ridhiwani kikwete

Ridhiwani Jakaya Kikwete (born 16 April 1979) is a Tanzanian lawyer and CCM politician.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salma Kikwete na Ridhiwani Kikwete ni bora kuliko Gwajima na Mpina?

    Salma Kikwete na Ridhiwani Kikwete bi bora kuliko Gwajima na Mpina!!!!. Huyu Mama ambaye anaongea pumba tu kila akipewa nafasi ni sawa na hawa vipanga !!! Mafisadi naona wameshikilia nchi kweli kweli
  2. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salma Kikwete na Ridhiwani Kikwete kupitishwa bila ushindani hii ni mbegu inayopandwa na itakuja kuota

    Hii ndio hulka na desturi ya historia. Uongozi wa umma haupaswi kutolewa kama sadaka. Hii mbegu wanayoipanda itakuja kuota na matokeo yake tutayaona. Hakuna sababu ya kuwapigia kura kesho spika awaite bungeni na kuwaapisha kuwa wabunge.
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchi imefikia Mahali ambapo, wahuni wanaamini hamna MTU wa kuwafanya kitu, Inawezekanaje, Familia ya Mstaafu wapitishwe wao tu bila ushindani ?

    Jambo la Kushangaza, Hii familia nao wanafurahia tuu, hivi hata Ridhiwani alishindwa kumshauri Mzee Kikwete, Mzee chomekea majina walau Manne, ila tumalizane na Wajumbe ?. Kwamba ukiwa Mwanafamilia ya Kikwete, Wewe tayari ni Kiongozi Bora kushinda Wenzio Jimbo Zima 🤣 haya ni maajabu. Lakini...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Tazama namna Ridhiwani Kikwete alivyoingia kwenye Kikao cha Baraza la Mawaziri huku akisikilizwa kwa umakini na wenzake

    Ndugu zangu Watanzania, Hivi Ndivyo namna Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete Alivyoingia Kwenye Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo na kuongozwa na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Sana Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Ambapo Mheshimiwa Ridhiwani...
  5. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Akimtambulisha Mwanae Ridhiwani Kikwete kwa Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Picha inaongea,picha inazungumza,picha ina maana kubwa sana,picha moja pekee ni zaidi ya maneno Elfu moja. Hapa Ni Rais wetu mstaafu Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Akimtambulisha Mwanae Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete kwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete Atakuwa Rais wa Tanzania kuanzia Mwaka 2040 Baada ya Kumalizika Kwa Miaka Kumi Ya Urais wa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi kuanzia 2030

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeota ya kuwa Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete Atakuwa Rais Wa Tanzania kuanzia Mwaka 2040. Ambapo Urais wake ataupokea Kutoka Kwa Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi .Ambaye ataanzia 2030 Mpaka hiyo 2040 na kumkabidhi kijiti Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete. Hii itakuwa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete ateta na uongozi wa kiwanda cha Dangote- Mtwara

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete leo Alhamisi amefanya mazungumzo na Ujumbe wa Kiwanda cha Kutengeneza Cement Cha Dongote kutokea Mtwara walipokuja kumtembea Ofisini Dodoma wakiongozwa na Meneja wa Kiwanda hicho Nchini Bwana Adeyemi...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kikwete atoa taarifa kwa Waziri Mkuu maandalizi mei mosi yamekamilika 100%, Rais Samia mgeni rasmi

    Leo Jumatano Aprili 30, 2025 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu -Ridhiwani Kikwete ametoa taarifa kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ya ukamilifu na utayari wa kilele cha Sherehe za Mei Mosi zinazotarajiwa kufanyika kesho Mei Mosi katika Viwanja vya...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Maandalizi uzinduzi wa mwenge 2025 yamekamilika, kuzinduliwa Aprili 2, Pwan

    Mbio za Mwenge 2025 zitahimiza Wananchi kushiriki Uchaguzi Mkuu kwa amani na utulivu. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete, amesema maandalizi ya Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2025 yamekamilika, huku kauli mbiu ya...
  10. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kumuombea kheri rais Samia ni uzalendo kwa nchi yetu- Kikwete

    Wosia huu umetolewa na Mh. Ridhiwani Kikwete , Mbunge wa Chalinze na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana , Ajira na Wenye Ulemavu wakati akiwahotubia Wananchi waliojitokeza kuomba dua kuiombea Nchi na Dr. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nyumbani kwake...
  11. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya bunge yakagua mradi wa nyumba NSSF mtoni kijichi, Kikwete asifu ustahimilivu NSSF

