reli

Reli (also spelt as Relli) are an ethnic group, who reside in Indian states of Andhra Pradesh and Odisha.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Wakati wa ujenzi wa Reli ya TAZARA (1968 – 1975) zaidi ya Wafanyakazi 160 walifariki kwa ajali na magonjwa

    Wakati wa Ujenzi wa Reli ya TAZARA zaidi ya Wafanyakazi 160 walifariki kwa ajali na magonjwa, kati yao Wachina walikuwa 64. Ujenzi ulihusisha Vibarua na Wahandisi 38,000 kutoka Tanzania na Zambia, pia timu ya Wataalam na Wahandisi 13,500 kutoka China. Reli hiyo iliyojengwa kati ya Mwaka 1968...
  2. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Madhumuni ya Rais yalikuwa kuifanya bandari ya DSM kuwa ya Mwendo kasi ya kisasa kama SGR. Watekelezaji wamechemsha kwa kuanza na International Treaty

    1. Madhumuni (vision) na malengo (objectives) mazuri ya Rais wetu, ambayo aliyatangaza wazi hadharani, yalikuwa ni kuifanya bandari ya DSM kuwa ya kiwango cha mwendo kasi, cha kisasa na cha viwango vya kimataifa (international standards) kama zilivyo bandari hususani zile za Singapore na Taiwan...
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Suala Bandari tunataka uzalendo wa kitaifa siyo Uislamu na Ukristo

    Kuna watu wanataka kugeuza issue ya Bandari zetu kuwa ya dini... Kusema kwamba watu hawataki DP world kisa ni waislamu ni upotoshaji mchana kweupe..and cheap politics ujinga na kukosa hoja. Sisi hatutaki mwekezaji tumkabidhi rasilimali zenu Kwa upendeleo wowote ule. Eti kisa Raisi ni muislamu...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Reli ya DAR (Treni ya Mwakyembe) kubinafsishwa rasmi

    Serikali imesema Reli ya Dar es Salaam (Dar -Commuter Rail) maarufu kama treni ya Mwakyembe ni moja ya miradi inayokusudiwa kuendeshwa na sekta binafsi ikiwa ni utaratibu wa kutekeleza Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/26. Waziri wa Fedha na Mipango Dk Mwigulu...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Safari za Reli ya SGR Dar Moro zanukia Kuanza Julai 2023

    NAIBU WAZIRI ATUPELE MWAKIBETE ASEMA SAFARI ZA DAR - MORO KUPITIA RELI YA SGR KUANZA JULAI, 2023 Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imepokea mabehewa sita ya reli ya kisasa ya (SGR) ambayo yamewasili kutoka nchini Ujerumani tayari kwa kuanza majaribio mwezi ujao. Naibu Waziri Mhe...
  6. M

    JamiiForums Tanzania DP World na Bandari imeshatutoa katika Reli juu ya Tuhuma Kuu nyinginezo za Wizara ya Nishati

    Kama kuna Watu nawapenda basi ni Watanzania kwani ni wepeei kuhamishwa Fikra na Mitazamo huku wakiridhishwa na Asali ya Timu zao Kubwa za Simba na Yanga kwa Kusaidiwa na Rais na Serikali.
  7. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Baada ya Bandari, namshauri Rais tubinafsishe Shirika la Reli

    Kiukweli mie ni mmoja wa waliofurahishwa na mchakato wa kubinafsishwa bandari ya Dar es salaam. Wadau sote tunajua kuna uvujaji mkubwa wa mapato pale port unaotokana na urasimu, ucheleweshaji mizigo, rushwa, Wizi, ukwepaji kodi na hivyo serikali kuambuliakidogo huku kipato kikubwa kiki toroshwa...
  8. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Behewa za kisasa za reli ya SGR zimewasili

    Ni behewa za kisasa na zenye mwonekano wa kupendeza zinazotarajiwa kuanza kubeba abiria mapema mwezi ujao kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro. Ni ndoto iliyootwa na ndugu hayati Magufuli na sasa rasmi inaenda kuanza kutimilika hivi karibuni. Hongera hayati Magufuli na hongera Rais Samia...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Hakuna Hasara Ujenzi wa Reli ya SGR Tabora - Kigoma

    MHE. ATUPELE MWAKIBETE: HAKUNA HASARA UJENZI WA RELI SGR TABORA - KIGOMA SERIKALI kupitia Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Fred Mwakibete imefafanua kuwa hakuna hasara yoyote iliyosababishwa na ununuzi wa mkandarasi wa ujenzi wa njia ya reli ya Tabora-Kigoma, kwa kuwa ulifuata taratibu...
  10. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Serikali fikirini kimkakati kuhusu reli ya Dar es salaam - Moshi-Arusha

