ronaldo

  1. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mbabe aache Ujinga wa kuishi kwenye Kivuli cha Ronaldo Christian. Ni Utoto

    Huyu dogo kama fala.... Sijui hawamwambii? Kuwa sasa amekua aache ujinga. https://www.instagram.com/reel/DAFMY5BsQTm/?igsh=NnhwZGpqdmRtM3Q3
  2. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo Asilimu na sababu ni ya kushangaza

    Cristiano Ronaldo alisilimu na sababu ni ya kushangaza Hadithi Utangulizi: Hakuna mtu angetarajia kwamba mmoja wa wachezaji wakubwa wa mpira wa miguu katika historia, Cristiano Ronaldo, siku moja angesimama kwenye mimbari ya msikiti, akizungukwa na hadhira ya waumini, wakati akisoma Quran Tukufu...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ureno kuzindua Sarafu ya Euro 7 Kumuenzi Cristiano Ronaldo

    Serikali ya Ureno imepanga kuzinduzi sarafu mpya, CR7 Euro kumuenzi mfungaji bora wa timu yao ya taifa, Cristiano Ronaldo. Sarafu hii itakuwa ni ishara ya kuthamini mchango mkubwa wa Ronaldo kwa taifa la Ureno. Cristiano Ronaldo ndiye mfungaji wa muda wote wa timu ya taifa ya Ureno, akiwa...
  4. chama konokono

    JamiiForums Tanzania Ureno yatoa sarafu yenye picha ya sura ya Cristiano Ronaldo

    Serikali ya Ureno imeripotiwa kuwa imetoa sarafu yenye picha ya sura ya Staa wa Taifa hilo Cristiano Ronaldo (39) kama ishara ya kutambua mchango wake katika Taifa hilo. Sarafu yenye sura ya Ronaldo inajulikana kwa jina la “CR 7” na thamani yake ni euro 7, serikali ya Ureno imefanya hivyo...
  5. tpaul

    JamiiForums Tanzania Tufuate mfano wa malezi wa Christiano Ronaldo; hebu msikilize kwa makini hapa

    Watanzania, hasa akina baba, tunao wajibu wa kuwalea watoto wetu kwa kutowapa kila kitu, hata kama tumejaliwa utajiri wa kutosha. Tunapaswa kuwafanya watoto wetu wa hustle ili wajue kuwa mali zinapatikana kwa uchungu. Sio kila akiomba hela unampa halafu anaenda kuspend na girlfriend wake...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo: Kushinda Euro ni sawa na kushinda Kombe la Dunia tu

    Baada ya kufunga magoli 900 na kuwa mwanasoka wa kwanza kufanya hivyo Cristiano Ronaldo amesema Timu yake ya Taifa kushinda Euro ni sawa na kushinda Kombe la Dunia tu, huku akibainisha kuwa tayari ameshinda mataji mawili akiwa na Ureno ambayo aliyataka sana. Itakumbukwa Ronaldo Ronaldo...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Cristiano Ronaldo, afikisha magoli 900 michuano rasmi

    Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza wa kiume katika historia kufunga magoli 900 kwenye mechi rasmi. Amefikia rekodi hii ya kihistoria katika mechi ya UEFA Nations League kati ya Ureno na Croatia iliyochezwa Lisbon Alhamisi hii. Soma Pia: Lionel Messi aipiku rekodi ya Ronaldo kwa...
  8. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Nani kuwarithi Messi na Ronaldo katika Ballon d'Or 2024?

    Kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2003, nguli wa Soka Duniani, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo hawamo kwenye orodha ya wachezaji walioteuliwa kuwania tuzo ya Ballon d'Or. Messi alishinda tuzo huyo Mara 8 huku Ronaldo akishinda mara 5 Orodha ya wachezaji 30 walioteuliwa imewajuisha Jude...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Biashara kubwa zinazomilikiwa na Cristiano Ronaldo

    Cristiano Ronaldo sio tu gwiji wa soka bali pia ni mfanyabiashara aliye na aina mbalimbali za biashara zinazoendeleza ushawishi wake zaidi ya uwanjani. Chapa yake ya CR7 inajumuisha nguo, viatu, manukato, na biashara zingine kubwa. Kupitia biashara hizi, Ronaldo anahakikisha urithi wake...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ronaldo hafai kuwa GOAT

    That is it. I'm writing this because Today The true footballer has added another trophy on his cupboard. That man who is currently playing Al Nassr, He's not deserving to be true GOAT. The guy had not won the world cup neither he doesn't have the world cup runner up medal. This means, no...
  11. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Wanawake jifunzeni kitu kingine hapa kwa mama yake Ronaldo

    🚨🇵🇹 Je wajua kuwa Cristiano Ronaldo hakutakiwa kuzaliwa Na mama yake ? Alipogundua kuwa ni mjamzito alienda kwa Daktari kwa ajili ya kutoa mimba, kwa sababu familia yao ilikuwa masikini kiasi kwamba hawakuruhusu wapate mtoto mwingine. "Nilipokwenda kwa daktari, niliona kwamba skuweza hata...
  12. WAPEKEE_

