rita

  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania RITA yatoa talaka zaidi ya 200 kwa Mkoa wa Dar es Salaam kuanzia Januari hadi Desemba 2020

    Wakala wa Usajili, Ufilisi, na Udhamini (RITA) umetoa vyeti vya talaka 221 katika Mkoa wa Dar es Salaam baada ya wanandoa kuamua kuachana. Akizungumza katika maonesho ya Wiki ya Sheria yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, Wakili Mwandamizi wa Serikali wa RITA, Edna...
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji, NIDA na RITA, mfungulieni Kesi ya Uhujumu Uchumi Diamond Platnumz kwa Kumiliki nyaraka fake za Serikali. Vitambulisho vyote anyang'anye

    Salaam Wakuu, Vyombo vya Serikali viache double standard. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimzawadia kofia msanii Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platinumz baada ya kutumbuiza maelfu kwa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni Uwanja wa CCM...
  3. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini academic certificates zinafanyiwa verification kwa wataalam wa sheria badala ya taasisi husika ya elimu kama RITA wafanyavyo kwa vyeti vyao?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania eti; Kwanini academic certificates zinafanyiwa verification kwa wataalam wa sheria badala ya taasisi husika ya elimu kama RITA wafanyavyo kwa vyeti vyao? Nilipokuwa ninamsaidia mdogo wangu kuomba mkopo wa elimu ya juu...
  4. Murashani GALACTICO

    JamiiForums Tanzania Tunaokutana na changamoto za uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa kutoka kwenye e-Service za RITA

    Wapendwa kama title inavyojieleza hapo juu. Nimekutana na changamoto ya kuthibitishiwa cheti cha kuzaliwa cha mdogo wangu. Hapo mwanzo majibu ya uhakiki yalichelewa. Tuliwapigia bila mafanikio kwa muda mrefu. Tulikuja wapata kwa njia ya simu kuwaeleza kulikoni mbona majibu yamechelewa wakasema...
  5. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Nipo huku mkoani, nahitaji certificate verified kutoka RITA

    Habarini nduu zangu, Kuna ndugu yangu nimemsaidia kufanya application ya loan board, kuna zoezi la kutuma taarifa ya cheti cha kuzaliwa RITA kwaajili ya verification, zilipita week 2 wakarudisha majibu kwenye system kuwa sijafanya attachment ya cheti usika, nimefanya attachement ya cheti tangu...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nimefanya uhakiki wa vyeti RITA lakini mpaka sasa sijapata majibu

    JAMANI WANAJAMII FORUM, MSAADA WENU NAOMBA NDUGU ZANGU, NIMEFANYA UHAKIKI WA CHETI CHA KUZALIWA RITA LEO NI SIKU YA KUMI NA TATU SIJAPATA MAJIBU NA KWENYE SYSTEM YAO HAIONESHI IPTION YA KUVIEW STUTUS WALA NIKIFUNGUA INBOX HAIONESH CHOCHOTE... TATIZO NI NINI JAMANI
  7. Ashura9

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kupata cheti cha kuzaliwa kutoka RITA Tanzania

    Taratibu za kupata cheti cha kuzaliwa: RITA Tanzania Kwa mujibu wa sheria unaweza kupata cheti katika Wilaya uliyozaliwa au katika ofisi za Msajili Mkuu, Makao Makuu ya RITA katika jengo jipya la wakala la Rita Tower lililopo Mtaa wa Makunganya maeneo ya posta mpya mkabala na Club Bilcanas, Dar...
  8. Mgiriki MTz

    JamiiForums Tanzania Je, RITA wameshaanza kuhakiki vyeti vya kuzaliwa kwa wanaojiandaa kuomba mkopo HESLB?

    Habari wana jf, Husika na kichwa cha uzi naomba kujua kama RITA wameshaanza uhakiki wa vyeti kwa njia ya mtandao kwa vijana wanaojiandaa kuomba mkopo HESLB? Pia naomba kujua kama bodi ya mikopo,HESLB kama tayari wameshatoa vigezo vitakavyotumika mwaka huu? Nawasilishà. #jEshi.
  9. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa namna ya ku-verify birth certificate kupitia RITA

    I hope you are all fine, Guys, nataka kuverify cheti changu cha kuzaliwa kupitia RITA hivyo naomba kujua mambo/vitu vifuatavyo: 1. Naweza kuwatumia cheti changu kupitia email? Na kama inawezekana, email yao ni ipi? 2. Namna ya kutuma na mfumo wa malipo pia 3. Baada ya kutuma ni muda gani...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kikaangoni: Utapeli wa BSS ya Madam Rita, washindi wa nyuma nao wafuatiliwe

    Maskini vijana wa watu wakishinda bss tukiwaona mtaani bado hali zao za uchumi zimeyumba zinaanza stori kwamba wamefanyia hela umalaya, ulevi au starehe za kipuuzi, Kumbe hakuna kitu kama hicho, Vijana waambulia kupewa milioni 1 tu:eek::eek: Jumanne Iddi, Walter Chilambo, Ramadhan, Kayumba...
Back
Top Bottom