rita

  1. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, nilifuatilia cheti cha kuzaliwa Edina kule Rita Dar es Salaam na sasa nimechoka

    Katika kufanya marekebisho ya cheti cha Edina bint yenu, si nikapeleka kila kitu Rita.? Kwanza mchezo ulianza mwaka 2018, nimepigwa tarehe style ya kirudishwa wiki wiki. Piga ni wiki ya ngapi tangu 2018? Basi ndivyo ninavyofanyiwa hadi leo hii. Naelewa kuwa mkono mtupu haulambwi. Inatakiwa...
  2. Shabeli

    JamiiForums Tanzania Nina shida na namba za mkurugenzi wa RITA

    Habarini Wana JF, Mimi nlikua nafanya kazi taasisi Fulani hapa Tanzania kwa bahati mbaya ikafutwa na maelekezo yakaja kwamba stahiki zetu tutapata baada ya Mkurugenzi wa RITA kukamilisha ufilisi na Sasa alishakamikisha na tukapewa fomu za kusaini tulipwe stahiki zetu ,Ilikua ni mwezi wa kwanza...
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania RITA, watu kupata vyeti vyao ni haki ya kimsingi tupunguze usumbufu

    Ni taasisi niliwahi kuiamini sana sana ila nahisi imevamiwa na vijana wasiojua majukumu yao. Vijana wakikupokea wanahaha kama vile wanapewa mshahara kesho mpaka unapenda. Shida unapoanza kupewa tarehe njo siku fulani wapendwa inachosha mbadilike. Jana nilikuwa na ndugu mmoja tunafwatilia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je system ya RITA in tatizo?

    Hivi karibuni nimesajili vyeti vya kuzaliwa online na baada siku 14 unapata tangu siku uliyosajili na kulipia. Nina siku 24 tangu nmelipia system inaonyesha status ya cheti kwamba APPROVED IMna ilitakiwa iwe CERTIFICATE ISSUED SWALI LANGU: je system inasumbua au kuna tatizo?? Je nikienda rita...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ni maajabu, Frank Kanyusi kurejeshwa kuwa bosi RITA

    Mapema mwezi wa saba mwaka huu Rais Samia alimteua FRANK KANYUSI kuwa mtendaji mkuu wa RITA. ikumbukwe kwamba bwana huyu miaka ya nyuma alikuwa mtendaji mkuu wa BRELA. Kipindi ambacho BRELA ilikuwa inanuka rushwa, kipindi ambacho watu wengi walidhulumiwa kampuni au shares kwenye makampuni mbali...
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania Hivi Rita L alipewa Mirathi baada ya Jemedari kuitwa na Mungu au alichinjiwa baharini?

    Nakumbuka kuna siku Ben alipata ajali, alikuwa anatoka kwa Rita, akaanguka kwenye mtaro na Benz lake. Akampigia Askari wake wa amani ndio akaenda kumtoa, alikuwa mwenyewe akijiendesha. Alipata ajali Mikocheni karibu na daraja la JKT pale Mlalakuwa akitokea kwa Rita. Wakati huo akiwa bado ni...
  7. one one chief

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nafanya maombi ya mkopo, mfumo unanipa ujumbe "Your Rita Values Are Invalid"

    Naomba msaada kwa anayejua. Nafanya maombi ya mkopo kwa ngazi ya stashahada. Shida nikifika kwenye sehemu ya kujaja taarifa za kiemografia na kuandika namba za cheti cha kuzaliwa na nikitaka kusave Inanigomea nabkuniandikia "Your Rita Values Are Invalid" nawezaje tatua changamoto hiyo?
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kama aliyekufungisha Ndoa hajasajiliwa RITA, ujue Ndoa yako ni Batili

    Ni kama hukumu ya Mahakama iliyoharamisha ndoa ya mbunge wa zamani wa viti maalumu (CCM), Vicky Kamata na Dk Servacius Likwelile imewaamsha wanandoa wengi kuhusu uhalali wa ndoa walizonazo mbele ya macho ya sheria. Hukumu hiyo inaelezwa kuibua mambo matatu ili ndoa iwe halali, moja ni lazima...
  9. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania RITA wekeni mbadala wa namna watu watapata vyeti vya vifo

    Utaratibu wa sasa wa RITA wakutoa vyeti vya vifo ni kuumizana vichwa na kuwakwamisha watu, mtu anaomba cheti cha kifo cha mzazi wake, na alifari miaka 30 iliyopita mnataka aambatanise mukhtasari wa kikao cha familia sijui kibali cha maziko nk. Hivi mtu anapata wapi muktasari wa kikao na...
  10. stevhinoz

    JamiiForums Tanzania Nani anafahamu jinsi ya kusali Novena ya Mtakatifu Rita wa Kashia anisaidie?

