ronaldo

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo aongoza orodha ya wachezaji wenye gharama na ushawishi duniani

    Wakati Kombe la Dunia likibakiza miezi miwili kuanza, tayari inaonekana nyota wa Ureno na Manchester United Cristiano Ronaldo ataingia kwenye michuano hiyo akiwa mchezaji mwenye nguvu zaidi duniani kwa kuzingatia ushawishi wake kwenye mitandao ya kijamii. Ronaldo amewapiku mastaa wengine kama...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wachezaji Man United walifurahia kusikia Ronaldo ameomba kuondoka

    Baada ya Cristiano Ronaldo kuiambia klabu yake ya Manchester United kuwa anataka kuondoka klabuni hapo inadaiwa kuwa wachezaji wa timu hiyo walifurahia tamko hilo. Sababu ya hali hiyo ni kuwa wachezaji wanaamini Ronaldo (37) amepoteza nguvu ya ushawishi kikosini na wanahisi amekuwa mzigo zaidi...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wayne Rooney amshauri kocha wa Man United kutomuanzisha Ronaldo mechi dhidi ya Liverpool

    Nahodha wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney amemshauri kocha wa timu hiyo, Erik ten Hag kutompanga Cristiano Ronaldo katika mchezo dhidi ya Liverpool. Tim hizo zinatarajiwa kukutana katika kipute cha Premier League, kesho Agosti 22, 2022. Rooney anaamini United inahitaji wachezaji...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ten Hag anyoosha mikono, ataka Ronaldo aondoke Man United

    Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag inadaiwa kuwa amebadili mawazo yake na anataka Cristiano Ronaldo aondoke klabuni hapo baada ya awali kunukuliwa akisema kuwa Mreno huyo yupo kwenye mipango yake Taarifa za ndani ya klabu hiyo zinaeleza kuwa imekuwa ngumu kwa Ten Hag kufanya kazi na...
  5. Influenza

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wanaowania Ballon d’Or 2022 hawa hapa. Messi, Neymar wakosekana, Ronaldo ndani

    Mshindi wa tuzo ya Ballon d'Or kwa mwaka 2021, Lionel Messi hajatajwa kwenye orodha ya Wachezaji 30 wanaowania tuzo hiyo kwa mwaka huu Tangu mwaka 2005, Messi amekuwa akitajwa kwenye orodha ya Wachezaji 30 wanaowania tuzo hiyo, akiwa ameshinda tuzo hiyo mara saba katika kipindi hicho Mpinzani...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania EPL: Man United yapata kipigo ikiwa Old Trafford, Ronaldo aanzia benchi

    Manchester United imeanza vibaya msimu mpya wa Premier League 2022/23 baada ya kufungwa magoli 2-1 katika mchezo dhidi ya Brighton kwenye Uwanja wa Old Trafford, leo Agosti 7, 2022. Mchezo huo ni wa kwanza wa kiushindani kwa Kocha Erik ten Hag tangu aanze kuifundisha #ManUtd, ambapo pia...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ten Hag akasirika Ronaldo kuondoka uwanjani mechi ikiendelea

    Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag amemjia juu Cristiano Ronaldo kwa kitendo cha kuondoka uwanjani wakati mchezo dhidi ya Rayo Vallecano ikiendelea, Jumapili iliyopita Julai 31, 2022 “Sikubaliani na kitendo alichofanya, hii ni kwa mtu yeyote, sisi ni timu na unatakiwa kukaa hadi mwisho,”...
  8. M

    JamiiForums Tanzania kwanini Manchester united imekazania ronaldo asiondoke kwani hamna timu zinazomtaka ikumbukwe anapokea mshara wa pauni laki tano kwa wiki.

    mwanzoni mwa mwezi wa saba chelsea walionesha nia ya kumsajili baadae kocha akatangaza hawana mpango na ronaldo , bayern munich nao wakatangaza hawana ela za kumlipa ela ronaldo japo tayari ana miaka 37 , rais wa athletic madrid nae akatangaza kuwa athletic hawana mpango wa ronaldo . man united...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo arejea Jijini Manchester kuzungumza na Ten Hag

    Cristiano Ronaldo amerejea Jijini Manchester na alitarajiwa kuwa na mazungumzo na Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag kuhusu hatma yake. Mreno huyo ambaye amekosa wiki tatu za kwanza za maandalizi ya msimu ya timu kutokana na sababu za kifamilia ilielezwa kuwa aliiambia klabu yake kuwa...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo anataka kuichezea Atletico Madrid, anamshawishi Simeone amsajili

    Imeripotiwa kuwa Cristiano Ronaldo, 37, anamshawishi Kocha Diego Simeone ili amsajili kwa ajili ya kuichezea Atletico Madrid msimu ujao. Ronaldo anataka kuondoka Manchester United ilia pate nafasi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya, tayari timu za Chelsea na Bayern Munich zilizotajwa kumuwania...
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania Chelsea yasitisha mpango wa kumsajili Cristiano Ronaldo, Kocha akataa dili

