Nape Nnauye, January Makamba na Ridhiwani Kikwete wasipotumbuliwa kura za CCM zitayeyuka Kanda ya Ziwa

Boss la DP World

JF-Expert Member
Dec 12, 2021
1,997
7,551
Wiki kadhaa zilizopita nilikuwa na mizunguko huko mikoa ya kanda ya ziwa, baada ya kudodosa mawili matatu toka kwa wahenga wa huko nikabaini hawa watu kuna jambo wanalo moyoni kuhusiana na mtoto wao.

Kwakifupi sijui ni kwanini ila wengi wanawahusisha sana hao waheshimiwa hapo juu na kisa cha mtoto wao. Sijui ni kwanini hisia zinawapeleka huko ila kwa kifupi hili jambo litachukua muda sana kuondoka akilini mwao.

Mwananzengo 1 akasema akiona 1 kati ya watajwa basi anamkumbuka mwanaye. CCM angalieni hili, ikiwa mnadhani halina uzito liacheni, ila binafsi naona 2025...
 
Inahisiwa hivyo kuwa mtoto wao aliuliwa na ipo kwenye nafsi zao
 
Wiki kadhaa zilizopita nilikuwa na mizunguko huko mikoa ya kanda ya ziwa, baada ya kudodosa mawili matatu toka kwa wahenga wa huko nikabaini hawa watu kuna jambo wanalo moyoni kuhusiana na mtoto wao.

Kwakifupi sijui ni kwanini ila wengi wanawahusisha sana hao waheshimiwa hapo juu na kisa cha mtoto wao. Sijui ni kwanini hisia zinawapeleka huko ila kwa kifupi hili jambo litachukua muda sana kuondoka akilini mwao.

Mwananzengo 1 akasema akiona 1 kati ya watajwa basi anamkumbuka mwanaye. CCM angalieni hili, ikiwa mnadhani halina uzito liacheni, ila binafsi naona 2025...
Sisi kanda ya ziwa tunapenda kuwaambia CCM kwamba wasimpomtoa mama muuza 2025 wahesabu maumivu.
 
Wiki kadhaa zilizopita nilikuwa na mizunguko huko mikoa ya kanda ya ziwa, baada ya kudodosa mawili matatu toka kwa wahenga wa huko nikabaini hawa watu kuna jambo wanalo moyoni kuhusiana na mtoto wao.

Kwakifupi sijui ni kwanini ila wengi wanawahusisha sana hao waheshimiwa hapo juu na kisa cha mtoto wao. Sijui ni kwanini hisia zinawapeleka huko ila kwa kifupi hili jambo litachukua muda sana kuondoka akilini mwao.

Mwananzengo 1 akasema akiona 1 kati ya watajwa basi anamkumbuka mwanaye. CCM angalieni hili, ikiwa mnadhani halina uzito liacheni, ila binafsi naona 2025...

Kama wewe ni chadema basi sahau hiyo 2025. Kanda ya ziwa sio wajinga wakipigie kura chama chenu cha uchagani
 
Wiki kadhaa zilizopita nilikuwa na mizunguko huko mikoa ya kanda ya ziwa, baada ya kudodosa mawili matatu toka kwa wahenga wa huko nikabaini hawa watu kuna jambo wanalo moyoni kuhusiana na mtoto wao.

Kwakifupi sijui ni kwanini ila wengi wanawahusisha sana hao waheshimiwa hapo juu na kisa cha mtoto wao. Sijui ni kwanini hisia zinawapeleka huko ila kwa kifupi hili jambo litachukua muda sana kuondoka akilini mwao.

Mwananzengo 1 akasema akiona 1 kati ya watajwa basi anamkumbuka mwanaye. CCM angalieni hili, ikiwa mnadhani halina uzito liacheni, ila binafsi naona 2025...
Kanda ya ulienda kufanya nini inamaana na Burigi unaitaka
 
Back
Top Bottom