Kitenge, Hando na Zembwela ni kama Zidane, Luis Figo na Ronaldo de Lima. Hakuna wa kuwagusa!

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,525
7,377
Wafatiliaji wa soka wanafahamu ule utatu ambao haujawai tokea mpaka leo pale Galacticos mpaka leo. Ilikuwa huku Ronaldo de Lima, kule kuna Luis Figo alafu kuna kipara mwenyewe Zinadine Zidane. Ilikuwa ni kama climax ya soka hapa ulimwenguni. Ilikuwa huwezi muona Beckham wala Roberto Carlos. Real Madrid ya historia.

Dunia kama ilivyo asili yake kuzunguka, utatu ule umejirudia hapa bongo na umejirudia pale pale palipo ungua shoka mpini ukabaki yani Wasafi media.

Gerald Hando, Zembwela na Maulid Kitenge kwa sasa ndio wameishika nchi kwenye vipindi vya asubuhi. Ni mastaa walio na muunganiko wa ajabu hawachoshi kuwasikiliza. Ucheshi, content, talanta na mvuto vinawabeba na kuwafikisha hapo walipo.

Kelele zinatoka kila upande za kuashiria maumivu kwa wapinzani imefikia wakati wanasema jamaa wastaafu 😅😅😅 Yani watu wameona shortcut ya kupambana na awa jamaa ni kuwaomba wastaafu kabla ya retirement age yao 😊

Mungu awape maisha marefu hii miamba imeleta mapinduzi makubwa kwenye tasnia ya habari. Waitumikie industry kama Larry King miaka na miaka bila ya kuchoka. Hakuna mwenye kipaji atazuiwa kuonekana kama kweli una kipaji. Awa wote hawakuomba watu waache ajira zao ili waonekane walifanya kazi na imewalipa mpaka kuwa most expensive presenters.

Wanaibeba bendera ya Wasafi mabegani kwa ukubwa sana.

20230502_180415.png
 
Ni Most expensive presenter kwani usajili wao umegharimu kiasi gani mkuu?.

Na Vipi mishahara yao nikiasi gani, Ili tufahamu kweli ni most expensive presenter?.

Je hao Wana Brand kubwa kuliko mtangazaji kama Millard Ayo?.
Nafikiri ungejikita kuwasikiliza kwa sasa. Kuhusu wamepata sh ngapi hata ukijua haitokusaidia lolote.
 
Kwa makelele wanayopiga huwa mara moja moja nawasikiliza kwenye mwendo kasi tu, hakuna ubunifu ni kupayuka tu na mizaha isiyokua na tija, kuna jamaa mmoja yuko wasafi yule aliyewahi kufanya mahojiano na pole pole jamaa yuko smart sana kichwani na anaufahamu wa kutosha sema Genge analokaa nalo studio huwa linafifisha kipaji chake.
 
Wafatiliaji wa soka wanafahamu ule utatu ambao haujawai tokea mpaka leo pale Galacticos mpaka leo. Ilikuwa huku Ronaldo de Lima, kule kuna Luis Figo alafu kuna kipara mwenyewe Zinadine Zidane. Ilikuwa ni kama climax ya soka hapa ulimwenguni. Ilikuwa huwezi muona Beckham wala Roberto Carlos. Real Madrid ya historia.

Dunia kama ilivyo asili yake kuzunguka, utatu ule umejirudia hapa bongo na umejirudia pale pale palipo ungua shoka mpini ukabaki yani Wasafi media.

Gerald Hando, Zembwela na Maulid Kitenge kwa sasa ndio wameishika nchi kwenye vipindi vya asubuhi. Ni mastaa walio na muunganiko wa ajabu hawachoshi kuwasikiliza. Ucheshi, content, talanta na mvuto vinawabeba na kuwafikisha hapo walipo.

Kelele zinatoka kila upande za kuashiria maumivu kwa wapinzani imefikia wakati wanasema jamaa wastaafu 😅😅😅 Yani watu wameona shortcut ya kupambana na awa jamaa ni kuwaomba wastaafu kabla ya retirement age yao 😊

Mungu awape maisha marefu hii miamba imeleta mapinduzi makubwa kwenye tasnia ya habari. Waitumikie industry kama Larry King miaka na miaka bila ya kuchoka. Hakuna mwenye kipaji atazuiwa kuonekana kama kweli una kipaji. Awa wote hawakuomba watu waache ajira zao ili waonekane walifanya kazi na imewalipa mpaka kuwa most expensive presenters.

Wanaibeba bendera ya Wasafi mabegani kwa ukubwa sana.

View attachment 2607607
Sema Hando tungi linamzeesha
 
Kwa makelele wanayopiga huwa mara moja moja nawasikiliza kwenye mwendo kasi tu, hakuna ubunifu ni kupayuka tu na mizaha isiyokua na tija, kuna jamaa mmoka yuko wasafi yule aliyewahi kufanya mahojiano na pole pole jamaa yuko smart sana kichwani na anaufahamu wa kutosha sema Genge analokaa nalo studio huwa linafifisha kipaji chake.
Wewe TBC taifa inakufaa sana au Wapo radio.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom