Kwanini mawakala hawatoi risiti kwa mtumaji wa fetha?

kazz

Member
Sep 13, 2012
24
7
Kwa nini mawakala wa kutuma hela hawatoi risiti kwa mtumaji una ambiwa tu tayari imeenda.

Au huyu mtumaji yeye siyo mteja na hana maana kabisa ila mteja ni yule anayepokea hela kwa sababu huyo yeye anapata stakabathi ambayo nayo ina mapungufu kwani inaoyesha tarifa za wakala tu wakati wakala hapa ni mtu watatu lakini nani hasa kaituma hiyo hela? yule mlengwa mwenyewe hatujali wakati naye ni mhimu sana sana sana.

Wakati huo huo kuna mamlaka kibao ambazo zilitakiwa zione hili tatizo kama vile wizara ya fetha, wizara ya sayansi na teknologia, tcra, tra, bila kusahau wizara ya mambo ya ndani na ulinzi lakinini wapi, mpaka Jackal akiwa ana moon walk na snort ndiyo aseme kuna fish packet kwa sababu nyie IDS na IPS we don't care ila finger print tutachukua kwa lengo gani sasa? what a shame naomba ni funguke, break records imo.

Moja kati ya mambo ambayo ni mhimu sana katika biyashara yoyote ile ni kutoa na kupokea stakabathi "risiti" pale mnapokua mmefanya biyashara flani na haswa hiyo biyashara ikiwa ina husisha kodi kwa namna moja au nyingine sasa ni biyashara gani ambayo hai husishi kodi ati Pablo Panuchi lakini jambo ambalo linashangaza, stabisha, sikitisha linabadili hata mwendo wamapigo ya moyo nipale unapokwenda kwa wakala kutuma hela kwa Y alafu hupati hata risiti inayo thibitishwa kweli hiyo hela imekwenda kwa Y hili nikosa kubwa sana kisheria kiasikwamba lina ibua maswali mengi sana. Sasa tuchukulie kume tokea sinto fahamu flani tunaanzia wapi kufuatili? Nathani umepata twasira alafu hapo hapo unasikia kunataasisi zinazo simami haya maswala mhhhhh ni changamoto

Kitu ambacho katika haliya kawaida kabisa ya kibanadamu hususani pale kodi inapokua inahusika, risiti inakuwa ni lazima na siyo ombi na ni haki ya mteja unless.

Nikienda kwa wakala kuweka hela kwa Y mategemeo na matarajio yangu nikutoa tarifa za huko na potaka kutuma hela kwenye kisa hiki kwa Y na kiasi ninacho tuma alafu nitoe taarifa zangu mf kwa lengo lakupokea risiti au stakabathi inayo onyesha mimi N nimetuma kiasi kathaa kwa Y na ikijumlisha taarifa za wakala.

Taarifa hizi sasa zipo kwa watu wa nne kama siyo watano walio husika katika mchakato mzima mbona rahisi sana alafu istoshe ni ustarabu na ungwana na tuna pata sehemu zuri kabisa ya ku debug pale kunapo kua na sitofahamu nyani ku consol log kumekua rahisi hata kwa TRA na wengineo na sina uhakika kama hiki kitanzi "Loop hole" kimeachwa kwa maksudu au laa na kama kiliachwa kwa maksudu nia lengo na mathumuni ya likuwa ni yapi?

Lwa wale wenye ujuzi na hili na ombeni ufafanuzi wenu na nina tanguliza shukrani zangu za thati kwa wote watakao changia kutoa elimu zao juu ya hili Ahsante kwa mchango wako.
 
Tafadhali tutumie taarifa zako sahihi.
1. Jina lako kamili.
2. Mahali ulipo
3. Namba yako ya simu.
 
Ok naona punk japokuwa siyo fashion bora ukapigwa para. Ukiwa unaongea na mimi valiya suruwaliyako kiunoni 😍😘
 
Umeandika maelezo malefu sanaa wakati ulikuwa na uwezo wa kuandika kwa ufupi sana na ukaeleweka maana ulikuwa unarudia yaleyale uliyoyaandika.

