rita

  1. G

    KERO Responded RITA ni tatizo, wiki ya tatu sasa vyeti vya wanangu havijahakikiwa; nimelipa Tsh 12,000 kwa vyeti viwili lakini majibu sijapata

    Ndugu zangu, Hii mamlaka ya RITA ni tatizo week ya tatu sasa vyeti vya wanangu havijahakikiwa nimelipa sh 12,000 kwa vyeti viwili tu lakini majibu cjapata na hawajitokezi kuelezea nini tatizo nakumbuka miaka mitatu nyuma tulihakiki vyeti kwa Tsh 2000. Leo imefika 6000 lakini huduma zimekuwa...
  2. Background Check

    Tuiulize serikali maswali muhimu, ambayo inatakiwa kutoa majibu sahihi

    Kwa mawazo yangu ya kawaida bila kutumia akili za shuleni kwetu kuna vitu havipo sawa kwenye chi hii. Mfano: Unaenda RITA unafanya maombi ya cheti cha kuzaliwa cha mtoto/watoto etc.. unapewa control number unalipia baada ya muda unafata cheti chako kipo tayari. Cheti kipo tayari kwa matumizi...
  3. O

    Rita: Bora cheti kiandikwe baba mzazi hajulikani, kuliko jina lisilo asili

    Kama una mtoto na hauna uhakika na baba yake halisi au kwa sababu zako hutaki ubini wake utumike kwa mwanao, huna sababu ya kumwandika baba bandia katika cheti cha kuzaliwa. Kwa mujibi wa RITA kuandika jina la baba asiye wa asili ya mtoto katika cheti cha kuzaliwa ni kosa kisheria. Badala yake...
  4. The useful idiot

    RITA kweli kabisa mmeshindwa kujenga fensi ofisi zenu zilizopo Posta?

    🤔
  5. Intricate

    Msaada: Gharama za kusajili cheti cha ndoa RITA ili kupata nakala ya maandishi katika daftari la ndoa

    Habari, Kwa mwenye kujua gharama za kusajili cheti cha ndoa RITA tafadhali pamoja na process zake. Natanguliza shukran za awali.
  6. S

    rita death certificate attachment

    Habari za muda huu wakuu, Ninaomba msaada juu ya jinsi ya kuandika: Muhtasari wa kikao cha familia ulioshirikisha wanandugu wasiopungua saba pamoja na nakala za vitambulisho vyao. Kiapo cha mahakama. Muhtasari wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Kata ikithibitisha kutokea kwa kifo. Naombeni...
  7. T

    Hongera HESLB kuongeza muda maombi ya mkopo, tatizo ni RITA kuchelewesha kutoa au kuthibitisha vyeti vya kuzaliwa au kifo

    Sitachoka kuwalalamikia RITA, unatuma cheti cha kuzaliwa walichotoa wenyewe, wanakaa nacho zaidi ya wiki 3, baadae wanakujibu picha ya kivuli haionekani vizuri. Wanakwambia kitume upya. Ukishakituma baada ya siku kadhaa wanakujibu cheti walichotoa wenyewe eti hakiko kwenye orodha...
  8. that-official

    Ni muda gani RITA wanachukua kuchakati taarifa zako na kurudisha majibu?

    Habari Wana jamii. Naomba kuuliza ni mda gani RITA wanachukua kuchakati taarifa zako na kurudisha majibu? Mfumo wa Sasa upo kitechnology Zaidi, mtu anaeweza kuomba cheti online kwa kutumia simu yake. Je kama taarifa sio sahihi ni namna gani wanarudisha majibu? Ni mwezi Sasa unapita toka...
  9. W

    KERO Mnaotoa Vyeti vya Serikali mnakwaza kukosea Herufi za Majina ya Watumiaji wa Nyaraka hovyo

    Mwanangu yuko katika hatua za kuomba nafasi chuoni mwaka huu, lakini anapata usumbufu mkubwa kubadilisha majina kwenye cheti chake cha kuzaliwa ili yaendane na yale yaliyo kwenye vyeti vya shule. Hii ni hatua muhimu ili aweze kuendelea na mchakato wa kuomba chuo. Vivyo hivyo, hata wakati wa...
  10. Y

    Application za Vyuo, verification ya Vyeti RITA

    Kwa yeyote ambae atahutaji usaidizi wa kuelekezwa au kufanyiwa HUDUMA zifuatazo asisite kunitafuta. 1.RITA verification ya VYETI vyote. VYETI vya KUZALIWA na VIFO 2.kufanya application za vyuo vyote. 3.kufanya application ya mkopo kwa wale wanafunzi wa vyuo.especially degree na level ya juu...
  11. G

    RITA wanalipisha kupata verification code, kwanini wasitengeneze vyeti kama NECTA then wakaweka zile code kama namba ya cheti kama ilivyo namba NECTA

    Habari WanaJF Nimekuwa nikijiuliza maswali kwanini kuna zoezi zima la verification codes wakati wa zoezi la ujazaji form za mikopo ya elimu ya juu kulipia?, Kwanini wasitengeze vyeti vya kuzaliwa na kuviingiza kwenye mfumo na ku-print ikiwa na namba zake(namba ambazo zinazotumwa kama...
  12. Utajua wewe

    Muda gani cheti cha kuzaliwa kinatoka baada ya kukiomba kutoka RITA

    Nataka kuuliza je ni muda gani cheti cha kuzaliwa kinatoka baada ya kukiomba kutoka RITA.
  13. T

    Kinanchoitwa uhakiki wa cheti cha kuzaliwa na RITA kina maana gani?

