Msanii Roma Mkatoliki amevuka mstari mwekundu lakini anachekewa tu!

Desprospero

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
887
2,201
Uhuru wa kujieleza haumaanishi kuvuka mipaka. Uhuru wako usivuke mipaka na kumkwaza mtu mwingine.

Nimesikia wimbo Mpya aliyouachia Msanii Roma Mkatoliki anayeishi ughaibuni akisema, "Roma tunakumisi rudi nyumbani". Sina hakika kama wapo wanaomkosa Roma.

roma.jpg

Yote ni tisa. Kumi katika mistari ya Roma ambapo amevuka mstari mwekundu ni pale anaposema, "Mama (Samia) anaongoza yuko Ikulu lakini rimoti iko Msoga (Jakaya Kikwete).

Huku si tu Roma ametweza taasisi ya Rais lakini pia amemdharau na kumdhihaki Rais Samia Suluhu Hassan kwamba hawezi kuongoza hadi ashikiwe akili na Rais mstaafu Jakaya Kikwete jambo ambalo ni uzushi, uongo na upuuzi wa kisanii.

Roma haamini katika uwezo wa kiuongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan jambo ambalo limethibitishwa na jumuiya zote za Kimataifa kuwa anaweza na ameuthibiyishia Ulimwengu kuwa anaweza tena hata kuwapiku watangulizi wake.

Wimbo unatakiwa kupigwa ban kokote na popote, kuanzia mikusanyiko ya watu: baa, maafali, harusi, misinani, vyombo vya usafiri na hata watu binafsi nadhani TCRA wanaweza. Basata isilale huku Rais Samia Suluhu Hassan anadhalilishwa hadharani na msanii Roma.

Nani yuko nyuma ya Roma? Kiburi cha kumdhihaki Rais anapata wapi? Kwanini anachekewa? Kwani hafikiki? This is too much. Roma akamatwe na kuletwa hapa nchini tukutane Kisutu kwa Pilato. Ova.

Zaidi, soma: Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki
 
Uhuru wa kujieleza haumaanishi kuvuka mipaka. Uhuru wako usivuke mipaka na kumkwaza mtu mwingine.

Nimesikia wimbo Mpya aliyouachia Msanii Roma Mkatoliki anayeishi ughaibuni akisema, "Roma tunakumisi rudi nyumbani". Sina hakika kama wapo wanaomkosa Roma.
Huyo fala si ndiyo yule alikuwa apotezwe na Magu? Kumbe Magu alikuwa sahihi, kwanza wachunguze uraia wake.
 
Relax mkuu huu ni wimbo tu,freedom of speech, politicians ni binadamu sio miungu watu,sikushangai maana umekuzwa kwenye mfumo wa uoga, kunyenyekea hawa politicians wetu, na wao kutambua hili wamezidi kutuibia, kusomesha watoto wao nje ili waje waendeleze ile status ago ya royal families, inaonekana wewe ni katili sana na furaha yako ni kuona watu wakikaa keko au segerea!President Zuma wa SA alichorwa kikatuni cha shower na aliishia kucheka tu,politicians unahitaji think skin mkuu, acha uoga
 
Uhuru wa kujieleza haumaanishi kuvuka mipaka. Uhuru wako usivuke mipaka na kumkwaza mtu mwingine.

Nimesikia wimbo Mpya aliyouachia Msanii Roma Mkatoliki anayeishi ughaibuni akisema, "Roma tunakumisi rudi nyumbani". Sina hakika kama wapo wanaomkosa Roma.

Rais Samia Suluhu Hassan anadhalilishwa hadharani na msanii Roma. Nani yuko nyuma ya Roma? Kiburi Cha kumdhihaki Rais anapata wapi? Kwa nini anachekewa? Kwani hafikiki? This is too much. Roma akamatwe na kuletwa hapa nchini tukutane Kisutu Kwa Pilato. Ova.

Hajavunja Sheria Yoyote Ile, Acha Kujizima Data Mkuu! Kama kuna sheria imevunjwa Tuambie Ipi
 
Uhuru wa kujieleza haumaanishi kuvuka mipaka. Uhuru wako usivuke mipaka na kumkwaza mtu mwingine.

Nimesikia wimbo Mpya aliyouachia Msanii Roma Mkatoliki anayeishi ughaibuni akisema, "Roma tunakumisi rudi nyumbani". Sina hakika kama wapo wanaomkosa Roma.

Yote ni tisa. Kumi katika mistari ya Roma ambapo amevuka mstari mwekundu ni pale anaposema, "Mama (Samia) anaongoza yuko Ikulu lakini rimoti iko Msoga (Jakaya Kikwete).

Huku si tu Roma ametweza taasisi ya Rais lakini pia amemdharau na kumdhihaki Rais Samia Suluhu Hassan kwamba hawezi kuongoza hadi ashikiwe akili na Rais mstaafu Jakaya Kikwete jambo ambalo ni uzushi, uongo na upuuzi wa kisanii.

Roma haamini katika uwezo wa kiuongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan jambo ambalo limethibitishwa na jumuiya zote za Kimataifa kuwa anaweza na ameuthibiyishia Ulimwengu kuwa anaweza tena hata kuwapiku watangulizi wake.

Wimbo unatakiwa kupigwa ban kokote na popote, kuanzia mikusanyiko ya watu: baa, maafali, harusi, misinani, vyombo vya usafiri na hata watu binafsi nadhani TCRA wanaweza. Basata isilale huku Rais Samia Suluhu Hassan anadhalilishwa hadharani na msanii Roma.

Nani yuko nyuma ya Roma? Kiburi cha kumdhihaki Rais anapata wapi? Kwanini anachekewa? Kwani hafikiki? This is too much. Roma akamatwe na kuletwa hapa nchini tukutane Kisutu kwa Pilato. Ova.
ndiyo uzuri wa fasihi, kila mtu huibuka na tafsiri yake mpaka ukutane na aliyetunga ndipo unaujua ukweli.
 
Inaonekana wewe ndiyo umetafsiri hivyo, na kazi ya fasihi huwa na maana zaidi ya moja. Kwahiyo usimlishe maneno kijana wa watu
 
Tulikwisha ujadili wimbo huu. Ulikuwa wapi? Canada?
 
Umekurupuka mkuu!

Ulichokiandika sicho alichoimba huyu jamaa,kuna neno kasema hapo kabla ya uliyoandika wewe.

"Hamjasikia tetesi kuwa" zingatia sana neno tetesi ama fununu. Madai yako ukuwa mahakamani asubuhi sana ulishaahibika ijapo sina utaalamu na sheria.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom