ronaldo

  1. Sema kama nenga

    JamiiForums Tanzania Super Ballon D'or : Which player should win this award? Between Messi or Ronaldo 2029

    " In 1989, French football decided to reward the best Ballon d'Or of the previous three decades, a trophy that was only given once in history." There was only one rule to be a candidate : to have won the Ballon d'Or multiple times. Who voted? Readers of French football, the jury of the Ballon...
  2. Khanji kapoor

    JamiiForums Tanzania Christiano ronaldo amechokwa huko uarabuni anaelekea kunyimwa mkataba

    Hadi waarabu hawamtaki CR7 ? Hili swali ndio linatrend uko duniani How comes arabs kick out CR7 Niitaandika siku nyingine lkn kupitia ronaldo tujifunze kuheshimu wakati Mtumbuizaji mahiri anajua wakati sahihi wa kuachia jukwaa CR7 hakujua wakati sahihi Ronaldo hakutakiwa kwenda...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Hatma ya ronaldo

    Wakuu Jana Christian Ronaldo katoa tamko baada ya kutamatika mechi kati ya timu yake ya Al nassri na Al fateh ambapo Al nassri alilala 3-2 Kauli Ile inaonyesha kuwa ni mwisho WA maisha ya nguli huyo pale al nassri je wapi tunatazamia kumuona akienda Kukipiga baada ya kuondoka aL nassri na sisi...
  4. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Lamine Yamal apewe Balon D'or yake. Ni zaidi ya Ronaldo, Messi, Neymar na Gaucho

    Nimemuangalia huyu dogo uchezaji wake halafu nikarudi kuwaangalia hao wazee kipindi wako kwenye pick na huyu dogo kwa umri miaka 17 na vitu anavyovifanya itoshe kusema sijawahi kushuhudia kipaji Cha mpira kama hichi Wazee msije kuongea utumbo hapo chini najua wengi mna wivu na dogo kwakuwa ana...
  5. marcoveratti

    JamiiForums Tanzania Ronaldo angekubali tuu kustaafu kama Okwi

    Cristiano Ronaldo Cr7 ange staafu tu kama mwenzake Okwi. Jamaa hataki kukubali kama uroto hana tena
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Alichosema Ronaldo Nazário kuhusu kauli ya CR7 ndio Mchezaji Bora wa Muda wote

    Ronaldo Nazário (R9) has always spoken highly of Messi, calling him a ‘unique’ talent and one of the greatest ever. He admired Maradona’s magic and was deeply inspired by his legacy. When it comes to Cristiano Ronaldo, R9 respects his incredible work ethic and goal-scoring ability but has often...
  7. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Susana, mwanamke aliyetaka kuondoka na uhai wa Ronaldo De Lima

    Unamuona huyu mdada pichani? Hana furaha. Uwanja mzima unashangilia goal matata la Ronaldo ila yeye hana amani. Mwaka 1998, Timu ya taifa ya Brazil ilielekea Ufaransa kucheza michuano ya kombe la Dunia. Kila mmoja uwanjani alikuwa akifurahia soka safi la Kibrazil lililokuwa la nguvu na vipaji...
  8. excel

    JamiiForums Tanzania Kwanini Christiano Ronaldo hashtakiwi kwa Sheria za kiislamu huko Saudi Arabia?

    Saudi Arabia ni nchi ambayo inaongozwa kwa sheria ya dini ya Kiislamu yaani Sharia. Tena ukiwa Saudi Arabia ni kosa kubwa kuishi na mwanamke ambaye haujamuoa. Lakini Cristiano Ronaldo anaishi na Georgina ambaye hajamuoa na hakamatwi wala kushitakiwa. Contradiction...
  9. errymars

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo anunua Ndege mpya Gulfstream G650 yenye thamani ya Bilioni 187

    https://fntaz.com/cristiano-ronaldo-anunua-ndege-mpya-yenye-thamani-ya-75-milion/
  10. G

    JamiiForums Tanzania Ronaldo pamoja na kuwa na hela nyingi mpaka leo hajaoa (ana mchumba tu), lakini wewe Pangu Pakavu ushajitwisha majukumu

    Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa. Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress? Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata. Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ronaldo: Vini Jr alistahili kushinda tuzo ya Ballon d'Or

