Roma Mkatoliki unarudi lini

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Jun 20, 2022
1,215
2,995
Ni miaka 4 au 5 tokea msanii Roma Mkatoliki kukimbilia Marekani.

Mpaka leo hatujui sababu zipi zilizofanya utimkie katika nchi za watu na kuwa mkimbizi wa kisiasa
Wakati wew ni msanii mkubwa Sana ulietoa nyimbo nyingi na hit za kiharakati ni muda Sasa wa kurudi bongo Kama mmoja wa shabiki yako tumemisi kukuona kwenye maevent,show,studio na kwenye video Kali.

Roma Mkatoliki uko Marekani unafanya Nini,Kama ulikimbia sababu ya siasa ni muda wa kurudi,
Kama umepata kazi njoo uchukue na familia yako na utangaze umeacha mziki.

Roma Mkatoliki unarudi lini???
 
Roma alinyimwa asylum yupo yupo tu huko analewa muda wote wanaomtunza washamchoka ila hajiongezi. Alizamia as anaenda kupiga show na wale kina chalii ya R. Matokeo yake mke wake wanamchapia tu wahuni.
Una namba ya mke wake mzee?
Tusaidiane kumtunza
 
Ni miaka 4 au 5 tokea msanii Roma Mkatoliki kukimbilia Marekani.

Mpaka leo hatujui sababu zipi zilizofanya utimkie katika nchi za watu na kuwa mkimbizi wa kisiasa
Wakati wew ni msanii mkubwa Sana ulietoa nyimbo nyingi na hit za kiharakati ni muda Sasa wa kurudi bongo Kama mmoja wa shabiki yako tumemisi kukuona kwenye maevent,show,studio na kwenye video Kali.

Roma Mkatoliki uko Marekani unafanya Nini,Kama ulikimbia sababu ya siasa ni muda wa kurudi,
Kama umepata kazi njoo uchukue na familia yako na utangaze umeacha mziki.

Roma Mkatoliki unarudi lini???
Alikwambia kuwa amekimbia nchi? Kwani akitaka kwenda mahala ni lazima atangaze?
 
Kaachaje familia bongo all those years af mke mrembo tu kijana damu inachemka kama sio kuntega ni nini
 
Mtoa mada tafuta fedha ,achana na private issue za watu wengine, eti HATUJUI sababu zilizomfanya aende USA, wewe ni msemaji wa akina nani?,mimi ninajua sababu na never ever uwe msemaji wangu, endelea kukimbizana na viajira uchwara, alikwenda USA baada ya kufanya push back wakati wewe umefwata mkia wako chini ya uvungu wa kitanda chako
 
Ni miaka 4 au 5 tokea msanii Roma Mkatoliki kukimbilia Marekani.

Mpaka leo hatujui sababu zipi zilizofanya utimkie katika nchi za watu na kuwa mkimbizi wa kisiasa
Wakati wew ni msanii mkubwa Sana ulietoa nyimbo nyingi na hit za kiharakati ni muda Sasa wa kurudi bongo Kama mmoja wa shabiki yako tumemisi kukuona kwenye maevent,show,studio na kwenye video Kali.

Roma Mkatoliki uko Marekani unafanya Nini,Kama ulikimbia sababu ya siasa ni muda wa kurudi,
Kama umepata kazi njoo uchukue na familia yako na utangaze umeacha mziki.

Roma Mkatoliki unarudi lini???
Harudi huyo familia kamwachia stamina amtunzie 😅😅analipwa na mmarekan madola ya kutosha,aje kufanyani bongo?😅😅
 
Back
Top Bottom