CRISTIANO RONALDO na JOHN CENA kuzichapa ngumi nchini Saudi Arabia

Nani atamchapa mwenzake Ndoige?


  • Total voters
    7
  • Poll closed .

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,866
MICHEZO: Kampuni inayojihusisha na michezo ya mieleka duniani maarufu kama "WWE" World Wrestling Entertainment ina mpango wa kuandaa pambano kati ya nyota wa klabu ya Al Nassr Cristiano Ronaldo dhidi ya nguli wa mchezo huo wa mieleka John Cena kama sehemu ya uzinduzi wa mashindano ya mieleka yanayojulikana kama "Crown Jewel" ambayo yanatarajiwa kufanyika nchini Saudi Arabia Novemba 4 mwaka huu.

Unaambiwa baada ya kulipeleka soka Saudi Arabia, sasa ni zamu nyingine ya Ronaldo kuipeleka mieleka nchini humo.

Kati ya Ronaldo Vs John Cena unahisi nani atapigwa Ndoige?
 
Screenshot_20230922-183254_Vivaldi Browser.jpg
 
MICHEZO: Kampuni inayojihusisha na michezo ya mieleka duniani maarufu kama "WWE" World Wrestling Entertainment ina mpango wa kuandaa pambano kati ya nyota...
Kwa maneno ya vince mwenyewe wwe ni scripted based entertainment ila kwenye kuumia wanaumia kweli.

So sitoshangaa ronaldo akishinda
 
CR7 anahudhuria kama Guest of Honour. Unaelewa maana yake?
Ndio, mgeni wa heshima.... Ndio atazindua pambano kwa kuzichapa na John Cena... Huko sio Tanzania kwamba unaitwa mgeni wa heshima kukaa kwenye vitu tu, Ronaldo atazichapa John Cena ili kuburudisha na kuvutia wawekezaji
 
WWE Kawaida kwa vile ni scripted ili kuvutia pambano hapo CR7 anaweza kushinda ...Mechi inakuwa staged mwanzo kabisa mshindi anajulikana sasa wanafanya rehearsal ila mshindi anajulika.

Kwa wanaojua mieleke mpaka Donald trumpth washaonekana ,Myweather ,snoop doggy na sasa wamemsajili jake paulo kabisa anapigana mieleka.
 
WWE Kawaida kwa vile ni scripted ili kuvutia pambano hapo CR7 anaweza kushinda ...Mechi inakuwa staged mwanzo kabisa mshindi anajulikana sasa wanafanya rehearsal ila mshindi anajulika.

Kwa wanaojua mieleke mpaka Donald trumpth washaonekana ,Myweather ,snoop doggy na sasa wamemsajili jake paulo kabisa anapigana mieleka.
Vipi maoni yako kuhusu waarabu nao kujitungua kupelekea michezo kwao ambapo mwanzo ilikuwa inapigwa marufuku...?
 
Back
Top Bottom