    Nyota wa Ureno na Klabu ya Al Nassr, Cristiano Ronaldo ametamka hadharani kwamba, Vinicius Jr alistahili kushinda tuzo ya Ballon d'Or mwaka huu. Ronaldo amezungumza hayo mbele ya wahudhuriaji wa tuzo za Globe Soccer. "Kwa maoni yangu [Vinicius Jr alistahili kushinda, ilikuwa sio haki...
  12. Stability

    JamiiForums Tanzania Nakumbuka Ronaldo alipost "Eid Mubarak" hakuna kipangamizi alipata kutoka dunia ya Wakristo ila Mo Salah kupost na mti wa X-Mas tu imekuwa kesi

    Kama member mmoja humu anaitwa Eli Cohen anapenda kusema kuwa "itikadi yenu sio ya harakati ya haki wala ukombozi, ila ni ya harakati za kitapeli" Mengine nawaachia
  13. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Mo Salah na C. Ronaldo wanatuchanganya sana. Nashindwa kuwaelewa.

    FaizaFoxy alishaandika akifurahi sana kuwa CR. Kasilimu. Several times tumekuwa tukifurahia kuwa tumepata bonge la mtu katika uislamu. Lakini namwona bado anasheherekea Christmas na familia yake. Hii inakuaje? Mi nashindwa kuelewa kabisa. Hii imekaaje kaaje? Huyu Mo. Salah ni muislamu kabisa...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Al Ahly wanamtaka Ronaldo kwa mkopo wa miezi sita kwa ajili ya Kombe la Dunia la Vilabu Marekani

    Wakuu Inaelezwa kuwa Wajumbe wa bodi ya Al Ahly wamependekeza kwa Rais wa klabu hiyo, Mahmoud El Khatib, kujaribu kumsajili Cristiano Ronaldo kwa mkataba wa mkopo wa miezi sita kwa ajili ya michuano ya Kombe la Dunia la Klabu litakalofanyika nchini Marekani. Baada ya kuweka rekodi ya mabao...
  15. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Na hapa tutamlaumu Gamondi ? Acheni kina Cristiano Ronaldo na Messi wang'are

    Ingawa kwa kumuangalia Azizi ki hizi mambo zinaonekana sio zake kabisa
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Al-Hilal kumsajili Cristiano Ronaldo kama mbadala wa Neymar baada ya majeraha yake kuleta sintofahamu

    Majeraha ya mara kwa mara yanayomkumba nyota wa soka Neymar sasa yamezua sintofahamu kubwa juu ya hatima yake katika klabu ya Al-Hilal. Kulingana na ripoti ya hivi karibuni kutoka Fichajes, klabu hiyo ya Saudi Arabia inaangalia uwezekano wa kumuuza mchezaji huyo wa Brazil ambaye amekuwa...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo asusia kupiga Kura na kuhudhuria sherehe za Ballon d’Or

    Vincent Garcia, Mhariri Mkuu wa France Football ambao ndio wamiliki wa tuzo za Ballon d'Or amebaki njia panda baada ya CR7 kuzikacha tuzo hizo. Pia, Soma: Rodri ashinda Ballon d’Or 2024, kiungo mkabaji wa kwanza kushinda tuzo hiyo Majina ya Vinicius Jr na Jude Bellingham yaondolewa kwenye Viti...
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania MIZANIA Ronaldo hajawahi kufunga goli la Offside

    Wakuu nimekutana na Taarifa hii, wanadai Cristiano Ronaldo ana rekodi kwamba zaidi ya magoli 890 aliyofunga hakuna hata moja lililobainika kuwa na mashaka ya Offside. Je Kuna ukweli hapa?
  19. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mbabe aache Ujinga wa kuishi kwenye Kivuli cha Ronaldo Christian. Ni Utoto

    Huyu dogo kama fala.... Sijui hawamwambii? Kuwa sasa amekua aache ujinga. https://www.instagram.com/reel/DAFMY5BsQTm/?igsh=NnhwZGpqdmRtM3Q3
  20. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo Asilimu na sababu ni ya kushangaza

    Cristiano Ronaldo alisilimu na sababu ni ya kushangaza Hadithi Utangulizi: Hakuna mtu angetarajia kwamba mmoja wa wachezaji wakubwa wa mpira wa miguu katika historia, Cristiano Ronaldo, siku moja angesimama kwenye mimbari ya msikiti, akizungukwa na hadhira ya waumini, wakati akisoma Quran Tukufu...
Back
Top Bottom