    Habari wana jf. Leo napenda kuwasilisha wazo la kimkakati linaloweza kuharakisha maendeleo ukihusisha miundo mbinu ya reli hasa Kanda ya kaskazini. Ili kuboresha biashara hasa na washirika wetu wa Afrika Mashariki tunatakiwa kuwa na reli ya SGR ukanda huu. Arusha na Moshi ni eneo la karibu...
  11. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Hivi kokoto zinafanya kazi gani kwenye reli?

    Wanajamii naombeni mnijuze kazi ya kokote kwenye reli, najiuliza sipati jibu
  12. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Reli ya Dar - Ruvuma unaopangwa utafaa sana. Uanze mapema

    Nimesoma kwenye Ripoti ya Ukaguzi ya CAG Kichere. EXTRACT YA RIPOTI INASEMA "Kampuni ya Reli Tanzania (TRC) kama wakala wa utekelezaji wa mradi, iliingia makubaliano na mkandarasi mshauri kwa mkataba Na. PA/003/2013-13/C/15 kwa ajili ya upembuzi yakinifu na muundo wa awali wa ujenzi wa reli...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya ufisadi kubainika, bodi shirika la reli yavunjwa na mtendaji mkuu wa wakala za ndege za serikali atenguliwa.

  14. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Jarida la reli na matukio toleo la 27

    UNAWEZA KUSOMA AU KUPAKUA KUPITIA KIUNGO HIKI https://www.trc.co.tz/publications/13
  15. S

    JamiiForums Tanzania Bosi wa Reli, ATCL na TANESCO mnasubiri nini ofisini?

    Ripoti za CAG na TAKUKURU zilizowasilishwa mbele ya Rais Mapema leo Machi 29, 2023 zimeonyesha ufisadi mkubwa katika Mashirika Makubwa ya TRC, ATCL na TANESCO, Mhe Rais amesema waondoke swali je mnasubiri nini? ATCL “Kuna mradi hapa tumetengeneza Ndege ya mizigo ambayo tunakaribia kuipokea...
  16. benzemah

    JamiiForums Tanzania Bilioni 44.8 kujenga chuo cha kimataifa cha reli mkoani Tabora

    Serikali ya Tanzania imesema imetenga Shilingi Bilion 44.8, kwa ajili ya kuanza Ujenzi Chuo kikubwa cha Reli mkoani Tabora chenye kiwango cha Kimataifa kwa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR), Kupitia kipande cha Tabora-Isaka. Taarifa hiyo imetolewa mbele ya Kamati ya kudumu ya Bunge na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Sheria Mpya ya Reli inakuja

    Kuna mchakato umeanza wa kutunga sheria mpya ya reli/au kuhuisha iliyopo ili "kuendana na wakati".... Kwa kiasi kukubwa huenda lengo la sheria hii ni kuwezesha "wawekezaji" kujinufaisha na SGR. Je, kama taifa, tuko tayari kwa sasa kuruhusu watu binafsi kumiliki treni ambazo zitatumia reli ya...
  18. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushahidi: usione wembamba wa reli, gari moshi hupita! Mwanamke hata awe mfupi kapewa uwezo mkubwa wa kuyamudu.

    Atakumudu vema tu,
  19. saidoo25

    JamiiForums Tanzania John Heche usiwaondoe watanzania kwenye reli

    John Heche ni moja ya wanasiasa wanaoheshimika sana kwa misimamo yake na kupenda kusema ukweli hilo halina ubishi, kwa sasa wananchi wanayo maeneo wanayolalamikia sana ambayo wanahitaji sauti za pamoja ili kuyatatua. Suala la Umeme linavyoathiri biashara za wananchi, ufisadi ulioibuliwa bungeni...
  20. Mwenda_Pole

    JamiiForums Tanzania Waturuki hawazidi 200 wanatujengea reli wa TZ Milioni 64

    Heshima mbele wakuu, Mimi ninaishi Dodoma eneo linaitwa Ntyuka, hivyo basi kila siku ninavyokwenda kazini ninavuka hii reli inayojengwa (mradi wa SGR). Hii inanipa fursa ya kuona maendeleo ya ujenzi siku baada ya siku. Kwa kipindi hiki kifupi nime observe au kujifunza haya yafuatayo; 1. Hawa...
Back
Top Bottom