ronaldo

  1. MO11

    JamiiForums Tanzania Bora Ronaldo hakuenda man city

    Nilishtushwa sana na tetesi zilizokjwa zinsema ronaldo to the citizen Nikajisemea na vitimu vyetu hivi vibovu tutalia na kusaga meno Mungu sio Ambagile cr7 huyo utd anateseka tu timu hovyo kocha hovyo kila mechi wanaruhusu mabao wapo wazi nyuma wanaruhusu tu Angeenda Man city timu za hovyo...
  2. Drop shipping Tanzania

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uwe na kipaji kama Messi, Kiba ama uwe na bidii kama Ronaldo au Diamond Platnumz

    Karibuni Sana Marafiki zangu Damdam!! Kama hukubarikiwa kipaji huna option nyingine zaidi ya kuwa na bidii. Ukizaliwa na kipaji, its God given, huna option nyingine zaidi ya kutumikia hiko kipaji. Hutumii nguvu, yani effortlessly. Hutoki jasho kbs. Mwangalie Messi, mwangalie Kiba...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mauzo ya jezi ya Ronaldo ya vunja rekodi za muda wote

    💰 £187m in shirt sales 👕 Fastest selling shirt in Premier League history 🙌 Almost twice as many ‘Ronaldo 7’ shirts bought than ‘Messi 30’ shirts 🤑 Man Utd recouped entire transfer fee before Ronaldo's kicked a ball Nobody sells shirts quite like Cristiano Ronaldo
  4. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Ronaldo apewa jezi namba 7 na Cavani kuchukua namba 21 Manchester United

    Jezi namba 7 pale katika viunga vya Old Traford Manchester United huwa inajulikana ni ya nani 😇 Ronaldo na tayari kachukua namba yake huenda Cavan akavaa jezi namba 21 ambayo anaitumia timu taifa na kwenye vilabu vingine alivyochezea. Mwanzo jezi namba 21 pale Man United alikuwa akiitumia...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Cristian Ronaldo ndani ya Man U

    Manchester United is delighted to confirm that the club has reached agreement with Juventus for the transfer of Cristiano Ronaldo, subject to agreement of personal terms, visa and medical. Cristiano, a five-time Ballon d’Or winner, has so far won over 30 major trophies during his career...
  6. L

    JamiiForums Tanzania SoC01 Unaweza kutoa mimba bila kujua mtoto unayemtoa na kumdhulumu uhai wake angekuja kuwa kama muokozi wa taifa

    Willis Austine Chimano, Bien Aime Baraza, Delvin Savara Mudigi na Polycarp Otieno ni wanamuziki kutoka nchini Kenya wanaounda kundi la Sauti Sol. Katika moja ya wimbo wao bora unaowavutia wasikilizaji wengi zaidi ni ule wa NEREA wa mwaka 2015 ambao waliwashirikisha Amos na Josh. Ndani ya wimbo...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Irina Shayk: Kama mlini-Follow kwa sababu ya Ronaldo nimeshaachana naye so mni-unfollow

    Mpenzi wa zamani wa Cristiano Ronaldo, Irina Shayk aliwaambia wafuasi wake wa Instagram wam-unfollow kama walimfollow sababu ya Cristiano Ronaldo baada ya kuachana unajua kilichotokea? Alipoteza wafuasi millioni 11 ndani ya saa 24 pekee. How powerful RONALDO HE IS
  8. C

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo (kuhusu kuvunjika kwa penzi lake na mlimbwende Irina Shayk)

    Rejea kichwa cha habar hapo juu: ′′ Tuliishi vizuri sana, lakini alikuwa na tabia hii ya kuniuliza mbona tunafatana na mama yako kila mahali tunapoenda? Lazima uchague kati yangu na Mama yako". Nilimjibu kuwa siwezi kumuacha mama yangu sababu ya mwanamke mwingine. Na kamwe sitajutia kuachana...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ronaldo and Messi is it coincidence?

    ▪️Cristiano Ronaldo is 869 days older than Lionel Messi ▪️ Cristiano Ronaldo Jr is 869 days older than Thiago Messi ▪️Cristiano Ronaldo’ second son is named Mateo ▪️Lionel Messi’s second son is named Mateo ▪️Cristiano Ronaldo won his first international trophy on July 10 ▪️Lionel Messi won his...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Eeeh bwana eeeh Kikosi bora Euro2020 Lukaku ndani Ronaldo out

    Wakuu salaam, Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Euro wametoa kikosi bora cha Mashindano lakini Goal Machine Mr CR7 hajatokea ilihali yeye ndiye katunukiwa ufungaji bora. Inawezekanaje hii. Hii ni hujumaaa. Euro irudiwe irudiwe irudiwe Tazama kikosi bora cha mashindano katika picha...
  11. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Barcelona working on deal to unite Cristiano Ronaldo & Lionel Messi

    With Barcelona now confident Lionel Messi will stay at Camp Nou, president Joan Laporta is understood to be focusing on how to build a new super-team - and is working on a deal to bring Juventus forward Cristiano Ronaldo to the club. © Provided by 90min Ronaldo and Messi met in last season's...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je Ronaldo leo atauvunja mwiko?: Hajawahi kufunga goli dhidi ya Ujerumani!