    Nimepata mfadhaiko nilipopata taarifa kutoka kwa kijana wangu, kuhusu hitaji mojawapo la kuomba mkopo anatakiwa awe na hitibati ya uhakiki wa cheti chake chakuzaliwa, sasa inakuwaje cheti ambacho kimetolewa na hao RIta wanataka tena kihakikiwe kwa gharama ya 6000? kwanini kuwe na cheti...
  14. A

    KERO RITA Korogwe kuna tatizo upande wa kutoa vyeti vya kuzaliwa

    RITA Korogwe kuna shida kupata cheti cha kuzaliwa ulichoomba online na kuwa approved na kuthibitishwa kipo tayari, kukipata utazungushwa nenda rudi bila kujali unatoka mbali tena vijijini na umetumia gharama kubwa kukifata. Soma Pia: RITA ni tatizo, wiki ya tatu sasa vyeti vya wanangu...
  15. Roving Journalist

    Madai ya kuchelewesha Vyeti, RITA yasema imepokea maombi 143,157, yaliyofanyiwa kazi ni 61.2%

    TAARIFA KWA UMMA ZOEZI LA UHAKIKI WA VYETI VYA VIZAZI NA VIFO VYA WANAFUNZI WANAOOMBΑ ΜΙΚΟΡΟ YA ELIMU Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umepokea jumla ya maombi uhakiki 143,157 ambapo kati ya hayo, maombi 87,665 sawa na asilimia 61.2 yameshafanyiwa kazi na majibu kutumwa kwa...
  16. J

    KERO Responded RITA badilikeni, toeni majibu ya uhakiki wa vyeti kwa wakati

    Habari wadau poleni na utekelezaji wa majukumu ya Kila siku katika harakati za kulijenga taifa Kero yangu ya leo inatoka kwa mamlaka inayohusika na usajili wa vizazi na vifo Tanzania RITA RITA wamekuwa Wana makosa yake Yale Kila mwaka yanayojirudia na hivyo kukwamisha baadhi ya watu kupata Haki...
  17. CyberTz

    KERO Responded Tatizo katika uhakiki wa vyeti kwa wanafunzi wanaoomba Mkopo na huduma za RITA kwa ujumla

    Habari wanajukwaa. Kuna changamoto tunapitia katika uhakiki wavyeti vya kuzaliwa kupitia RITA. Wengi tupo katika mchakato wa kuomba mkopo wa elimu ya juu lakini kikwazo kimekuwa kwa RITA. Mimi binafsi nina wiki ya 2 sasa kuelekea ya 3 cheti hakijahakikiwa na nimeshalipia. Mbaya zaidi hata...
  18. Masalu Jacob

    RITA: Tupeni vitambulisho vya kuzaliwa kwa watoto (Birth Card) na sio karatasi kama mfanyavyo sasa

    Habari Tanzania ! Habari Jamii salama ! Ninaombi au wazo kwa taasisi inayohusika na utoaji kadi za kliniki na cheti cha kuzaliwa. Wazo langu ni kuwa wazazi wanapokuwa wajawazito wapewe hayo makaratasi (kadi ya kliniki) ila wanapo bahatika kujifungua wapewe kadi maalumu (Birth Card) ifanane...
  19. K

    Ni wakati sasa Serikali kutoa huduma za VIP

    Kwa mlolongo wa kutoa huduma kwenye taasisi muhimu za serikali mfano ukienda NIDA kupata kitambulisho unachukua muda mrefu sana mpaka kupata namba ya NIDA na kitambulisho chenyewe unaweza usipate usipojiongeza vizuri. Pia ukienda RITA kupata huduma tabu ipo palepale utazungushwa kwelikweli ila...
  20. J

    RITA yabaini ubadhirifu wa tsh billion 1 Msikiti wa Ijumaa Mwanza

    Wakala wa Usajili, Udhamini na Ufilisi nchini Rita umebaini ubadhirifu wa tsh billion 1 Msikiti wa Ijumaa Mwanza na hatua za kisheria zimeshaanza kuchukuliwa Hayo yamesemwa na Kabidhi Wasii Mkuu na Afisa Mtendaji Mkuu wa Rita Frank Kanyusi Source Mwananchi My take; Kumbe Ufisadi hadi...
Back
Top Bottom