ridhiwani kikwete

Ridhiwani Jakaya Kikwete (born 16 April 1979) is a Tanzanian lawyer and CCM politician.

View More On Wikipedia.org
  1. NAFIKIRE

    JamiiForums Tanzania Kwako Ridhiwani Kikwete Waziri wa Vijana, Ajira na wenye Ulemavu

    Kwanza nianze kukupongeza Mheshimiwa waziri kwa kazi kubwa na nzuri unayoifanya kwenye wizara unayoiongoza..Hongera sana Mheshimiwa waziri niende moja kwa moja kwenye dukuduku langu lilonisukuma kupandisha hili wazo langu hapa kwenye jukwaa letu pendwa la JF. Mheshimiwa waziri ninajua fika...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Kikwete: PSSSF imeanza kulipa mafao kwa kikokotoo kipya kilichoboreshwa

    Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), umeanza kutekeleza maagizo ya serikali ya kuanza kulipa Mafao kwa kutumia utaratibu wa Kikomkotoo kilichoboreshwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete ametangaza. Kikwete ametangaza...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete akutana na Balozi wa Japan, wajadili kuwezesha vijana wa Kitanzania kimafunzo na ujuzi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete amekutana na kuzungumza na Balozi wa Japan nchini Tanzania ambaye pia ni Mwakilishi wa Japan katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Yusushi Misawa pamoja na ujumbe wake alipomtembelea katika...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Ridhiwani Kikwete apokea msaada wa vifaa tiba na madawati kutoka NMB

    Aziita sekta binafsi kushirikiana na serikali kutatua changamoto za wananchi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani amepokea msaada wa vifaa tiba kwa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dodoma: Ridhiwani Kikwete atembelea watoto wanaolelewa Kikombo, akabidhi vyerehani kwa mafunzo ya vitendo

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Serikali imeweka mipango na mikakati ya kuhakikisha watoto wanapata malezi bora yanayolenga kukuza ustawi wao. Mhe. Ridhiwani amebainisha hayo Agosti 16, 2024 wakati wa makabidhiano ya...
  6. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri Ridhiwani Kikwete afanya mazungumzo mafupi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE) Bi. Ndomba Doran

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE) Bi. Ndomba Doran aliyeongozana na Meneja wa Kanda ya Kati wa ATE, Bw. Leonard Mapha...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Serikali Imetoa Mikopo ya Tshs. Billioni 1.2 kwa miradi 57 ya Vijana 2023/2024

    Akizungumza katika Maadhimisho ya Siku ya Vijana Agosti 12, 2024 jijini Dodoma, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Ridhiwani Kikwete alisema kuwa serikali imeratibu na kusimamia miradi ya kimkakati ikiwemo kutengeneza ajira, kupanua masoko na kutoa...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Waziri Ridhiwani Kikwete: Vijana milioni 1.8 sawa na asilimia 12 hawana ajira

    Matokeo ya utafiti wa nguvu kazi iliyofanyika mwaka 2021, inaonesha kuwa kati ya vijana milioni 14.6 wenye uwezo wa kufanya kazi, vijana milioni 1.8 sawa na asilimia 12 hawana ajira. Tatizo la ajira kwa vijana hasa wa kike lipo asilimia 16.7 ukilinganisha na asilimia 8.3 kwa upande wa vijana wa...
  9. Fantastic Beast

    JamiiForums Tanzania Anayefuatia ni Kinana, uteuzi wa Ridhiwani ni kama kupooza moto kidogo

    Bada ya kuwaondoa January na Nape kwenye baraza lake la mawaziri, Rais Samia anaweza kufanya mabadiliko zaidi katika serikali na chama tawala kabla ya uchaguzi ujao. Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana anaweza kuwa mtu wa juu anayefuata kukihama chama tawala. Kinana, January na Nape...
  10. Girland

    JamiiForums Tanzania Je, tutegemee Ridhiwani kuvaa viatu vya baba yake au bado hana ukomavu wa kisiasa?

