Zidane: Ronaldo ni bora lakini hayupo kwenye level za Messi

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,722
45,128
Aliyepata kuwa kocha wa Ronaldo pale Real Madrid na gwiji wa klabu hiyo, Zinedine Zidane amesema Ronaldo ni mchezaji mzuri sana na ni mmoja ya wachezaji bora kuwahi kutokea lakini hayupo katika level za Lionel Messi.

Zidane akaongeza, Ronaldo hayupo kwenye level za Messi kwa kuwa Messi ni mchezaji bora kuwahi kutokea.

My take:
Najua CR7 atakuwa amenuna huko alipo lakini huu ndio ukweli na msema kweli ni mpenzi wa mwenyezi mungu, au nasema uongo ndugu zangu?

0E061A63-B081-4705-9B4D-2DBD2A3694F1.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom