rita

  1. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Rita Tunaomba uchunguzi cheti cha kifo No 100000203415(MOSHI)/ tangazo la kifo BD 0668249(Dar)Marehemu kafia dar kaishi dar +mirathi mo

    Ndugu Mkurugenzi wa Ritta Huyu ninayemwongelea ni mmoja wa ndugu zangu aliefariki 2019 Marehemu Edwin Moshi mwenye Kitambulisho cha Nida No 19450805-14115-00001-29 alifariki tar 19-2-2019 Hosptial ya Kinondoni hospital na ugonjwa wa kansa ya kibofu Marehemu ameacha jumla ya watoto wanne...
  2. M

    JamiiForums Tanzania RITA kuthibitisha wenyewe nakala za vyeti vya kuzaliwa ina maana cheti kikithibitishwa mahakamani/ kwa wakili hakitakubalika?

    Naomba kuuliza kwa wenye uhakika na hili: Je nakala ya cheti cha kuzaliwa kikithibitishwa mahakamani au kwa wakili kitakubalika? Uthibitishaji wa vyeti vya kuzaliwa unatakiwa sana hasa kwenye kuomba ajira, na kwenye uombaji wa mikopo ya elimu ya juu. Nauliza hivi kwa sababu mchakato wa...
  3. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ateua na Kutengua Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) kama ifuatavyo: i) Amemteua Bw. Frank Kanyusi Frank kuwa Kabidhi Wasii Mkuu. Kabla ya uteuzi Bw. Frank alikuwa Mwanasheria Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara. Bw...
  4. Murashani GALACTICO

    JamiiForums Tanzania Kuthibitisha vyeti vya kuzaliwa kupitia mfumo wa online RITA

    Nauliza je, utaratibu wa kuthibitisha vyeti vya kuzaliwa kupitia mfumo wa ONLINE RITA kwa mwaka 2023 / 2024 umeanza au bado? Nimejaribu ku-create account ili nianze mchakato wa kuthibitisha vyeti vya kuzaliwa vya wateja na watu wangu wa karibu. Lakini hata hatua ya kwanza ku-create account...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Rais kuisuka upya NIDA na RITA, wakwama usajili wa watu

    RITA na NIDA wapo mbioni kufumuliwa na kusukwa upya kuendana na Kasi ya awamu ya sita. Maeneo yanayotegemea kuwekewa mkazo nikudhibiti Watanzania na wageni waliozaliwa nje ya nchi kutokupata cheti cha kuzaliwa kama vile wamezaliwa Tanzania. Mwanya huu unatumiwa Sana kusaidia raia wa kigeni...
  6. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Ripoti za RITA zabainisha kuwa ndoa za Watanzania zavunjika kwa zaidi ya 50%

    Ripoti kwa undani Ripoti hiyo imeonyesha mgawanyo wa wasio kwenye ndoa kama ifuatavyo: Wanandoa waliotengana ni asilimia tano, waliopeana talaka (asilimia 1.9), wasiowahi kuwa kwenye ndoa (asilimia 38.9), wajane na wagane (asilimia 5.4) na wanaoishi kiuchumba (asilimia 6.1). Wakati idadi ya...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Niliagiza wine ya kupima lita tano toka Dodoma, Iliyoletwa nahisi ni gongo au konyagi iliyozimuliwa maana bongo feki kila kona

    Bongo kila kitu ni kuchakachua tu! Iwe maji ya kunywa feki kibao, iwe sigara feki, iwe makalio ya wanawake nayo feki mtupu, bikira nazo feki, unga feki, hata kwenye kandanda nako siku hizi michongo mtupu n.k Sasa sijui tukimbilie wapi, nimeagiza wine nikaambiwa ni alter wine! Aisee nimejaribu...
  8. system hacker

    JamiiForums Tanzania Hili ndio eneo linalopigwa hela ndefu pale RITA

    1. Ku reprint vyeti. 2. Vyeti vilivyokosewa. Nadhani kila cheti kitachokosewa kina dau lake refu sana. Bila shaka lile dustbin la vyeti vilivyokosewa ukilitandika from Dar laweza kufika hadi Zimbabwe na kurudi. Huu mchongo ni wa miaka na miaka no more no less.
  9. aishapatel

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tupia jicho RITA na huduma yao yae-huduma

    Ninaomba sana Mheshimiwa Rais na Serikali itupie jicho huduma zinazotolewa na RITA kwakweli wananchi tunazungushwa sana kupata huduma bila sababu za msingi. Kwa sasa wameanzisha huduma ya kusajili vizazi na vifo kutumia mtandao lakini ukisajili maombi kupitia mtandaona kwenda HQ kufuatilia...
  10. B