    Ndugu zangu, Jana usiku tumepokea taarifa kupitia ukurasa wa Ikulu mawasiliano juu ya Utenguzi na Uteuzi. Habari kubwa ni kuhusu kutenguliwa kwa aliyekuwa waziri wa mambo ya nje ndg January Makamba pamoja na Ndg Nape Nnauye aliyekuwa waziri wa mawasiliano na teknolojia ya Habari. Sasa wengi...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Habari ya mjini kwasasa ni Msoga marathon, kuunguruma Jumamosi hii Juni 29 ili kwenda kusaidia huduma ya afya ya mama na mtoto

    HABARI YA MJINI KWASASA NI MSOGA MARATHON, KUUNGURUMA JUMAMOSI HII JUNI 29 ILI KWENDA KUSAIDIA HUDUMA YA AFYA YA MAMA NA MTOTO 💥Usajili wake unaendelea nchi nzima, Zoezi la Ugawaji Vifaa kwa ajili ya kukimbia na Msoga Marathon linaendelea 💥Jisajili sasa upate vifaa vyako ili Jumamosi tukate...
  12. USSR

    JamiiForums Tanzania Ufisadi: Tumechinja ng 'ombe zaidi ya 1500 asema Ridhiwani Kikwete

    Ukiacha ulechango wa harusi ambapo naibu waziri Ridhiwani alichangia million 30 leo ameposti kuwa wamechinja zaidi ya Ng'ombe 1500 kwa ajili ya idi. Chalinze hakuna maji, kumejaa umaskini hasa huko ndani ndani ,shule zipo hovyo zimejaa nyufa hakuna madarasa ila mbunge anajisifia kuchinja...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwan Kikwete kuongoza mahafali ya seneti mkoa wa Morogoro, Juni 8

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (Mb) Mhe. Ridhiwani Kikwete atakuwa Mgeni rasmi kesho Jumamosi Juni 08, 2024 kwenye Mahafali ya Vyuo na Vyuo Vikuu Seneti ya Mkoa wa Morogoro katika Chuo cha Jordan kwenye Ukumbi wa Jordan Hall. 📍08 June 2024 📍 JORDAN...
  14. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Ndani ya kipindi cha miaka miwili, Serikali imeshawaajiri Maafisa Maendeleo ya Jamii zaidi ya 2140

    SERIKALI YAONGEZA AJIRA KWA WATUMISHI WA USTAWI WA JAMII WANANCHI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KULINDA MAADILI Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Ridhiwani Kikwete ameliambia Bunge kuwa ndani ya kipindi cha miaka miwili serikali imeshawaajiri...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwan Kikwete atumia siku yake ya kuzaliwa kusambaza upendo kwa wengine, afikisha miaka 45

    Kila ifikapo Aprili 16 ni Kumbukizi ya Kuzaliwa ya Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete. Kwenye Siku yake hii ya Kuzaliwa mwaka huu 2024, Kikwete ameitumia kusambaza upendo kwa wananchi mbalimbali kwa kutoa vyakula mbalimbali. Kikwete...
  16. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete na Wana Chalinze wa Tarafa za Kwaruhombo na Msata wajumuika kwa futari ya pamoja kipindi hiki cha Mwezi wa Ramadhani

    KUMI LA PAMOJA CHALINZE Wana Chalinze wa Tarafa za Kwaruhombo na Msata wamejumuika na Mbunge wao ambaye ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete katika futari ya pamoja kipindi hiki cha Mwezi wa Ramadhani. Futari hii iliyokutanisha Masheikh na...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kikwete agawa bima za afya kwa mabalozi Chalinze, asisitiza kuwapa kipaumbele

    Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora amewakumbusha viongozi na CCM -Halmashauri ya Chalinze kuwapa kipaumbele Mabalozi katika kazi za kila siku zinazofanywa na fursa zinazojitokeza ili kuwatambulishaU umuhimu wao katika kazi na ustawi wa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Mifumo mitatu mipya ya utumishi itakavyosaidia kupima utendaji wa watumishi na kusaidia wananchi

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema mifumo mipya mitatu iliyobuniwa na kufungwa kwenye utumishi wa umma itasaidia kwa kiasi kikubwa sana kupima utendaji kazi wa mtumishi yeyote aliyepangiwa majukumu na kuona kiwango cha utekelezaji wa majukumu yake...
  19. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Vita dhidi ya rushwa ni agenda endelevu

    Maneno hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Nchi, Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete wakati akijibu swali lililoulizwa Bungeni na Mbunge wa Jimbo la Mbuli Mjini Ndg. Zacharia Isaay aliyetaka kujua serikali imejipangaje kujenga ofisi za TAKUKURU nchini. Pamoja na majibu ya swali...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Serikali kuendelea kutoa elimu kwa jamii kuibua miradi ya tasaf itakayoondoa changamoto zilizopo

    Serikali imesema miradi yote inayotekelezwa na TASAF (Mpango wa kunusuru kaya maskini) huibuliwa na jamii kwa kutumia utaratibu shirikishi unaohusisha na jamii yote na kwamba serikali itaendelea kutoa elimu kwa jamii nzima nchini kuhakikisha inaibua miradi inayotatua changamoto zao katika maeneo...
Back
Top Bottom