Kuanzia sasa Christiano Ronaldo akikuzingua tu na ukitaka umnyamazishe kilazima awe mpole muoneshe picha ya Messi!

Cognizant

JF-Expert Member
Aug 13, 2022
491
1,056
Tafuta tu popote pale Picha ya Lionel Cognizant Messi akiwa ameshika Tuzo yake ya Golden Ball na ile ameshika Kombe la Dunia alizoshinda zote leo kisha muonyeshee tena kwa Kumringishia kabisa Christiano Ronaldo utaona atakavyokuwa Mpole na hata Kukuamkia Shikamoo kama ambavyo sasa anamuamkia Messi Shikamoo.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mtanisamehe wakuu, nilichogundua messi anakubalika zaidi kwa wanawake na watu wafupi
JamiiForums-716845962.jpg
JamiiForums-1394873182.jpg
JamiiForums-201325086.jpg


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mtanisamehe wakuu, nilichogundua messi anakubalika zaidi kwa wanawake na watu wafupi
View attachment 2451267View attachment 2451268View attachment 2451269

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Akusamehe nani? Huna issue wewe timu cr 7 hivi unawezaje mtu kupingana na uhalisia?kinachokuuma ni nini? Wakati dunia nzima inamba Messi messi...na anakwenda nyakua ballon d o..ya 7 sasa sijui utakunywa sumu ujifukie?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Kauli hizi za kijinga utazikuta Bongo tu. Huyo Ronado utakutana naye kwenye foleni ya kugombania maji mtaani kwenu?!
 
Back
Top Bottom