    Chelsea imesitisha mpango wa kumsajili Cristiano Ronaldo baada ya kuelezwa kuwa kocha wa timu hiyo, Thomas Tuchel kumwambia mmiliki wa klabu, Todd Boehly hamuhitaji Mreno huyo. Inadaiwa Chelsea ilikuwa mbioni kumsajili mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 37 wa Manchester United lakini kwa...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Man United kusafiri leo, Cristiano Ronaldo kukosekana kwenye msafara

    Cristiano Ronaldo hatakuwa sehemu ya wachezaji wa kikosi cha Manchester United kinachotarajiwa kusafiri leo Julai 8, 2022 kuelekea Bangkok kwa ajili ya mechi za maandalizi ya msimu mpya, kutokana na kuongezewa muda wa kushughulikia masuala yake ya kifamilia. Pamoja na hivyo bado haijulikana...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo akwama kufika mazoezini Man United

    Cristiano Ronaldo ameshindwa kuripoti katika mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya katika timu yake ya Manchester United ikitajwa kuwa ana matatizo ya kifamilia Ratiba ilimtaka Ronaldo kurejea leo Jumatatu Julai 4, 2022 kuanza mazoezi chini ya Kocha Erik ten Hag lakini haitawezekana kutokana na...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Baada ya Ronaldo kuomba kuondoka Manchester United, mashabiki wasema ‘muacheni aende’

    Cristiano Ronaldo ameomba kuondoka ndani ya Manchester United ikiwa ni msimu mmoja tu tangu arejee kikosini hapo, ambapo inadaiwa lengo lake ni kuendelea kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya ambapo mashabiki wamesema ‘muacheni aende’. United haijafuzu katika ligi hiyo badala yake itashiriki katika...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mmiliki mpya wa Chelsea akutana na wakala wa Ronaldo

    Mmiliki mpya wa Klabu ya Chelsea, Todd Boehly amekutana na Jorge Mendes ambaye ni wakala wa Cristiano Ronaldo ikidaiwa wamezungumza kuhusu usajili wa mshambuliaji huyo raia wa Ureno. Inaelezwa wawili hao walikutana wiki iliyopita. Mkataba wa Ronaldo ndani ya United umesaliwa na miezi 12 na...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Usajili mbovu kumuondoa Ronaldo Man United

    Cristiano Ronaldo anafikiria kuondoa Manchester United ikiwa timu hiyo haitafanya usajili wa kueleweka katika dirisha hili la sasa. Ronaldo ambaye alirejea klabuni hapo mwaka jana baada ya kuondoka miaka 13 iliyopita kwenda Real Madrid, yupo tayari kubaki lakini ni kama usajili utakuwa mzuri...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo afutiwa kesi ya kutuhumiwa kubaka Nchini Marekani

    Kesi ya kudaiwa kumbaka Kathryn Mayorga iliyokuwa ikimkabili Cristiano Ronaldo Nchini Marekani imefutwa na Jaji Jennifer Dorsey aliyekuwa akiiendesha. Kathryn alidai nyota huyo wa Manchester United alifanya tukio hilo walipokuwa hotelini Las Vegas, Marekani mwaka 2009. Ronaldo alikana na kusema...
  18. Dong Jin

    JamiiForums Tanzania Messi L vs Ronaldo C

    Messi Vs Timu za Ulaya Ronaldo Vs Timu za Amerika Kusini Kumbuka: Kwa mara ya kwanza katika maisha yake ya soka, Messi amefunga mabao matano katika mechi yake ya kwanza dhidi ya nchi ya Ulaya chini ya 100 katika viwango vya FIFA. Messi hajawahi kucheza dhidi ya nchi ya Ulaya chini ya 100 katika...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo atangaza kufiwa na mtoto wa kiume

    Staa wa Manchester United, Cristiano Ronaldo ametangaza kufiwa na mtoto wake wa kiume jioni ya leo Jumatatu Aprili 18, 2022. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Ronaldo amesema mtoto huyo wa kiume bila kufafanua ni yupi amefariki licha ya juhudi kubwa za madaktari katika kuokoa uhai wake...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo avunja simu ya shabiki wa Everton, aomba radhi, Polisi waingilia kuchunguza

    Polisi wa Merseyside wamethibitisha kuwa wanafuatilia taarifa ya tukio ambalo Cristiano Ronaldo wa Manchester United anatuhumiwa kwa kuikwapua simu ya shabiki wa Everton na kuivunja. Tukio hilo inadaiwa lilitokea jana Aprili 9, 2022 baada ya Man United kufungwa bao 1-0 na Everton kwenye Uwanja...
Back
Top Bottom