina asibebe.

Mbape amenyanyua kwapa kubeba hili kombe 2018 pamoja na wenzie, wao pia ni wanadamu. Hawawezi kukaza mshipa kumbania Messi akiyepambana ktk carrier yake kwa zaidi ya miaka 18 pasipo World Cup.
Kwa hiyo hii ndio sababu itakayofanya andunje abebe kombe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom