reli

Reli (also spelt as Relli) are an ethnic group, who reside in Indian states of Andhra Pradesh and Odisha.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Reli ya SGR ya Kenya yaongeza kasi ya usafirishaji wa mizigo mingi na kuchochea ukuaji

    Huduma ya Mizigo ya Reli ya SGR kati ya Mombasa na Nairobi imetoa urahisi wa usafirishaji wa mizigo mingi inayokwenda katika nchi zisizo na bahari tangu kuzinduliwa kwake Januari 2018. Edward Opiyo, Meneja kituo katika Vituo vya reli ya Mizigo mjini Nairobi ambayo ni kampuni binafsi...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Fursa Congo: Sasa tuboreshe Tazara kuwa SGR, njia nne Mbeya -Songwe na tujenge Barabara na reli ya Kisasa hadi bandari ya Kalemi, Katavi

    Baada ya DRC kuingia rasmi EAC , mataifa makubwa katika Jumuiya hii Uganda Kenya na Tanzania,yanaendelea kupambana kukamata fursa ili kushika soko la nchi hii yenye watu zaidi ya Milioni 100 Wakati Uganda akijenga Barabara kuingia majimbo ya kaskazini mwa Congo, Kenya anafungua Ofisi Mombasa...
  3. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Jarida la Reli na matukio toleo la 20

    Unaweza kusoma au kupakua Jarida la Reli na Matukio toleo la 20 lililosheheni Matukio, Habari, Makala, Taarifa za Miradi na Huduma za TRC kupitia kiungo hiki https://trc.co.tz/publications/13
  4. Magazetini

    JamiiForums Tanzania Gwajima: Taifa tumekosa maono, inakuwaje kujenga reli kabla ya kuchimba chuma? Waziri Mwigulu ampinga

    Mbunge wa Kawe akiwa bungeni, Joseph Gwajima amesema kwa miaka mitano Taifa limelipa fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 2.2 kununua chuma, Gwajima amesema kwa mtu yoyote mwenye akili na anajua kuzitumia jambo hili hawezi kuruhusu kufanyika. Gwajima amesema nchi imeanza na reli ambayo...
  5. LUKAMA

    JamiiForums Tanzania Vita vya Ukraine: Urusi yaharibu miundombinu ya reli kuzuia silaha za kigeni kuingia Ukraine

    Urusi iligonga miundombinu ya reli kote Ukraine siku ya Jumatatu kwa lengo la kuzuia usambazaji wa silaha za kigeni, huku Marekani ikitangaza kuwa itatoa silaha zaidi licha ya pingamizi la Moscow. Takriban watu watano waliuawa na 18 kujeruhiwa katika mashambulizi ya Urusi katika eneo la...
  6. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Majaribio ya Mifumo ya Umeme Katika Reli ya Kisasa (SGR) Dar es Salaam - Morogoro MOROGORO

  7. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hadi leo najiuliza, ilikuwaje tukajenga SGR kwenda Burundi na kuacha kuboresha TAZARA kuwa SGR ambapo tungefika Congo kirahisi sana

    Siku Saba zilizopita shirika la habari la Ujerumani DW wametoa makala nzuri sana kuelezea upekee wa Reli ya Tazara inayotoka Tanzania hadi Ndola nchini Zambia. Wameelezea upekee wa reli hii na namna inavyopita kwenye mbuga maarufu za Selous na Mikumi na inavyopita mwenye milima ya Iringa hadi...
  8. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Abiria wakwama Kilosa, Morogoro, ni baada ya reli na daraja kusombwa na maji

    Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Morogoro zimesababisha madhara kwa kuharibu miundombinu ya reli ya kati na barabara ambapo daraja la Kidete Wilaya ya Kilosa limekatika na kusababisha treni kusimamisha safari zake. Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Majid Mwanga amefika eneo la tukio na...
  9. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Jarida la reli na matukio toleo maalumu la mwaka 2021

  10. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Burundi kujenga reli ya thamani ya $900m

    Burundi na Tanzania zimetia saini mkataba wa $900m kujenga njia ya reli itakayounganisha nchi hizo mbili jirani, tovuti ya Citizen imeripoti. Reli ya 282km ya standard gauge itaanzia Uvinza mkoani Kigoma nchini Tanzania hadi Gitega, mji mkuu wa kisiasa wa Burundi, ripoti ilisema. Waziri wa...
  11. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania China yaanza kujadali mikakati ya reli ya SGR kuunga hadi Rwanda, DRC, Uganda na Sudan Kusini

