ridhiwani kikwete

Ridhiwani Jakaya Kikwete (born 16 April 1979) is a Tanzanian lawyer and CCM politician.

View More On Wikipedia.org
  1. USSR

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete agawa pikipiki kwa watendaji na vifaa tiba jimboni kwake Chalinze

    Alhamisi jimboni Chalinze. Nimegawa pikipiki kwa watendaji wa kata 6 za Halmashauri yetu ya Chalinze, kutembelea kiwanda cha Uzalishaji wa marumaru cha Keda, na kupokea vifaa tiba kwa ajili ya Vituo vya Afya viwili Kata za Kibindu na Msata na Zahanati vijiji 11. Wakati tunakwbidhi pikipiki...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ridhiwani Kikwete agawa pikipiki 6 na kukabidhi vifaa tiba jimboni Chalinze

    MBUNGE RIDHIWANI KIKWETE AGAWA PIKIPIKI 6 NA KUKABIDHI VIFAA TIBA JIMBONI CHALINZE Alhamisi tarehe 16 Februari 2023 Mbunge wa Jimbo la Chalinze amasema; "Nimegawa Pikipiki kwa watendaji wa Kata 6 za Halmashauri yetu ya Chalinze, kutembelea kiwanda cha Uzalishaji wa Marumaru cha Keda, na...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete ni de facto Waziri wa Ardhi? Angelina Mabula de jure? Ridhiwani ajiangalie, maafisa ardhi wanatumia jina lake kumchafua

    Nampa angalizo tu, na pia nimejiuliza swali Hilo. Labda Angelina ana hofu kwamba Yuko karibu na mtoto wa the most influential person, na anaweza kumkorogea mambo wakati wowote ule. Maji yakitulia tutaona chini Kuna nini. Wanasema Kuna "amri kutoka juu" na wanamtaja yeye huku vijiweni baada ya...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani: Daraja la Wami ni alama nyingine ya uhakika wa utendaji wa Rais Samia

    Alhamisi ya wiki hii, Oktoba 27, 2022, Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete ameshiriki shughuli ya ufunguzi wa Daraja la Mto Wami ambalo liko ndani ya Jimbo lake la Chalinze. Daraja la Mto Wami limekamilika kwa 96% na...
  5. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Ridhwani Kikwete akemea vikali wauza dawa za kulevya na ataka sheria kali itungwe

    Dj walete na song letu la Iyena iyena. Kwa Mara ya kwanza namuona Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete akichangia hoja ya marekebisho ya muswada wa sheria ya Dawa za kulevya na ametaka sheria Kali zitungwe kukomesha wauza Dawa za kulevya. Ni kipi kimekushangaza? Mwanakondoo ameshinda tumfuate...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete, Nguvu unayoitumia Kutuhamasisha 'Kusensabika' ungeitumia kumwambia Rais apunguze Tozo tungekuona wa maana

    Mbona Viongozi Wenzako wengine hawana hiki Kiherehere kama ulichonacho? au huo Unaibu Uwaziri sasa Umeshauchoka na Unajipendekeza kwa Mama Ili ikimpendeza sasa akuteue Waziri Kamili kabisa? Tafadhali hebu hamishia hii Nguvu Kubwa unayoitumia kutuasa Kusensabika kwa kumwambia Rais ( Mama )...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani akagua ujenzi wa Hospitali Chalinze ambayo inazidi kumulikwa na Serikali. Wadau wamuunga mkono

    RIDHIWANI AKAGUA UJENZI WA HOSPITALI CHALINZE AMBAYO INAZIDI KUMULIKWA NA SERIKALI YA RAIS SAMIA. WADAU WAMUUNGA MKONO. Jana Jumatano Julai 28, 2022 Mbunge wa Chalinze ambae pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete amekagua maendeleo ya ujenzi wa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani: Serikali ya Rais Samia itaendelea kupima ardhi ili kupambana na migogoro ya ardhi

    RIDHIWANI: SERIKALI YA RAIS SAMIA ITAENDELEA KUPIMA ARDHI ILI KUPAMBANA NA MIGOGORO YA ARDHI. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan itaendelea kupima Ardhi kila sehemu Nchi nzima ili kupambana na migogoro ya...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani akabidhi hati nne za ardhi Kilimanjaro

    Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete (Mb), amekabidhi hati nne za milki ya ardhi kwa hospitali ya Kibong’oto mbele ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Mpango wakati wa uzinduzi wa maabara ya jamii hospitalini hapo. Mpango wa matumizi ya...
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete apongeza Serikali kwa kuwanajengea Gati za Kupokelea Boti na majahazi na kuwawezesha Wavuvi wa Pwani ya Bahari

