Msaada: Nafanya maombi ya mkopo, mfumo unanipa ujumbe "Your Rita Values Are Invalid"

Jan 22, 2014
29
56
Naomba msaada kwa anayejua.

Nafanya maombi ya mkopo kwa ngazi ya stashahada. Shida nikifika kwenye sehemu ya kujaja taarifa za kiemografia na kuandika namba za cheti cha kuzaliwa na nikitaka kusave Inanigomea nabkuniandikia "Your Rita Values Are Invalid" nawezaje tatua changamoto hiyo?
 
Kiingereza ni shida hapo au nini?

Neno your rita values are invalid maana yake namba za cheti ulizoingiza sio sahihi Yani hazipo... Unakosea kuingiza namba, soma vizuri au omba watu wakuelekeze ni namba zipi zinazopaswa kuingizwa
 
Naomba msaada kwa anayejua.

Nafanya maombi ya mkopo kwa ngazi ya stashahada. Shida nikifika kwenye sehemu ya kujaja taarifa za kiemografia na kuandika namba za cheti cha kuzaliwa na nikitaka kusave Inanigomea nabkuniandikia "Your Rita Values Are Invalid" nawezaje tatua changamoto hiyo?
Cheti cha kuzaliwa pamoja na vyeti vya vifo,vina verified na rita then unapewa verification number ambayo unaiingiza hapo wakati unafanya application ya mkopo.Kama hujafanya verification ya cheti basi anza na hiyo kabla ya kuomba mkopo.
 
Huyu keshajichanganya hapo aisee na mdah umebaki mchache sana
 
Naomba msaada kwa anayejua.

Nafanya maombi ya mkopo kwa ngazi ya stashahada. Shida nikifika kwenye sehemu ya kujaja taarifa za kiemografia na kuandika namba za cheti cha kuzaliwa na nikitaka kusave Inanigomea nabkuniandikia "Your Rita Values Are Invalid" nawezaje tatua changamoto hiyo?
Wakati unafanya verification ya cheti chako RITA kuna mahala unajaza Purpose ya Verification
Kuna FOR NIDA na FOR HESLB
Kama ulijaza FOR NIDA,reference number haikubali kwenye application,lipia upya urekebishe hicho kipengere
 
Back
Top Bottom