Picha linaanza upya, Kocha mpya wa Ronaldo asema alitaka kumsajili Messi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,458
Katika kile kinachoonekana anataka ‘kutikisa kiberiti’ japo haijajulikana kama alikuwa anamaanisha au anatania, Kocha huyo wa Al-Nassr, Rudi Garcia ametoa kauli hiyo mbele ya waandishi wa habari wakati alipoulizwa juu ya ujio wa Cristiano Ronaldo kikosini hapo.

Amesema “Nilitaka kumsajili (Lionel) Messi (anacheka)." kisha akaongeza “Nafikiri kila kocha atafurahia kufanya kazi na Cristiano, wachezaji wakubwa huwa ni rahisi kufanya nao kazi.”

Kauli hiyo inaweza kumkwaza Ronaldo kwa kuwa imeonekana kama inamshusha thamani mbele ya Messi, pia hivi karibuni Mreno huyo alikwaruzana na waliokuwa makocha wake, wa Manchester United na Ureno.


==== ==== ==

Cristiano? I wanted Leo! Al-Nassr coach Rudi Garcia risks an early fallout with new £175m-a-year star Ronaldo - by telling reporters he 'tried to sign' his great rival Messi after his World Cup win in Qatar

Cristiano Ronaldo's new coach has risked upsetting the star by laughing as he told reporters he wanted to sign Lionel Messi first after his World Cup heroics.

Al-Nassr boss Rudi Garcia was asked about Ronaldo's arrival in Saudi Arabia on an eye-watering deal worth £175million-a-year.

He replied: 'First I tried to take Messi' before dissolving into laughter.

Ronaldo wouldn't be too happy about being considered inferior to the Argentine but let's hope it doesn't cause too much friction when he arrives at Al-Nassr in the coming days.

He had been a free agent since the mutual termination of his Manchester United contract following his infamous interview with Piers Morgan.

French coach Garcia, formerly of Roma, Marseille and Lyon, took charge at Al-Nassr back in June.

He has insisted that 'the great players are the easiest to manage' ahead of Ronaldo's arrival, despite the player's fall-out with Erik ten Hag at United and Portugal coach Fernando Santos at the World Cup.

Garcia told AS: 'I think that any coach would be delighted to train a great star like Cristiano and already in November 2021 I was very close to going to United.

'They chose Ralf Rangnick, but I met twice with John Murtough and Darren Fletcher [United's director of football and technical director respectively].

Source: DailyMail
 
Huyu kocha ni mjinga kwani kwenye kipengele cha mkataba wa Ronaldo ana uwezo wa kumkataa kocha.
 
Back
Top Bottom