Klabu hiyo imesema iko tayari kumsaini nyota huyo kwa mkataba wa miaka 3 ukiwa na thamani ya Tsh. Bilioni 174.9 kwa mwaka.
Aidha AL Nassr kutoka Mashariki ya Kati imesema haina tatizo endapo Ronaldo atataka kuendelea kucheza hata baada ya kufikisha miaka 40.
CR7 ndiye mchezaji pekee...
Pamoja na ukweli kuwa R7 kwa sasa hana kasi yake ile ya zamani lakini Ronaldo wa kwenye kombe la dunia ameonekana kuwa tofauti sana na yule Ronaldo wa EPL kama mchezaji wa Man U.
Jana R7 kaibuka man of the match (mchezaji bora kwenye mechi)!!. Mchango wake kwenye mechi ulikuwa mkubwa sana...
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram mshambuliaji matata christiano Ronaldo alimaarufu CR-7 kwa kushirikiana na Kampuni ya rafiki yake wa zaidi ya miaka 20, Jacob & Co amezindua saa mpya za kifahari zilizotengenezwa kwa ushirikiano, sahihi na Alama spesheli za Ronaldo.
Bei ya...
Vyombo vya habari vimetumika kumchafua kwa kuyapa uzito mambo hasi, lakini aliongea mengi ya msingi na ukweli.
Miongoni mwa mambo hayo ni:
~ Glazer hawajali timu.
~ Tangu Fergurson aondoke, hakuna maendeleo yoyote.
~ Tangu aondoke 2009 hadi aliporudi 2021 licha ya mabadiliko ya tekhnolojia...
Manchester United imethibitisha kuwa Cristiano Ronaldo anatarajiwa kuondoka Klabuni hapo mara moja kwa makubaliano ya pande zote mbili
Klabu hiyo imesema “Inamshukuru kwa mchango wake mkubwa katika vipindi viwili akiwa Old Trafford, akifunga magoli 145 katika michezo 346”
Hatua hiyo inakuja...
Inadaiwa kuwa Cristiano Ronaldo amewaambia Real Madrid kuwa yupo tayari kujiunga na klabu hiyo kwa muda wa miezi sita.
Ronaldo (37) ambaye yupo mbioni kuachana na Manchester United anataka kwenda kuziba nafasi ya Karim Benzema ambaye ni majeruhi.
Man United inaendelea kujipanga kisheria ili...
Ni picha iliyojizolea umaarufu mkubwa watu wengi wakidhani picha hio ilikuwa ni ya kweli na ilipigwa kwa lengo la kumbukumbu, Stori ipo tofauti kabisa.
Picha hii imeandaliwa kwajili ya mikakati ya kutangaza na kuifanyia promoshen kampuni kubwa ya nguo "luis vutton", kampuni hii iliingia mkataba...
Imebainika Cristiano Ronaldo kupitia wakala wake, Jorge Mendes wamehusishwa kufanya mazungumzo na Bayern Munich ikiwa ni moja ya mipango ya kuhamia upande huo kama ataondoka Manchester United.
Hakuna tamko rasmi kutoka pande zote lakini Julai 2022, Mtendaji Mkuu wa Bayern Munich, Oliver Khan...
Cristiano Ronaldo ameishutumu Manchester United kuwa imemsaliti na kudai kuwa hana heshima kwa kocha wake, Erik ten Hag kwa kuwa yeye (kocha) hajaonesha heshima kwake (Ronaldo).
Amedai kuwa Ten Hag na watu wengine watatu ndan ya Manchester United walikuwa wakitengeneza mazingira ya kutaka...
Jana 20 October 2022 ilichezeka mechi kati ya Manchester United na Tottenham Spurs, mechi za Ligi Kuu ya Uingereza EPL na mechi ikaisha kwa ushindi kwa Manchester United iliondoka na ushindi wa goli 2 kwa 0 ndani ya dimba la Old Trafford.
Tukio lililovuma zaidi la Cr7 timu yake ilishinda mchezo...
Ni wakati wa huyu jamaa kujifikiria zaidi ama andoke United au astaafu, maana hayupo kwenye mipango ya Ten Hag.
Kila wakati ni mtu wa kuondoka uwanjani na kwa bahati mbaya timu imeaanza kufanya vizuri hata bila ya uwepo wake.
----------------
Kocha kumchukulia hatua Ronaldo baada ya kuondoka...
Huyu gwiji mkongwe katika mpira ameshachoka sasa. Wakati ni ukuta, anatakiwa kujiongeza na kutunza heshima yake.
Wenzake wakifikisha miaka ya pensheni huwa wanakwenda Marekani au Uarabuni kula hela pasipo kamera nyingi na matarajio makubwa ya mashabiki.
Hakika mpira wa miguu itaukumbuka uwezo...
Wakati Kombe la Dunia likibakiza miezi miwili kuanza, tayari inaonekana nyota wa Ureno na Manchester United Cristiano Ronaldo ataingia kwenye michuano hiyo akiwa mchezaji mwenye nguvu zaidi duniani kwa kuzingatia ushawishi wake kwenye mitandao ya kijamii.
Ronaldo amewapiku mastaa wengine kama...
Baada ya Cristiano Ronaldo kuiambia klabu yake ya Manchester United kuwa anataka kuondoka klabuni hapo inadaiwa kuwa wachezaji wa timu hiyo walifurahia tamko hilo.
Sababu ya hali hiyo ni kuwa wachezaji wanaamini Ronaldo (37) amepoteza nguvu ya ushawishi kikosini na wanahisi amekuwa mzigo zaidi...
Nahodha wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney amemshauri kocha wa timu hiyo, Erik ten Hag kutompanga Cristiano Ronaldo katika mchezo dhidi ya Liverpool.
Tim hizo zinatarajiwa kukutana katika kipute cha Premier League, kesho Agosti 22, 2022.
Rooney anaamini United inahitaji wachezaji...
Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag inadaiwa kuwa amebadili mawazo yake na anataka Cristiano Ronaldo aondoke klabuni hapo baada ya awali kunukuliwa akisema kuwa Mreno huyo yupo kwenye mipango yake
Taarifa za ndani ya klabu hiyo zinaeleza kuwa imekuwa ngumu kwa Ten Hag kufanya kazi na...
Mshindi wa tuzo ya Ballon d'Or kwa mwaka 2021, Lionel Messi hajatajwa kwenye orodha ya Wachezaji 30 wanaowania tuzo hiyo kwa mwaka huu
Tangu mwaka 2005, Messi amekuwa akitajwa kwenye orodha ya Wachezaji 30 wanaowania tuzo hiyo, akiwa ameshinda tuzo hiyo mara saba katika kipindi hicho
Mpinzani...
Manchester United imeanza vibaya msimu mpya wa Premier League 2022/23 baada ya kufungwa magoli 2-1 katika mchezo dhidi ya Brighton kwenye Uwanja wa Old Trafford, leo Agosti 7, 2022.
Mchezo huo ni wa kwanza wa kiushindani kwa Kocha Erik ten Hag tangu aanze kuifundisha #ManUtd, ambapo pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.