Anyway twenzetu kwenye mada yako.

Kwanza hii ishu ya mtumaji kutopata uthibitisho kama pesa imeenda kwa muhusika ,hapa Wakala ana makosa ata wewe uliyeenda kutuma una makosa pia.

Wakala anatakiwa kumuhudumia mteja aliyekuwa ofisini kwake ,kwa maana ya kwamba mteja ile pesa inabidi Wakala akuwekee kwenye simu yako then wewe ndiye umtumie uyo Y.

Risiti! Nafikiri SMS ile inakuwa inajieleza kila kitu kiasi ,makato ya mtandao/serikali na Vat .vyote vinakuwepo kwenye iyo text.

Siku nyingine ukitaka kutuma pesa nenda kwa Wakala akuwekee pesa wewe ili iyo text uipokee wewe then mtumie wewe mtu wako.

Mkuu!; Mawakala kama wangesema wafatize sheria zilizowekaa kwa ajili ya kuwahudumia wateja wao wangeishia kuwahudumia wateja wachache tu ama wasipate wa kuwahudumia.

Imagine mteja anatakiwa kuwa na kitambulisho kilichosajili iyo laini yake na inabidi awe ndiye muhusika wa iyo ID ,(hapa kuna wale ndugu zetu walosajiliwa kuna wale wanaoagizwa wakatoe au kutuma))

Vitu vingine tuwe wapole tu.
 
Ok ahsante sana kwa mchango wako naona unapo tokea... hapo hutatuwi tatizo bali
Unajaribu kulikwepa pro tip nilipo sema na moon walk sikumanisha
Mje na kiduku ni deep sasa naomba tuache ku twerk na tuwe pro japo kwa dakika twende baby steps 123

Picha hii inaoyesha hali ya sasa "Currently solution" 👇
pesa18.jpg

Picha hii inaoyesha inavyo paswa kuwa
Ki professional 👇

picha2.jpg

Kama ulivyo ona kwenye picha ya pili
Taarifa hizo zipo kwa wadau wote watatu

ALIYE TUMA Wakala ALIYE TUMIWA

Kwa taarifa yako mimi kama mimi tarifa
Za wakala nibora nikazikosa kwa sababu
Hazina umuhimu na mimi zenye umuhimu
Ni zayule ambaye kanitumia hela kwa sababu huyu ndiye tulikua na jambo letu.

Poa tupili mbali hilo mimi niliyetuma
Na justify vipi kwamba nilituma kiyasi kathaa kwa Y yani hata kwa lengo la kumbukumbu zangu binafsi achana na
Mengineyo come on...

Tafsiri yake kwa wenye viduku nikama
Umepanda dala dala ya mwenge karia koo
Lakini ticket inasema kawe posta

Nakwaupade mwingine nisawa na umepanda dala dala alafu konda hatoi tiketi

Mimi wakala ndiyo nani kwangu please??

Ana kua na maana pale ninapo weka hela
Moja kwa moja kutoka kwake kuingia kwenye simu yangu. Na hii possibly ndiyo lilikua Lengo la mfumo pale uhalisia ulivyo kwenda tofauti na matarajio ya waendelezaji hawa kuendelea kuendeleza mfumo uendane na taratibu za watumiaji huu unaweza ukawa mtazamo wa lay man kama sisi "stepping on ishy vue my review"

Swali langu lilikua kwa nini hii professional
Solution haitekelenzwi namatumaini kwamba tuko kwenye meza moja sasa
 
View attachment 2017376

Picha hii inaoyesha inavyo paswa kuwa
Ki professional 👇

View attachment 2017379

Unamaanisha anaweka risiti feki kwenye system, anakupa nyingine tofauti?
 