    Habari zenu watu wa Mungu, Naomba mwenye kufahamu namna ya kusali/kufunga novena ya Mtakatifu Rita wa Kashia anipe maelezo yake jinsi ya kufanya. Natanguliza shukrani.
  11. Omaryjr1

    JamiiForums Tanzania Kuhusu cheti Rita

    Habari wakuu naomba kujua inachukua muda gani? Hadi rita kurudisha majibu baada ya kufanya maombi ya uhakiki wa cheti
  12. Astro world

    JamiiForums Tanzania Kukwama kwenye kutuma maombi ya uhakiki wa cheti cha kuzaliwa RITA

    Habari zenu wakuu, Naombeni msaada kwenye kutuma maombi ya uhakiki wa cheti cha kuzaliwa RITA. Pale kwenye kipengele cha kukituma cheti inagoma kabisa ku attach file yani kila ni ki click pale kwenye ku choose file haiendi popote inabaki pale pale na mtandao uko vizuri kabisa hauna shida...
  13. Jicho la Tai

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mhe. RAIS, Rudi tena RITA! Ukiritimba wa Huduma ambayo ilipaswa iwe BURE

    Huduma yeyote ile inayoiwezesha jamii husika kupata huduma nyingine, ikicheleweshwa kwa jamii, Maendeleo kwenye nchi huwa yanachelewa au yanaenda Taratibu. NARUDIA! "Huduma yeyote ile inayoiwezesha jamii husika kupata huduma nyingine, ikicheleweshwa kwa jamii, Maendeleo kwenye nchi huwa...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Certificate verification number RITA

    Habari za mchana wakuu? Poleni na majukumu ya hapa na pale. Naombeni mwongozo jinsi ya kupata certificate verification namba baada ya cheti kuhakikiwa RITA. Nimehakiki tayari na nimeendelea na maombi ya mkopo ila sehemu ya demographics inataka verification number ambayo kwenye vyeti...
  15. Alex Dennie

    JamiiForums Tanzania Uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa RITA

    Habari zenu wakuu, nataka kuhakiki cheti cha kuzaliwa kwa ajili ya kuomba mkopo (HESLB) kwenye mfumo wa online eRITA. Nimejaza details zote lakini kuna moja "entry no" ndio sijui nijaze nini, naomba msasa tafadhali
  16. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Rita Tunaomba uchunguzi cheti cha kifo No 100000203415(MOSHI)/ tangazo la kifo BD 0668249(Dar)Marehemu kafia dar kaishi dar +mirathi mo

    Ndugu Mkurugenzi wa Ritta Huyu ninayemwongelea ni mmoja wa ndugu zangu aliefariki 2019 Marehemu Edwin Moshi mwenye Kitambulisho cha Nida No 19450805-14115-00001-29 alifariki tar 19-2-2019 Hosptial ya Kinondoni hospital na ugonjwa wa kansa ya kibofu Marehemu ameacha jumla ya watoto wanne...
  17. M

    JamiiForums Tanzania RITA kuthibitisha wenyewe nakala za vyeti vya kuzaliwa ina maana cheti kikithibitishwa mahakamani/ kwa wakili hakitakubalika?

    Naomba kuuliza kwa wenye uhakika na hili: Je nakala ya cheti cha kuzaliwa kikithibitishwa mahakamani au kwa wakili kitakubalika? Uthibitishaji wa vyeti vya kuzaliwa unatakiwa sana hasa kwenye kuomba ajira, na kwenye uombaji wa mikopo ya elimu ya juu. Nauliza hivi kwa sababu mchakato wa...
  18. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ateua na Kutengua Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) kama ifuatavyo: i) Amemteua Bw. Frank Kanyusi Frank kuwa Kabidhi Wasii Mkuu. Kabla ya uteuzi Bw. Frank alikuwa Mwanasheria Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara. Bw...
  19. Murashani GALACTICO

    JamiiForums Tanzania Kuthibitisha vyeti vya kuzaliwa kupitia mfumo wa online RITA

    Nauliza je, utaratibu wa kuthibitisha vyeti vya kuzaliwa kupitia mfumo wa ONLINE RITA kwa mwaka 2023 / 2024 umeanza au bado? Nimejaribu ku-create account ili nianze mchakato wa kuthibitisha vyeti vya kuzaliwa vya wateja na watu wangu wa karibu. Lakini hata hatua ya kwanza ku-create account...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Rais kuisuka upya NIDA na RITA, wakwama usajili wa watu

    RITA na NIDA wapo mbioni kufumuliwa na kusukwa upya kuendana na Kasi ya awamu ya sita. Maeneo yanayotegemea kuwekewa mkazo nikudhibiti Watanzania na wageni waliozaliwa nje ya nchi kutokupata cheti cha kuzaliwa kama vile wamezaliwa Tanzania. Mwanya huu unatumiwa Sana kusaidia raia wa kigeni...
Back
Top Bottom