    JamiiForums Tanzania Fei Toto kama Cristiano Ronaldo, ukubwa una vita kubwa

    Vita ya pili ya dunia ilikuwa inaelekea kumalizika na Ujerumani kinara wa vita , ilikuwa dhahiri kwamba wamepoteza vita kilichobaki ilikuwa ni kusalimu amri. Mbaya zaidi , mshirika wao wa karibu , Finland, alikuwa amewasiliti dakika za mwisho wakiwa wamemsaidia kupambana na URUSI, baada ya...
  13. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya pazia watoto watatu wa Cristiano Ronaldo

    Mwanasoka bora duniani ambaye bado anawaacha Mapaparazi vinywa wazi juu ya ukweli wa watoto wake Mapacha (Eva na Mateo) na hata Cristiano Jr, wako wapi Mama za hawa watoto . Issue ya Mapacha hawa wawili kwa mujibu wa ripoti kutoka nchini Marekani, walizaliwa kwa 'surrogacy' yani mbegu za...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hiki ndio kikosi bora cha Ronaldo Nazario De Lima, kawataja Messi na Ronaldo

    Straika wa zamani wa Brazil, Ronaldo Nazario De Lima ambaye pia amewahi kuchezea Klabu za Barcelona, Real Madrid, InterMilan, AC Milan ametaja kikosi chake bora cha muda wote wakiwemo Lionel Messi na Cristiano Ronaldo. Hiki ndio kikosi chake; 1. Gianluigi Buffon 2. Cafu 3. Roberto Carlos 4...
  15. 2 of Amerikaz most wanted

    JamiiForums Tanzania Christiano Ronaldo to be investigated after gesture he made towards fans for chanting Lionel Messi

    Ronaldo is set to face possible investigation after an on pitch 'obscene gesture' he made towards fans who chanted Lionel Messi's name towards him. The gesture came after Al Nassr's 3-2 victory over Al shabab, in which Ronaldo scored a penalty. After final whistle, Ronaldo could be seen...
  16. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Sanamu ya Nyerere kutofanana; Je sanamu ya Christiano Ronaldo inafanana na mwenyewe

    Tafadhali MODS isichanganye uzi huu na hizo nyingine. Sanaa ya kuchonga kwa kutumia bronze yawezekana ina chngamoto zake. Wadau wamekosoa sana sanamu ya Julius Nyerere iliyozinduliwa jana pale Addis Ababa. Hapa nawaletea sanamu ya Cristiano Ronaldo iliyosimikwa mjini Madeira Portugal mahali...
  17. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ronaldo kuikosa mechi dhidi ya Inter Miami

    Taarifa ya Al Nassr imethibitisha kuwa nahodha wa klabu hiyo Cristiano Ronaldo hatokuwa sehemu ya Mchezo siku ya kesho dhidi ya Inter Miami CF. Sababu iliyowekwa wazi ni kuwa, Staa huyo wa Ureno Jeraha lake limeonekana bado halijapona kikamilifu kama ilivyoarifiwa awali. Nini maoni yako?
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mastaa wa Bongo wanaisaidiaje jamii? Ubinadamu wa Mane na Ronaldo wanaoufanya sijawahi sikia huku kwa mastaa wetu

    Siwasemi Bongo movie najua ni unga unga unga mwana,nawaongelea hawa wasukuma ndinga ulaya. Siku ile imetokea majanga kule hanang dunia nzima ilifahamu kilichotokea lakini sikuona wachezaji hawa wakituma michango yao ya hali na Mali nikawaza sana mambo haya yangetokea nchini kwakwe mane dunia...
  19. DullyJr

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo: Saudi Pro League is more competitive than Ligue 1

    [emoji599] Cristiano Ronaldo: “𝐒𝐚𝐮𝐝𝐢 𝐋𝐞𝐚𝐠𝐮𝐞 𝐢𝐬 𝐛𝐞𝐭𝐭𝐞𝐫 𝐭𝐡𝐚𝐧 𝐋𝐢𝐠𝐮𝐞𝟏 already now, I’m sure of that" [emoji1210] ◉ “Saudi Pro League is more competitive than Ligue1, I can say that after one year spent there and I’m sure”. ◉ “We are better than French league already now”. ◉ “I feel so happy at Al...
  20. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa ajabu na wa kipekee alionao Christiano Ronaldo

    Cristiano ronaldo ana uwezo mkubwa wa kufunga magoli kutokana na uwezo wa ajabu alio nao, Ronaldo anafunga magoli ya kichwa kwa kuruka juu mpaka meter 2.95 ,binadamu wa kawaida anaruka mpaka meter 1.8 ..Alex ferguson alishawahi sema "Nilimlaumu evra kwann hakumzuia ronaldo, lakini baada ya...
Back
Top Bottom