Ok ahsante sana kwa mchango wako naona unapo tokea... hapo hutatuwi tatizo bali
Unajaribu kulikwepa pro tip nilipo sema na moon walk sikumanisha
Mje na kiduku ni deep sasa naomba tuache ku twerk na tuwe pro japo kwa dakika twende baby steps 123

Picha hii inaoyesha hali ya sasa "Currently solution"
View attachment 2017376

Picha hii inaoyesha inavyo paswa kuwa
Ki professional

Kazi ya Wakali sio kumtumia pesa au kupokea pesa kwa mtu ambae hayuko usoni mwake.
Sheria inamtaka mteja aende kwa wakala kutoa/ kuweka pesa akiwa na ID yake alioaajilia line na jaze kitabu kinachotolewa na kampuni za simu majina yako, ID namba namba yako ya simu na pesa unayotaka kuweka/ kutoa.

Hizo sheria zingefatwa mngekuja hapa kulalamika tena kwanini kutoa/ kuweka pesa yangu masharti yamewekwa magumu.
 
Mawakala hawatoi receipt Kwa vile hawapati faida ukitaka receipt mpaka ulipie mia mbili
 
Ok ahsante sana kwa mchango wako naona unapo tokea... hapo hutatuwi tatizo bali
Unajaribu kulikwepa pro tip nilipo sema na moon walk sikumanisha
Mje na kiduku ni deep sasa naomba tuache ku twerk na tuwe pro japo kwa dakika twende baby steps 123

Picha hii inaoyesha hali ya sasa "Currently solution"
View attachment 2017376

Picha hii inaoyesha inavyo paswa kuwa
Ki professional

View attachment 2017379

Kama ulivyo ona kwenye picha ya pili
Taarifa hizo zipo kwa wadau wote watatu

ALIYE TUMA Wakala ALIYE TUMIWA

Kwa taarifa yako mimi kama mimi tarifa
Za wakala nibora nikazikosa kwa sababu
Hazina umuhimu na mimi zenye umuhimu
Ni zayule ambaye kanitumia hela kwa sababu huyu ndiye tulikua na jambo letu.

Poa tupili mbali hilo mimi niliyetuma
Na justify vipi kwamba nilituma kiyasi kathaa kwa Y yani hata kwa lengo la kumbukumbu zangu binafsi achana na
Mengineyo come on...

Tafsiri yake kwa wenye viduku nikama
Umepanda dala dala ya mwenge karia koo
Lakini ticket inasema kawe posta

Nakwaupade mwingine nisawa na umepanda dala dala alafu konda hatoi tiketi

Mimi wakala ndiyo nani kwangu please??

Ana kua na maana pale ninapo weka hela
Moja kwa moja kutoka kwake kuingia kwenye simu yangu. Na hii possibly ndiyo lilikua Lengo la mfumo pale uhalisia ulivyo kwenda tofauti na matarajio ya waendelezaji hawa kuendelea kuendeleza mfumo uendane na taratibu za watumiaji huu unaweza ukawa mtazamo wa lay man kama sisi "stepping on ishy vue my review"

Swali langu lilikua kwa nini hii professional
Solution haitekelenzwi namatumaini kwamba tuko kwenye meza moja sasa

Wewe utakuwa huishi Tanzania.

Maana !!
 
Kwa nini mawakala wa kutuma hela hawatoi risiti kwa mtumaji una ambiwa tu tayari imeenda.

Au huyu mtumaji yeye siyo mteja na hana maana kabisa ila mteja ni yule anayepokea hela kwa sababu huyo yeye anapata stakabathi ambayo nayo ina mapungufu kwani inaoyesha tarifa za wakala tu wakati wakala hapa ni mtu watatu lakini nani hasa kaituma hiyo hela...?, yule mlengwa mwenyewe hatujali wakati naye ni mhimu sana sana sana.

Wakati huo huo kuna mamlaka kibao ambazo zilitakiwa zione hili tatizo kama vile wizara ya fetha, wizara ya sayansi na teknologia, tcra, tra, bila kusahau wizara ya mambo ya ndani na ulinzi lakinini wapi, mpaka Jackal akiwa ana moon walk na snort ndiyo aseme kuna fish packet kwa sababu nyie IDS na IPS we don't care ila finger print tutachukua kwa lengo gani sasa ??? what a shame naomba ni funguke.....break records imo.

