roma

Ibrahim Mussa, commonly known as Roma Mkatoliki, is a Tanzanian artiste, political activist, and member of Rostam, a hip hop group from Tanzania.Aside from being a member of Rostam, he is also pursuing a solo career. Some of his hit releases include Anaitwa Roma, Mkombozi, to mention a few.In 2007, Roma was kidnapped alongside other artistes at the studio. An incident that fans claimed it was staged for popularity.
  1. K

    Nay wa Mitego na Ukweli mchungu dhidi ya serikali ya Rais Samia na CCM yao

    Msanii huyu huenda akatekwa ama akafanyiwa figisu kubwa, ukweli daima amekua sauti ya walalahoi kwa muda mrefu, hata enzi za Magufuli hakufunga mdomo, alipaza sauti. Ney wa Mitego, amerudi tena na ukweli mchungu, mtegee sikio kwa dakika 5 ameongea mengi ambayo hakuna kiongozi atafurahia maana...
  2. Greatest Of All Time

    Seville Vs AS Roma | Uefa Europa League Final | Puskas Arena | 31.05.2023

    Muda mchache ujao pale katika dimba la Puskas Arena jijini Budapest nchini Hungary kutapigwa mchezo wa fainali ya Europa League. Ni Sevilla Vs AS Roma Ikumbukwe Sevilla hajawahi kufungwa pindi akiingia kwenye fainali ya Europa League wakati Mourinho naye hajawahi kufungwa mchezo wa Fainali...
  3. U

    Kitendo Cha Roma Kusema Hadharani Waziri Makamba anavutia Sigara , ni kuingilia uhuru wake

    Wimbo wa Roma ni Mzuri, na umeongea mambo yenye ukweli, ila mambo mengine ameyasema hakupaswa kuyasema. Katika wimbo wake amesema January kugongeana Sigara, sawa sote tunajua January ni Chain Smoker, lakini hajawahi kuvuta Sigara katika hadhara yoyote Wala kumbugudhi mtu, kitendo Cha Roma...
  4. D

    Msanii Roma Mkatoliki amevuka mstari mwekundu lakini anachekewa tu!

    Uhuru wa kujieleza haumaanishi kuvuka mipaka. Uhuru wako usivuke mipaka na kumkwaza mtu mwingine. Nimesikia wimbo Mpya aliyouachia Msanii Roma Mkatoliki anayeishi ughaibuni akisema, "Roma tunakumisi rudi nyumbani". Sina hakika kama wapo wanaomkosa Roma. Yote ni tisa. Kumi katika mistari ya...
  5. Anna Nkya

    Roma Mkatoliki, mpe Rais Samia maua yake kwanza

    Nimesikiliza wimbo wa Roma Mkatoliki, napenda ila Chorus hasa kwa kuwa ameimba ABIUD ambaye wengi wanapenda anavyoimba mitaani. Roma amefanya vyema kumopa nafasi kuimba Chorus japo kweli Chorus na anachoimba Roma havifanani. Katika wimbo huu Roma anaomba kupewa maua yake ayanuse kabla hajafa...
  6. Melki Wamatukio

    Roma Mkatoliki anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Roma ni mzarendo na anaipenda nchi yake kwa dhati. Licha ya kuishi nchi ya mbali na nyumbani, tena nchi ya kitajiri, moyo wa Roma umekuwa ukinung'unika sana kuona ni kwa namna gani pesa za kuezeka nchi zinavyopigwa na wavaa tai Roma anaijua siasa vizuri, elimu anayo, ana IQ kubwa. Pia ni...
  7. Melki Wamatukio

    SI KWELI BASATA yafungia wimbo wa Roma Mkatoliki, "Nipeni Maua Yangu"

    Kuna taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeufungia wimbo mpya wa Nipeni Maua yangu wa Roma Mkatoliki. Je, taarifa hizi zina ukweli ndani yake?
  8. Greatest Of All Time

    Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki

    Kuna wimbo mpya umetoka. Si mwingine ni kijana wetu, Roma Mkatoliki. Wimbo unaitwa "Nipeni Maua Yangu" humo ndani kuna madini ya kutosha. Roma Mkatoliki kama kawaida yake katoa ya moyoni yanayoendelea katika utawala huu wa awamu ya 6. Kama kawaida kanyoosha maelezo hajapindapinda. Hakika baada...
  9. sinza pazuri

    Roma, Wakazi na Linex ni mfano wa watu waliopishana na vipaji vyao!