    Mataifa yote hayo kuunga kwenye reli moja kutokea Mombasa, mazungumzo yameanza na mikakati kupangwa...... Nairobi. China is proposing a grand infrastructure plan for the Horn of Africa that would involve expanding the two major railroads and developing ports on the Red Sea and the Indian Ocean...
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Reli ya SGR uishie Tabora

    Hela hatuna, tusikope sana ili kupunguza kutumia na madeni. Tabora ni karibu sana na Burundi, Rwanda, DRC, Mwanza na Uganda. Tujenge bandari kavu kuubwa pale Tabora ili watu wa Mwanza, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Kigoma wachukulie Tabora mizigo yao itakayoletwa na SGR hapo. Tukipata faida...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa reli umekuwa alama ya ushirikiano mzuri kati ya China na Afrika

    Katika miongo kadhaa iliyopita, ujenzi wa reli umekuwa sehemu muhimu ya ushirikiano wa kirafiki kati ya China na Afrika. Kuanzia Reli maarufu ya TAZARA iliyojengwa zaidi ya miaka 50 iliyopita hadi Reli ya SGR ya Kenya, Reli inayounganisha Addis Ababa na Djibouti, na Reli ya Abuja–Kaduna ambazo...
  14. Bemendazole

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde PPRA, waruhusuni TRC kuchagua mkandarasi wa kujenga reli kwa mfumo wa single source for a National interest

    Nimeona kwenye magazeti juu ya mvutano wa PPRA na TRC kuhusu mfumo wa kuchagua mkandarasi wa kujenga reli. Nawaomba PPRA waangalie jambo hili kwa maslahi mapana ya taifa ili kuwawezesha TRC kupata mkandarasi atakaye weza kujenga reli at EUROPEAN standards. Mkiruhusu international competitive...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Wananchi hatutaki madalali wa kisiasa kuingilia ujenzi wa reli ya SGR, tunataka plan ya Hayati Magufuli iheshimiwe kwenye SGR

    Sikukubaliana na JPM kwenye mambo mengi ikiwemo Udikteta, Uonevu na Mradi wa Ndege Lakini namuunga mkono sana kwenye mradi wa Stieglers na SGR Kwa hiyo Mheshimiwa Rais Taarifa hii ya Gazeti la Jamhuri imetushtua sana wanananchi, na hivyo tunasema hivi hatutaki Madalali wa Kichina kwenye...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Nakuomba Waziri Mbarawa ukajionee wizi na uozo unaolitafuna Shirika la Reli ya Kati kipande cha Tabora - Mpanda

    Ni jumapili iliyopita nilipojaribu kusafiri Kutoka kijijini Ukumbi kakoko kilichopo mpakani mwa mikoa ya Katavi na Tabora kuelekea Tabora mjini, ambapo kwa bahati mbaya siku hiyo treni ilichelewa kupita hivyo nikalazimika kusafiri kesho yake yaani jumatatu. Nilichokishuhudia kwenye hii...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Visa vya Uchawi na Ushirikina Mkoani Kigoma Mwisho wa Reli

    Kigoma Visa vya Uchawi na Ushirikina. Kigoma ni moja ya Mikoa ambayo inasifika kwa Uchawi nchini Tanzania. Huu mkoa kiasili una watu wachapa kazi sana. Si wazembe ukilinganisha na mikoa mingine yenye ushirikina kama Tanga,Pwani au Zanzibar. Kigoma maeneo ambayo yanasifika sana kwa Uchawi ni...
  18. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa Mwanza - Isaka waanza kwa kasi

    Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa Mwanza - Isaka waanza kwa kasi Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Elsewedy ipo katika mazungumzo kuwekeza katika reli na kiwanda cha mbolea

    ..nisiongeze wala kupunguza maneno. ..kampuni ya Elsewedy ya Misri kuwekeza ktk miradi mbalimbali mikubwa hapa Tz. https://www.elsewedyelectric.com/en/about-us/our-journey/ https://www.youtube.com/results?search_query=waziri+mwambe+afunguka+ujenzi
Back
Top Bottom