    JamiiForums Tanzania RITA hutumia muda gani kujibu baada ya ku-apply

    RITA HUTUMIA MUDA GANI KUJIBU BAADA YA KUAPPLY VERIFICATION YA BIRTH CERTIFICATE?
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kuhakiki vyeti vya kuzaliwa RITA ili kupata mkopo

    Mwenye kujua nini kinafanyika anijuze please. How long dose it take to get feedback? If the delay is inordinate, what should I do?
  12. kevylameck

    JamiiForums Tanzania Sensa, RITA na NIDA; ndugu wasiofanana

    Na Kevin Lameck. Hisia mseto zimekuwapo kuhusu Zoezi la Sensa ya watu na makazi litakalofanyika jumanne ya August 23/2022. Takribani mwezi mmoja baadae kutokea leo. Watanzania Wengine wanaona ni upotevu tu wa fedha, wengine wakiamini Sensa haina maana katika maendeleo ya kijamii. Baadhi ya...
  13. Kelela

    JamiiForums Tanzania Kero: RITA mna matatizo gani?

    Habari wana JF, Naandika uzi huu ili kuelezea kero zangu na wengine wengi kuhusu RITA kama kuna wahusika humu walifanyie kazi. Natoa kero hizi leo Tarehe 26-Julai-2022 1. Kero ya Kwanza: Namba ya Huduma kwa wateja ni BUTU. Namba ya Huduma kwa wateja ya RITA haifanyi kazi, yaani ukipiga...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Huduma ya RITA inatia mashaka, nawashauri wajitathimini

    Nina mashaka makubwa sana na uwezo wa watendaji RITA hususani kitengo cha usajili wa vizazi na vifo! Ukichunguza kwa makini vyeti 8 kati ya 10 vilivyotolewa na RITA lazima utakuta dosari au changamoto! Miongoni mwa dosari hizo ni kama zifuatazo! 1. Mteja anaweza kuwa anaitwa ABDALLA lakini...
  15. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania RITA mlituletea huduma mtandao mkiwa na lengo la kupunguza foleni katika maofisi yenu, huduma hii ya online ni mbovu mno

    Kwanza kabisa ningependa kujua uwepo wenu humu kama mpo au hampo na kama mpo mje mtupe majibu kwanini huduma hii ni mbovu hivi? Ubunifu huu nauunga mkono wa kuji-hudumia au kuomba vyeti Online ila shida inayowakumba waombaji ni kubwa mno kuliko raha wanayopata baadhi. Mwaka huu ulivyo anza...
  16. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Waziri Kabudi: RITA Kuanzisha mfumo wa usajili wa ndoa kwa njia ya Mtandao

    Prof. Kabudi alibainisha hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wa maadhimisho ya nne ya usajili wa matukio muhimu ya binadamu yaliyoandaliwa na RITA na kusema mfumo huo utasaidia kutoa nakala mtandaoni kabla ya nakala ya cheti cha ndoa kutolewa. “Kabla mfumo huu haujaanza kufanya kazi, wadau...
  17. mshale21

    JamiiForums Tanzania Waziri Kabudi: Viongozi wa dini ambao hawajasajiliwa na RITA hawataruhusiwa kufungisha ndoa ya aina yoyote

    Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi amesema viongozi wa dini ambao hawajasajiliwa na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) hawataruhusiwa kufungisha ndoa ya aina yoyote na endapo watafungisha ndoa bila ruhusa, ndoa hiyo itakuwa batili.
  18. ngotho

    JamiiForums Tanzania Msaada: Napata changamoto hii RITA

    Wakuu neema ya bwana iwe juu yenu naombeni msaada juu la hili. Nilikuwa nahakiki cheti cha kifo lakini katika harakati za kufungua account na kureigister waliniambia eti wananitumia TOKEN kwenye namba yangu lakini kwanzia saa nane mpaka sasa sijaona hiyo TOKEN tatizo linaweza likawa nini wakuu...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Uhakiki vyeti Rita ushaanza?

    Wakuu naomba kufahamishwa je uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa Rita kwa waombaji mkopo 2021/2022 ushaanza?
  20. K

    JamiiForums Tanzania RITA badilikeni ili mambo yafanyike kimtandao

    Hivi karibuni jirani yangu huku mkoani alipata msiba wa kufiwa na mke wake. Kifo kilitokea hospitali iliyoko Dar es Salaam. Kwa kuwa kifo kilitokea Dar shughuli zote inabidi zifanyikie katika za ofisi za RITA Wilaya kulikotokea kifo. Hii ndiyo sheria ya RITA. Alimtumia wakili...
Back
Top Bottom