ronaldo

  1. JamiiForums Tanzania Christiano Ronaldo to be investigated after gesture he made towards fans for chanting Lionel Messi

    Ronaldo is set to face possible investigation after an on pitch 'obscene gesture' he made towards fans who chanted Lionel Messi's name towards him. The gesture came after Al Nassr's 3-2 victory over Al shabab, in which Ronaldo scored a penalty. After final whistle, Ronaldo could be seen...
  2. JamiiForums Tanzania Sanamu ya Nyerere kutofanana; Je sanamu ya Christiano Ronaldo inafanana na mwenyewe

    Tafadhali MODS isichanganye uzi huu na hizo nyingine. Sanaa ya kuchonga kwa kutumia bronze yawezekana ina chngamoto zake. Wadau wamekosoa sana sanamu ya Julius Nyerere iliyozinduliwa jana pale Addis Ababa. Hapa nawaletea sanamu ya Cristiano Ronaldo iliyosimikwa mjini Madeira Portugal mahali...
  3. JamiiForums Tanzania Ronaldo kuikosa mechi dhidi ya Inter Miami

    Taarifa ya Al Nassr imethibitisha kuwa nahodha wa klabu hiyo Cristiano Ronaldo hatokuwa sehemu ya Mchezo siku ya kesho dhidi ya Inter Miami CF. Sababu iliyowekwa wazi ni kuwa, Staa huyo wa Ureno Jeraha lake limeonekana bado halijapona kikamilifu kama ilivyoarifiwa awali. Nini maoni yako?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mastaa wa Bongo wanaisaidiaje jamii? Ubinadamu wa Mane na Ronaldo wanaoufanya sijawahi sikia huku kwa mastaa wetu

    Siwasemi Bongo movie najua ni unga unga unga mwana,nawaongelea hawa wasukuma ndinga ulaya. Siku ile imetokea majanga kule hanang dunia nzima ilifahamu kilichotokea lakini sikuona wachezaji hawa wakituma michango yao ya hali na Mali nikawaza sana mambo haya yangetokea nchini kwakwe mane dunia...
  5. JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo: Saudi Pro League is more competitive than Ligue 1

    [emoji599] Cristiano Ronaldo: โ€œ๐’๐š๐ฎ๐๐ข ๐‹๐ž๐š๐ ๐ฎ๐ž ๐ข๐ฌ ๐›๐ž๐ญ๐ญ๐ž๐ซ ๐ญ๐ก๐š๐ง ๐‹๐ข๐ ๐ฎ๐ž๐Ÿ already now, Iโ€™m sure of that" [emoji1210] โ—‰ โ€œSaudi Pro League is more competitive than Ligue1, I can say that after one year spent there and Iโ€™m sureโ€. โ—‰ โ€œWe are better than French league already nowโ€. โ—‰ โ€œI feel so happy at Al...
  6. JamiiForums Tanzania Uwezo wa ajabu na wa kipekee alionao Christiano Ronaldo

    Cristiano ronaldo ana uwezo mkubwa wa kufunga magoli kutokana na uwezo wa ajabu alio nao, Ronaldo anafunga magoli ya kichwa kwa kuruka juu mpaka meter 2.95 ,binadamu wa kawaida anaruka mpaka meter 1.8 ..Alex ferguson alishawahi sema "Nilimlaumu evra kwann hakumzuia ronaldo, lakini baada ya...
  7. JamiiForums Tanzania Sinema: Onana akipiga goli kama Christiano Ronaldo

    https://youtu.be/8irfsqXvYXw?si=zl4iDwIz-hgBriu6 Kapiga goli la kuchekesha ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Kwanza alitaka kupiga chenga kama Ronaldo, akafanyiwa faulo. Kisha akapiga goli kama Ronaldo My Take Huu mgoli ingekuwa ni pisi ingeinjoi sana
  8. JamiiForums Tanzania Messi alimdhalilisha sana Ronaldo, ona hii Clip mpaka huruma ๐Ÿ˜„

    458KB Messi kawadhalilisha sana wachezaji ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Ronaldo huwa Mfalme kila anakokwenda: Ameikamata ligi ya Saudia, angalia hii free kick yake!

    CR7 anaongoza orodha ya wafungaji bora akiwa na magfoli 11 pamoja na kwamba amecheza michezo miwili pungufu kuliko wapinzani wake katika orodha hiyo. Anaongoza pia orodha ya assist akiwa na assist 5 akifungana na wengine watatu hivi. Hii free kick yake ilimwacha kipa akiwa ametulia wakati...
  10. JamiiForums Tanzania Ronaldo atakuwa mbele ya TV kufuatilia mtanange wa Simba vs Al Ahly

    Achana na matokoe ya uwanjani yatakuwaje, kitendo cha Uzinduzi wa Michuano mikubwa Africa kufanyika Tanzania na Simba timu kubwa Afrika Mashariki kuwemo ni ushindi tosha kwa Simba na Tanzania kwa ujumla. Sababu hii mechi ni moja kati ya mechi chache Duniani itakayofatiliwa na watu wengi zaidi...
  11. JamiiForums Tanzania Umewahi kutana na tukio lolote lilikouacha na mshangao mkubwa katika soka!!?