    Ronaldo amecheza mechi 4 dhidi ya Ujerumani. Mara zote hizo hajawahi kufunga goli! Je leo atauvunja mwiko huo na kuzifumania nyavu? Ngoja tuone, yetu macho!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Messi vs Ronaldo: Rekodi mechi za kimataifa-Namba hazidanganyi!

    MESSISTATS ALL TIME INTERNATIONALS ALL TIME 73GOALS 43ASSISTS 146APPS 165 mins per goal 104 mins per goal contribution RONALDOSTATS ALL TIME INTERNATIONALS ALL TIME 106GOALS 30ASSISTS 176APPS 132 mins per goal 103 mins per goal contribution
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi akina Pele, Maradona, Zidane Messi na Ronaldo hawawezi 'Kumshtaki' kwa Mungu Clatous Chota Chama kwa 'Kipaji' kikubwa anachokimiliki?

    Wala huhitaji 'Akili' kubwa au 'Kubishana' mno pale tu ukiambiwa kuwa Mchezaji Clatous Chota Chama ni 'Football Genius ' duniani na mbinguni pia.
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Pep Guardiola: Huwa nacheka sana wakisema Ronaldo anahama club kutafuta ili changamoto

    Maoni ya Pep Guardiola juu ya Cristiano Ronaldo kushinda taji la EPL, La Liga na serie A: "Hakuna cha kushangaza juu ya hilo, Danilo alishinda EPL na sisi (Manchester), Kashinda la liga na Madrid na akashinda Serie A na Juventus .... ikiwa unachukua mchezaji kutoka ligi ya chini zaidi duniani...
  16. RAKI BIG

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo bishoo wa Madeira na miguu iliyompa ubilionea

    Wakati Dunia ikiwa katika uso wa tabasamu baada ya janga la Corona kupungua ni wakati wa kusema asante sana Mungu. Nyakati ambazo tulipoteza baadhi ya watu muhimu sana katika maisha yetu, ila yote kwa yote ni mipango yake na lazima itimie Katika kisiwa cha Madeila moja kati ya maeneo yenye...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ronaldo ashika kijiti kwa wanasoka waliovuta mkwanja mrefu kwenye Jarida la Forbes

    LONDON, ENGLAND SUPASTAA, Cristiano Ronaldo amempiku staa mwenzake, Lionel Messi kwenye mchakato wa wanasoka waliovuna pesa nyingi zaidi kwa mwaka 2020 kama inavyofichua orodha mpya ya jarida la Forbes. Mjumuiko wa mishahara yake pamoja na pesa nyingine anavuna kupitia soka lake la uwanjani...
  18. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania TFF na BMT mpo serious kweli? Hivi Kagere na Morrison wanaliuaje Soka letu?

    Hili swala la wachezaji wa kigeni linaonekana kama zima moto lakini siyo mwarobaini wa Soka letu. Hata tukiwa na mmoja wa kigeni soka letu bado lipo hapa hapa, tatizo letu kubwa ni ukuzaji wa vipaji tulivyonavyo. Kama tukiweza kusimamia hilo hata hao wa nje hakuna atakaosumbuka nao. Cha muhimu...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Heri ya kuzaliwa Cristiano Ronaldo, hakika ulimwengu wa soka unajivunia uwepo wako

    Leo ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa ya Mshambuliaji wa club ya Juventus Cristiano Ronaldo ambaye ametimiza miaka 35. Mshambuliaji huyu ni miongoni wa wanasoka mahiri walio na wafuasi wengi zaidi ambao wengine wanadai kuwa ndio mchezaji bora wa muda wote kwao. Katika miaka 18 ya uchezaji wake...
  20. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mashabiki walipwa £240 (721,727.50 Tsh.) baada ya Ronaldo kutocheza mechi

    Mahakama moja ya Korea Kusini imeambia mwandalizi wa mechi kuwalipa fidia mashabiki wawili baada ya Cristiano Ronaldo kutocheza katika mechi ya kirafiki ya Juventus kama ilivyotangazwa. Mashabiki waliambiwa kwamba mchezaji huyo wa Portugal atacheza dakika zisizozidi 45 dhidi ya ligi ya K...
Back
Top Bottom