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii wametembelea na kukagua Mradi wa Nyumba za Mtoni Kijichi awamu ya Tatu unaomilikiwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) leo Machi 16, 2025 Jijini Dar es salaam. Akizungumza Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Fatma Toufiq amesema...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete agawa pikipiki 14, vishikwambi na spika kwa maafisa Maendeleo ya Jamii ili kurahisisha kazi zao

    Ni mkakati wa kuhakikisha Wananchi wanafikiwa kirahisi kuhudumiwa. Halmashauri ya Chalinze yatenga Bilioni 2.2 kwa Wanawake, Vijana na Walemavu. Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani...
  13. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Kazi Ridhiwani Kikwete - Ajira kwa Vijana Watanzania na Ukiritimba wa Wachina

    Mheshimiwa Waziri wa Kazi, Mh. Ridhiwani Kikwete, Najiuliza, je, tunafahamu hali halisi ya ajira kwa vijana wa Kitanzania, hasa wanapokuwa wanatumikishwa na wawekezaji kutoka nchi za nje, kama vile wachina? Hali hii imefikia hatua ya kutisha ambapo vijana wa Kitanzania wananyanyaswa na kuzidi...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Kikwete kufanya ziara ya siku tatu Mkoani Songwe

    ✅ Atakagua na Kuzindua Miradi ya Maendeleo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu -Mhe. Ridhiwani Kikwete Jana Februari 23, 2025 amewasili mkoani Songwe kwa lengo la ziara ya kukagua miradi ya Maendeleo ikiwemo ya sekta ya Elimu, Afya na Miundombinu kwa...
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pwani: Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete aboresha taarifa zake kwenye daftari la kudumu la mpiga kura

    Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe Ridhiwani Kikwete Jana amejitokeza katika Ofisi ya Kata ya Msoga kwa ajili ya kujiandikisha na kuboresha taarifa zake katika Daftari la kudumu la Mpiga kura ili...
  16. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ridhiwani Kikwete atoa aina 25 ya vifaa kwa wenye ulemavu, asema serikali inaendelea kuboresha elimu kwa makundi yote

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu na Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete amemshukuru Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassani kupitia Serikali kuendelea kuhakikisha wanatoa elimu kwa watoto wenye mahitaji maalum...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete anasema wastaafu wanapodai nyongeza ya kikokotoo, kukubaliwa ni hisani ya Rais Samia na sio haki yao? Chadema toeni msimamo!

    Nimeshangaa na kutatizwa sana na kauli ya Ridhiwani Kikwete akijibu swali la Dr. Christina Mnzava pale Bungeni, alipoulizwa kuhusu nyongeza za marekebisho ya kikokotoo kwa wastaafu, na hata kurekebishwa kwa kikokotoo kutoka fungu linalotolewa kwa sasa. Hebu angalia mwenyewe hapa chini...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Leo ndio leo! Chalinze festival funga mwaka bonanza ndani ya Chalinze, Kikwete agawa vifaa

    Rais Mstaafu wa Awamu ya 4 Dkt. Jakaya Kikwete ataongoza Bonanza kama Mgeni rasmi, Bongo Muvi ndani Mbunge wa Chalinze na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Vijana, Ajira, na Watu Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete anafunga mwaka na Bonanza kubwa la kufunga mwaka la Chalinze Festival...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Serikali kuzindua mpango kazi wa kulinda wenye ualbino

    Na Mwandishi Wetu - Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Rihiwani Kikwete amesema Serikali imekamilisha uandaaji wa mpango kazi wa Taifa wa haki na Ustawi kwa watu wenye Ualbino na Mkakati wa Kitaifa wa Teknolojia Saidizi kwa watu Wenye...
  20. Pfizer

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Ridhiwani Kikwete: Mapokezi ya Wananchi yanatoa ishara kuwa CCM itashinda kwa asilimia kubwa sana

    Ridhiwani Kikwete: Nikiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani Cde. Mwinshehe Mlao Tumenadi Wagombea wa Chama Cha Mapinduzi katika kata ya Bwilingu pamoja na kuendelea kuimarisha Chama kwa kuzindua mashina mapya Manne (4) ya wanachama wakereketwa katika kitongoji cha Bwilingu. Mapokezi ya...
Back
Top Bottom