    FEBRUARY 14,2018 kwenye mchezo kati ya Real Madrid na PSG lilitokea tukio ambalo lilileta utata sana na wengi wakibakia na mshangao mkubwa huku likihusisha nguvu za giza (Uchawi). ILIKUWA ni tukio la penati aliyopiga Cristiano Ronaldo ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น kwenye ushindi wa Real Madrid wa goli 3-1 dhidi ya PSG...
  12. JamiiForums Tanzania Ukistaajabu ya Ten Hag na Cristiano, utakutana na ya Capello na Ronaldo

    Baada ya vuguvugu la habari zisizo na uaminifu ndani yake, hatimae Ronaldo akihojiwa katika kituo cha Runinga cha FOX chenye matawi yake huko Amerika ya kaskazini na ya Kusini, amesema kuwa kamwe hakutaka kuondoka klabuni Madrid. De Lima maarufu kama โ€œO fenomenoโ€ ama elgodo ikimaanisha...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ukisikia kufuru ya pesa ndiyo hiyo: Cristiano Ronaldo analipwa Dola za Marekani $6.78 kwa sekunde kama mshahara wake!!

    Mshahara wa Ronaldo ni kama ifuatavyo: Ronaldo's mind-boggling new salary equates to: Monthly: $17.75m Weekly: $4.43m Daily: $633,928 Hourly: $24,413 Per minute: $406.88 Per second: $6.78 Kwa pesa za Tanzania (leo $1=Tsh 2500/=): Kwa mwezi: 44,375,000,000/= (Tsh bilioni 44.375) Kwa wiki...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa Rooney ni mdogo kuliko Ronaldo? Hapa kuna somo kuhusu umri na uzee

    Uzee ni nini? Na unasababishwa na nini?
  15. JamiiForums Tanzania CRISTIANO RONALDO na JOHN CENA kuzichapa ngumi nchini Saudi Arabia

    MICHEZO: Kampuni inayojihusisha na michezo ya mieleka duniani maarufu kama "WWE" World Wrestling Entertainment ina mpango wa kuandaa pambano kati ya nyota wa klabu ya Al Nassr Cristiano Ronaldo dhidi ya nguli wa mchezo huo wa mieleka John Cena kama sehemu ya uzinduzi wa mashindano ya mieleka...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ronaldo hat trick tena, Sadio Mane apiga mbili!

    Cristiano Ronaldo alifunga hat-trick wakati timu yake ya Al-Nassr ikipata ushindi wao wa kwanza wa Saudi Pro League msimu huu kwa kuwafunga Al Fateh 5-0 Ijumaa hii usiku. Mbali na RonaLdo, mshambuliaji wa zamani wa Bayern Munich, Sadio Mane alianza kuifungia Al-Nassr dakika ya 28 na Ronaldo...
  17. JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo: Ligi ya Saudi Arabia ni bora kuliko Ligi ya Marekani (MLS)

    Mshindi wa tuzo za Ballon Dโ€™or mara 5, Cristiano Ronaldo amekaririwa akisema Ligi Kuu ya Saudi ni bora kuliko ile ya Marekani (MLS). โ€œNina uhakika 100% sitarudi tena kuchezea klabu yoyote ya Ulaya kwani nina furaha huku. Mimi nilifungua njia ya kuja huku, na sasa wachezaji wengi wanakuja...
  18. JamiiForums Tanzania Azam FC sajilini hata akina Messi, Ronaldo, Mbappe na Haaland, ila hamuwezi Kuchukua Ubingwa wowote ule

    Mpaka mkichana na Kusajili Virusi wa Simba na Yanga huku pia mkiwa na Viongozi Waandamizi wenye Uyanga na Usimba mwingi. Ninawashangaa mno mnavyosajili.
  19. JamiiForums Tanzania Zidane: Ronaldo ni bora lakini hayupo kwenye level za Messi

    Aliyepata kuwa kocha wa Ronaldo pale Real Madrid na gwiji wa klabu hiyo, Zinedine Zidane amesema Ronaldo ni mchezaji mzuri sana na ni mmoja ya wachezaji bora kuwahi kutokea lakini hayupo katika level za Lionel Messi. Zidane akaongeza, Ronaldo hayupo kwenye level za Messi kwa kuwa Messi ni...
  20. JamiiForums Tanzania Lionel Messi aipiku rekodi ya Ronaldo kwa kufunga magoli mengi Ulaya

    Lionel Messi amefunga goli moja wakati timu yake ya Paris St-Germain ikitangaza ubingwa wa Ligi Kuu ya Ufaransa โ€˜Ligue 1โ€™ licha ya sare ya 1-1 dhidi ya Strasbourg. Goli alilofunga Messi limemfanya kuwa machezaji anayeongoza kwa kufunga magoli mengi katika Ligi tano kubwa Ulaya, kwa kufikisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