Moja kati ya mambo ambayo ni mhimu sana katika biyashara yoyote ile ni kutoa na kupokea stakabathi "risiti" pale mnapokua mmefanya biyashara flani na haswa hiyo biyashara ikiwa ina husisha kodi kwa namna moja au nyingine sasa ni biyashara gani ambayo hai husishi kodi ati Pablo Panuchi lakini jambo ambalo linashangaza, stabisha, sikitisha linabadili hata mwendo wamapigo ya moyo nipale unapokwenda kwa wakala kutuma hela kwa Y alafu hupati hata risiti inayo thibitishwa kweli hiyo hela imekwenda kwa Y hili nikosa kubwa sana kisheria kiasikwamba lina ibua maswali mengi sana..... sasa tuchukulie kume tokea sinto fahamu flani tunaanzia wapi kufuatili????? Nathani umepata twasira alafu hapo hapo unasikia kunataasisi zinazo simami haya maswala mhhhhh ni changamoto

Kitu ambacho katika haliya kawaida kabisa ya kibanadamu hususani pale kodi inapokua inahusika, risiti inakuwa ni lazima na siyo ombi na ni haki ya mteja unless....
Nikienda kwa wakala kuweka hela kwa Y mategemeo na matarajio yangu nikutoa tarifa za huko na potaka kutuma hela kwenye kisa hiki kwa Y na kiasi ninacho tuma alafu nitoe taarifa zangu mf N kwa lengo lakupokea risiti au stakabathi inayo onyesha mimi N nimetuma kiasi kathaa kwa Y na ikijumlisha taarifa za wakala.

Taarifa hizi sasa zipo kwa watu wa nne kama siyo watano walio husika katika mchakato mzima mbona rahisi sana alafu istoshe ni ustarabu na ungwana na tuna pata sehemu zuri kabisa ya ku debug pale kunapo kua na sitofahamu nyani ku consol log kumekua rahisi hata kwa TRA na wengineo na sina uhakika kama hiki kitanzi "Loop hole" kimeachwa kwa maksudu au laa na kama kiliachwa kwa maksudu nia lengo na mathumuni ya likuwa ni yapi?

Lwa wale wenye ujuzi na hili na ombeni ufafanuzi wenu na nina tanguliza shukrani zangu za thati kwa wote watakao changia kutoa elimu zao juu ya hili Ahsante kwa mchango wako.
Ambaye ameishia njiani hii insha gonga like
 
Kama umetumia wakala kutuma pesa kwa mtu mwingine unatakiwa ukamatwe,

Tunaomba:
1. Majina yako kamili
2. Eneo unaloishi
3. Namba yako ya simu

Ili tuweze kufikisha taarifa kwa vyombo husika kwa msaada zaidi.

Utaratibu sahihi ni kuweka pesa kwenye simu yako na kuituma kuelekea kwa mhusika, kukwepa huo mzunguko ni kukwepa tozo na kulikosesha taifa mapato.
 
Unataka kurathimisha dhambi ya ukwepaji Kodi?

Ukienda kwa wakala ukamwambia nitumie pesa kwa mama yangu wa mbeya wakati huo wewe upo arusha na wakala akafanyahivyo nyote nyie mnatakiwa kukamatwa. Na sio kwamba wakala hajui kipi anapaswa kufanya ila amekutumia pesa eidha kwa sababu ya njaa zake, hataki kukupoteza wewe kama mteja au ameamua kukisaidia lakini amefanya makosa ki sheria, na mawakala hua wanajua kwakua hua wanapewa semina kipi wafanye.

Hivyo utaratibu sahihi ukifika kwa wakala nenda na kitamburisho chako ulicho tumia kusajili lain yako, mpe pesa wakala, andika namba yako ya simu kwenye kikatarasi pamoja na majina yako na kiasi, mpe wakala akutumie, ukipokea meseji ya uthibitisho wa muamala basi unaweza ondoka eneo la wakala hiyo pesa ukaituma kokote unako taka wewe ikibidi hata sm itupe jalalani.
 
Back
Top Bottom