    Awa ni watu walio kwenye muziki muda mrefu lakini kiuhalisia sio wasanii. Wanaupenda sana muziki lakini hawakuzaliwa kuwa wanamuziki. 1. Roma Huyu jamaa ana kipaji chake ambacho uwa nikimsoma twitter nakiona. Mshikaji ni content creator wa level kubwa sana alafu ni ile natural sio wa darasani...
  10. Mohammed wa 5

    Roma Mkatoliki unarudi lini

    Ni miaka 4 au 5 tokea msanii Roma Mkatoliki kukimbilia Marekani. Mpaka leo hatujui sababu zipi zilizofanya utimkie katika nchi za watu na kuwa mkimbizi wa kisiasa Wakati wew ni msanii mkubwa Sana ulietoa nyimbo nyingi na hit za kiharakati ni muda Sasa wa kurudi bongo Kama mmoja wa shabiki yako...
  11. R

    Arusha wanataka Roma Mkatoliki arudi nchini. Je, atakubali kurejea?

    Baada ya Lema kupata mapokezi makubwa Arusha nimependezwa na Kauli ya wananchi wa Arusha kutaka Roma arejee home. Ikumbukwe Roma siyo mkazi wa Arusha Bali ni Mtanzania aliyetoroka nchi. Wananchi wa Hali ya chini wanamkumbuka Roma na kumwombea usalama arejee nyumbani lakini wasanii wenzake...
  12. tofyo

    DOKEZO Upo uhalifu unaofanywa ndani ya kanisa la Roma jimboni Geita

    Habari wakuu, Samahani kwa kuchelewesha habari, kwasababu za kiusalama. Lakini Taarifa hii iende kwa askofu mkuu wa Jimbo la Geita na mamlaka zingine za serikali. Nyuma ya eneo la kanisa jimboni ipo njia ya mkato kwa wenyeji wa Geita kukatiza kutokea Nyankumbu mbugani kutokea Geita mjini. Hio...
  13. Fbn

    Kama Martin Luther aliweza kujitoa kanisa la Roma na kuunda KKKT, kwani Mchungaji Kimaro anashindwa nini?

    Historia KKKT ilitokana na Martin Luther baada ya kuona kuna tatizo ndani ya kanisa la Roma kama kuomba msamaha kwa kuwa na kadi na mambo mengine kibao. Kwa haya yanayoendelea KKKT sio leo wala jana inaonesha idadi ya walokole hutokea KKKT na wachungaji wao ambao wamekwazana. Leo Mchungaji...
  14. Superbug

    Colosseum maarufu ya Roma ilijengwa miaka 1940 iliyopita

    Ukifika mji mkuu wa italy Rome kuna jengo maarufu liko kama uwanja wa mpira linaitwa colloseum. Jengo hilo lilijengwa AD 70-80 kama miaka 1940 hivi iliyopita. Maana yake ni kwamba baada ya miaka kama 70 hivi kupita toka yesu kristo kupaa mbinguni. Najiuliza sana wakati haya yanafanyika kule...
  15. Doctor Mama Amon

    Barua ya Kichungaji Kutoka kwa Askofu Renatus Nkwande Kuhusu Maandalizi ya Sinodi ya 16 ya Maaskofu Katoliki itakayohitimishwa Roma 2023

    Askofu Mkuu Renatus Leonard Nkwande, wa Jimbo Kuu la Mwanza, nchini Tanzania Usuli Ifuatayo ni Barua ya Kichungaji kuhusu Maadhimisho ya Sinodi ya 16 ya Maaskofu Katoliki. Sinodi hii, inanogeshwa na kauli mbiu isemayo, “Kwa ajili ya Kanisa la Kisinodi: Umoja, Ushiriki na Utume.” Maadhimisho...
  16. Sky Eclat

    Kijiji kilichojengwa enzi za Dola ya Roma kipo nchini Italia

  17. Ngaliwe

    Mafanikio ya Rais Samia kuelekea 2025, Roma locuta, causa finita!

    KATIKA karne ya tano ilitokea sintofahamu katika Kanisa Katoliki Jimbo la Hippo, eneo hilo leo linaitwa Annaba, nchini Algeria, lililokuwa likiongozwa na Mtakatifu Augustine. Mtafaruku huo umeacha alama na funzo kubwa kwa jamii yetu hata leo. Katika mafundisho ya Kanisa na kwa mtazamo wa Mt...
  18. Sky Eclat

    Enzi za Dola ya Roma walichaguliwa wenye bikra kutumikia madhabahu. Hawa walipewa heshima kubwa katika jamii

    Utaratibu kama huu unaweza kurudisha heshima ya bikra katika jamii na wana wari kujitunza mpaka ndoa.
Back
Top Bottom