    Naibu Waziri wa Ardhi ambaye pia ni Mbunge wa Chalinze amepongeza juhudi zinazofanywa na Serikali kuhakikishia wananchi wanaoishi katika Wilaya za Pembezoni mwa Bahari ya Hindi za kuhakikisha kuwa wanajengewa Gati za Kupokelea Boti na majahazi na kuwawezesha Wavuvi kwa kuwapatia Vifaa vya...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani: Waliotelekeza nyumba za NHC kunyang'anywa

    RIDHIWANI: WALIOTELEKEZA NYUMBA ZA NHC KUNYANG'ANYWA. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete amewataka wapangaji wa nyumba za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ambao wametekeleza nyumba hizo pamoja na kuwa wanazilipia kodi kuondolewa mara moja na...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete afungua maonyesho ya viwanda vya kuzalisha Nishati kwa kutumia Teknolojia mbalimbali

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete Jana Alhamisi Machi 24, 2022 alikuwa Mgeni rasmi kwenye Ufunguzi wa maonyesho makubwa ya Viwanda vinavyozalisha Nishati kwa kutumia Teknolojia mbalimbali. Ufunguzi wa maonyesho hayo yaliyoandaliwa na Kampuni ya Expo...
  13. Yohimbine

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete hastahili kuwa kiongozi?

    Habari za mihangaiko wanabodi. Wiki iliyopita mheshimiwa Rais alifanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri ambapo katika uteuzi huo tumeona watu mbalimbali wakitenguliwa na wengine wakipewa nafasi lakini kubwa kuliko lililozua mjadala ni swala la uteuzi wa Ridhiwani kikwete ambaye amepata...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete aishukuru Serikali ya Awamu ya 6 kwa kumwaga mabilioni Halmashauri ya Chalinze

    Mbunge wa Chalinze Mhe Ridhiwani Kikwete Aishukuru Serikali ya Awamu ya 6 Kwa Kumwaga Mabilioni Halmashauri ya Chalinze Mgawanyo wa fedha toka IMF Tshs. Trilioni 1.3. Halmashauri ya Chalinze tumepewa Tshs. Bilioni 1.6 ambazo zimepelekwa kwenye sekta ya Elimu na X-ray kwa ajili ya huduma za...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania

    MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ✓MHESH Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania Mtoto wa Kiongozi Mkubwa kisiasa aliyesoma shule za kawaida kabisa hapa nchini Tanzania akianzia Sekondari ya Shaaban Robert Dar es salaam...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan amkumbuka Ridhiwani Kikwete baada ya kusahaulika kwa kipindi kirefu

    Rais Samia Suluhu Hassan hatimaye amkumbuka Ridhiwani Kikwete, hii ikiwa ni baada ya kusahaulika kwa kipindi kirefu | Viva Tanzania Viva " Hakuna kama Samia " Hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan ametimiza ahadi yake kwa kupeleka Vifaa tiba Hospitali ya Wilaya ya Chalinze vyenye thamani ya...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete afanya ziara ya kukagua ujenzi wa Shule ya Sekondari

    "Nimefanya ziara kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Chalinze Modern Islamic. Sekondari hii ni alama ya mashirikiano baina ya Serikali na watu binafsi. Kupitia Serikali ya awamu ya Sita, mashirikiano haya yatazidi kuimarishwa kwa faida ya Taifa letu." Mbunge wa Chalinze Mkoani...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete aalikwa mkutano mkubwa wa vyama vya siasa China

    "Nimealikwa Mkutano Mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Vyama Vya Siasa nchini China @CPPCC_NUMUNxii inayoshughulikia mahusiano China-Africa kama Mwanasiasa Kijana leo. Nitawasilisha hoja ya Maendeleo ya Vijiji na Mchango wa Mahusiano ya Nchi zetu. Mkutano kwa Mtandao." #Tunajifunza #RK
  19. T

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete atoa neno kwenye mkutano wa wadau wa sekta ya mkonge

    Mbunge wa Chalinze Mkoani Pwani Mhe Ridhiwani Kikwete alihudhuria mkutano wa pili wa wadau wa sekta ya mkonge mwaka 2021 na haya ndiyo aliyoyazungumza alipopata nafasi ya kutoa neno kwenye mkutano huo. #KaziInaendelea.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete awapasua wana Yanga na Haji Manara

    Nadhani Watu wengi mmebahatika Kuisikiliza Clip inayosambaa kwa Kasi sasa Mitandaoni ya Ridhiwani Kikwete ( MB Chalinze ) hivyo nami nitaweka tu hapa Nukuu zake Tano tu zenye maana na umuhimu. "Wana Yanga SC Wenzangu yatupasa sasa Kubadilika japo wenyewe tunajiona tunapatia kumbe tunakosea...
Back
Top Bottom