Nawafanyia watu (natuma) maombi ya vyeti vya kuzaliwa online. Nikiwapa fomu wakienda ofisi za RITA wanapewa cheti lakini huku kwenye mfumo hakuna mabadiliko yoyote yanayoonekana
Ni kwa nini?
Taaisis ya Rita kitengo cha mtandao na Habari kinakabiliwa na tuhuma za kutojibu wateja wao mitandaoni hasa wale wanao omba usaidizi kwenye mitandao ya kijamii.
Kwa sasa nchini Taasisi ambazo ziko chini ya serikali zimekuwa zikitoa huduma mbovu kwa wateja wake kwa kiasi ambacho kinakatisha...
Anonymous
Thread
habari
huduma
huduma mbovu
kitengo
matatizo
mbovu
mikoani
mitandaoni
mtandaoni
rita
wao
wateja
Moja ya majengo mazuri na marefu yanayopendezesha jiji la Dar es Salaam. Lilikamilika mwishoni mwa awamu ya JK. Nilipita mara mbili kwenye ofisi moja nilisikitika kuona jumba hilo la gharama lisivyokuwa na hadhi. Wamejaa wapangazi wa kupimiwa viofisi vidogo vidogo vya Clearing & Forwarding...
Wakuu ni wiki mbili sasa nimelipia CONTROL NUMBERS za vyeti viwili lakini STATUS zinasoma PENDING na risiti ndo hizo hapo, kila nikipiga simu HELPDESK za RITA na GePG..wananipiga chenga kwa anaefahamu issue kama hii anisaidie mawazoo...
Pongezi za dhati kwa mamlaka ya Usajili na Ufilisi RITA kwa kuanzisha huduma hii nzuri ya online.
Ndani ya siku tatu tu nimeweza kupata cheti cha kuzaliwa, kubadili cheti cha zamani kuwa kipya na kuthibitisha cheti cha mtoto wangu kwa ajili ya usajili NHIF.
Hatua ni rahisi ikianza kwa kufungua...
Kwa mujibu wa maelezo yao @ritatanzania kituo cha miito (CALL CENTER) inakuwa wazi kuanzia saa mbili asubuhi hadi sa 10 jioni, changamoto ni kwamba ukipiga simu ndani ya muda huo hawapokei, sometimes inaweza kuita then wanakata.
Maana ya kuweka baadhi ya huduma zao zifanyike kwa mtandao ni...
Habari wana JF,
Naomba mamlaka za RITA makao makuu zifanye uchunguzi wa kiutendaji katika taking la RITA MISUNGWI
Kwanza, Kuna mtu alienda kufanya marekebisho ya cheti Old to New wakamwambia ni Tsh 30,000 wakati control namba ni Tsh 7,000 achana na hapo toka 3/5/2025 mpaka leo tar 1/6/2025...
Watu wote wenye vyeti vya zamani vya Typewriter, kabla ya kufanya uhakiki hakikisha unabadilisha cheti kwa kufanya maombi kidijitali kupitia mfumo wa eRITA, kwa kuomba huduma ya OLD to New na fuata maelekezo.
Serikali imetoa wito kwa jamii na taasisi zilizopewa dhamana ya kufungisha ndoa pamoja na wazazi na walezi kuhakikisha wanaendelea kutoa elimu ya maadili kwa wanandoa.
Kauli hiyo ya Serikali inakuja wakati kukiwa na wimbo la kuvunjika kwa ndoa na wahusika kudai talaka.
Akiwasilisha makadirio...
Wananchi mkoani Tabora wametakiwa kutumia mfumo wa kidijitali wa E-RITA ili kurahisisha mchakato wa upatikanaji wa huduma za mamlaka hiyo vyeti vya kuzaliwa na vifo.
Rai hio imetolewa na Afisa usajili kutoka Rita ANDRESA MAGWIRA katika kipindi cha CG MORNING POWER ambapo amesema mfumo huo ni...
Unapofikisha Umri wa Miaka 18 au unapoelekea kutimiza ni jukumu lako kuhakikisha unakuwa na Kadi ya Kupiga Kura, Watu wanatakiwa kutambua unapokuwa na kadi hiyo siyo lazima uwe Mwanachama wa chama fulani, hiyo ni haki yako na una haki ya kupiga Kura
Rita Paulsen maarufu Madam Rita
Mwanzilishi...
So i am 25 right ? I have been using the same name in most of my Certificates, but for the last 10 years I found out I am a bastard son and my Father Claims to not have had a bastard son, So I am Disowned, Now Here is the Crucial part, My mum Renamed me from Rajab To Amour around 2011 due to...
Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) nawapongeza mmeanzisha mfumo mzuri wa wananchi kufuatilia taratibu za kupata cheti cha kizazi na vifo katika mtandao badala ya kuja kupanga foleni kwenye ofisi zenu.
Ila bado kuna changamoto nadhani kwakua watumishi sasa hawakutani na wateja nadhani...
Hellow wakuu, naomba msaaada hapa kwenye cheti cha kuzaliwa wakati wa uhakiki una maana gani leo siku ya tatu bado inasumbua aisee halafu ndugu yangu anataka kuomba chuo, pia muda wa maombi unaisha aisee
Taasisi ya Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) imebaini ubadhirifu mkubwa wa mali na fedha zinazozidi Shilingi bilioni 2 katika Msikiti wa Manyema uliopo Kariakoo, Dar es Salaam. Matokeo haya yamepatikana kupitia ukaguzi wa kina wa mali na mapato ya msikiti huo, kama ilivyotangazwa na Mkurugenzi...
Nimekutana na hii taarifa mtandaoni ikisema mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA) kwa kushirikiana na chombo cha utoaji wa huduma za Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) kwa pamoja wametoa mkataba KANJU ENTERPRISES LDT wa kutoa huduma kwa wananchi ya kufanya marekebisho ya majina/taarifa...
Samahani nlikuwa nahitaji kujua jinsi ya kuadd attachnment kwenye sytem ya rita ya kuomba cheti cha kuzaliwa nlikuwa nimeshalipia hadi control number sasa natakiwa niongeze barua ya serikali za mitaa.
Habari zenu wakuu, bila shaka nyote ni buheri wa afya, kwa wenye magonjwa mola atawasaidia.
Pasi na kupoteza muda naomba niende kwenye lengo la andiko langu.kumekuwa na habari nyingi kuhusu Mt Rita wa kashia,hii imepelekea baadhi yetu kuwa na mitazamo hasi hasi hasa kwa dini yetu hii ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.