roma

Ibrahim Mussa, commonly known as Roma Mkatoliki, is a Tanzanian artiste, political activist, and member of Rostam, a hip hop group from Tanzania.Aside from being a member of Rostam, he is also pursuing a solo career. Some of his hit releases include Anaitwa Roma, Mkombozi, to mention a few.In 2007, Roma was kidnapped alongside other artistes at the studio. An incident that fans claimed it was staged for popularity.
  1. Stephano Mgendanyi

    Kuelekea uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025, roma locuta, causa finita

    KUELEKEA 2025, ROMA LOCUTA, CAUSA FINITA! KATIKA karne ya tano ilitokea sintofahamu katika Kanisa Katoliki Jimbo la Hippo, eneo hilo leo linaitwa Annaba, nchini Algeria, lililokuwa likiongozwa na Mtakatifu Augustine. Mtafaruku huo umeacha alama na funzo kubwa kwa jamii yetu hata leo. Katika...
  2. Erythrocyte

    Watambue Wasanii wa Bongo Fleva waliopiga kelele hadharani kupinga Roma Mkatoliki Kutekwa

    Profesa J na Ney wa Mitego walijitokeza hadharani kuonyesha masikitiko yao na kupinga Roma Mkatoliki Kutekwa Yeye na watu wengine pale Studio, na walipaza sauti zao ili arejeshwe akiwa hai. Jambo hili lilimfanya aliyekuwa RC wa Dar es Salaam Paulo Makonda kutangaza kwamba Roma atarudishwa kabla...
  3. Jackwillpower

    William Tyndale alichomwa moto mpaka kufariki kwa kutafasiri Biblia kutoka kwenye lugha ya Kigiriki kuiingiza kwenye kingereza

    William Tyndale alikuwa mwanatheolojia Mwingereza, kasisi ya kanisa na mtaalamu aliyetafsiri Biblia mara ya kwanza katika Kiingereza cha kisasa. Alizaliwa huko Gloucestershire mnamo mwaka 1494 - aliuawa Vilvoorde (Brabant - Ubelgiji ya leo) tarehe 6.9.1536. Tafsiri yake ya Biblia ilikuwa toleo...
  4. Chachasteven

    Roma afungiwa miezi sita kujihusisha na sanaa

    Msanii Roma anaeunda kundi la ROSTAM amefungiwa kutokujihusisha na sanaa kwa muda wa miezi sita ikiwa ni kama adhabu ya yeye kutokutii agizo la baraza la sanaa tanzania (BASATA) la kufungiwa kwa nyimbo yake ya KIBAMIA akiwa na Stamina wakimshirikisha Maua Sama! Nyimbo hio ilifungiwa mapema...
  5. figganigga

    Wizara ya Habari, Utamaduni, sanaa na Michezo, haijui ROMA alipo

    Taarifa ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuhusu tukio la kukamatwa kwa ROMA Mkatoliki na watu wasiojulikana. Imesema imewasiliana na vyombo vya Usalama, na hakuna chombo Kikichomshikilia Msanii Roma. Wizara ya Habari yawaomba wananchi kushirikiana na Polisi kwa kutoa taarifa...
  6. M

    TAMASHA la XXL Dodoma lagubikwa na simanzi, umati wamyoshea mabango waziri!

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida leo kile kipindi cha XXL kilichokuwa kinaruka moja kwa moja toka Dodoma kimegeuka majonzi baada ya mamia ya vijana kunyoosha mabango yaliyoandika FREE ROMA Watanganzaji walilazimika kubadili interview na kumwambia naibu waziri habari utamaduni na michezo Antony...
  7. R

    Nape Amlilia Roma Mkatoliki, ‘Ooooooh No!’

    Ikiwa leo ni siku ya pili tangu ilipotolewa taarifa kuwa msanii Roma Mkatoliki alitekwa na watu wasiojulikana akiwa pamoja na Moni Centrozone, mtayarishaji wa muziki wa Tongwe Records, Bin Laden katika studio za Tongwe Records, Waziri wa zamani wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye...
  8. G Sam

    Jeshi la Polisi lakana kuhusika kutekwa kwa msanii Roma Mkatoliki

    Jeshi la polisi Dar kupitia kwa kamanda Simon Sirro limekana kuhusika kwa lolote lile lililomtokea msanii Roma Mkatoliki na kwamba linafanya jitihada kumpata. Jeshi hilo limeomba mtu mwenye taarifa zinazomhusu msanii huyo kupeleka taarifa kwao mara moja. Msanii huyo alitekwa juzi jioni akiwa...
  9. kidaganda

    Babu Tale alivalia njuga suala la Roma, Amtaka RC Makonda aseme wapi alipo

    Binafsi nimependa ushirikiano na jitihada alizozianzisha juu ya kupatikana kwa Roma Amewataka wasanii wote SAA 6 wakutane Tongwe kujadili namna ya kumtafuta na kumpata Roma.. source page yake Instagram.. Pia Soma: Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara
  10. South

    Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara

    Habari wakuu nimekuta bandiko katika ukurasa wa Prof. Jay kuhusu kukamatwa kwa msanii ROMA na kuchukuliwa kwa baadhi ya vitu vya studio ya Tongwe record sijui ni kiki au kweli? Mwenye kujua kinachoendelea. ======= Baada ya kuzagaa kwa taarifa kuhusu kukamatwa kwa Msanii Roma Mkatoliki akiwa...
Back
Top Bottom