reli

Reli (also spelt as Relli) are an ethnic group, who reside in Indian states of Andhra Pradesh and Odisha.

View More On Wikipedia.org
  1. saidoo25

    JamiiForums Tanzania John Heche usiwaondoe watanzania kwenye reli

    John Heche ni moja ya wanasiasa wanaoheshimika sana kwa misimamo yake na kupenda kusema ukweli hilo halina ubishi, kwa sasa wananchi wanayo maeneo wanayolalamikia sana ambayo wanahitaji sauti za pamoja ili kuyatatua. Suala la Umeme linavyoathiri biashara za wananchi, ufisadi ulioibuliwa bungeni...
  2. Mwenda_Pole

    JamiiForums Tanzania Waturuki hawazidi 200 wanatujengea reli wa TZ Milioni 64

    Heshima mbele wakuu, Mimi ninaishi Dodoma eneo linaitwa Ntyuka, hivyo basi kila siku ninavyokwenda kazini ninavuka hii reli inayojengwa (mradi wa SGR). Hii inanipa fursa ya kuona maendeleo ya ujenzi siku baada ya siku. Kwa kipindi hiki kifupi nime observe au kujifunza haya yafuatayo; 1. Hawa...
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kitu gani huwa kinaishikilia reli ardhini?

    Eti wakuu sana. Ni kitu gani kinaishikilia reli ya treni ardhini?
  4. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Je, ni nani huyu mwekezaji wa kutujengea reli kipande Cha Uvinza-Gitega?

    Kwanza kabisa siungi mkono utaratibu wa kukatana kwa kusafirisha mzigo ni utaratibu mgumu sana. Huu ni mkopo pia lakini usioeleweka kabisa, maana marejesho ni kukatana kwenye mizigo utafikiria biashara ya michele kule Mbeya. Bora serikali ichukue mkopo kutoka kwake wawe na time frame ya kulipa...
  5. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kutujengea reli halafu tukatane kwenye mizigo anayosafirisha, sio utapeli wa Kimataifa?

    Kuna harufu ya UTAPELI wa kimataifa, Habari SERIKALI kuchukua mkopo kienyeji kienyeji na kisha kukatana kwenye usafirishaji imetoka wapi ?? Utaratibu wa wauza mazao wakileta mizigo kwa mafuso ndio serikali inataka kutumia kwenye SGR na treni zetu mpya ambazo zote ni za mkopo. Awepo mwamba...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Bado sijaelewa jambo moja: Hivi tunataka kuendesha SGR sambamba na reli ya zamani?

    Kuna kila dalili kwamba SGR itakapokamilika bado tutakuwa na reli ya zamani ikitoa huduma. Hapo mwanzo nilifikiri kwamba reli ya zamani itaendelea kutoa huduma kwa matawi ya Tabora - Mpanda, na labda Dar -es Salaam kwenda Tanga, Moshi na Arusha, ambako sijasikia lolote juu ya kuwepo kwa SGR...
  7. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Duniani kote usafiri wa reli ndiyo rahisi kuliko wote. SGR tulitegemea kuwa kiama cha usafiri wa mabasi na malori, imeshindikana

    Duniani kote usafiri wa reli ndiyo usafiri wa bei rahisi sana kuliko usafiri mwingine wowote. Malengo makuu ya kuboresha usafiri huu kwa kiwango cha SGR yalikuwa: ~Trip moja ya treni ya mizigo ingaliweza kusafirisha mzigo wa sawa na semi-trailers za malori 500 kwa mara moja, kwa spidi ya 120...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi: Mabehewa yaliyokuja siyo ya SGR ni ya MGR

    Behewa ni 22 zilizokuja kwa reli ya Kati MGR na si miongoni mwa behewa za @SGR_tz. Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Nigeria yarejesha huduma za usafiri kwa Reli ya Abuja-Kaduna

    Nigeria jana Jumatatu ilirejesha huduma ya usafiri wa treni kati ya mji mkuu Abuja na mji wa kaskazini wa Kaduna, miezi minane baada ya kusitishwa kufuatia moja ya mashambulizi makubwa zaidi kutokea nchini humo. Machi 28, watu wenye silaha walitumia vilipuzi kulipua reli na kushambulia kwa...
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hongera TRL kwa Mabehewa Mapya. SGR ni Reli Mpya ya Kisasa; Je, Mabehewa Haya ni Mapya ya Kisasa? Hakuna Ubaya Kutumia Mitumba, Ila Tuambiwe Ukweli!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Hili ni maslahi ya taifa ya pongezi kwa TRC nimeona mzigo wa mabehewa mapya ya kisasa ya reli ya kisasa ya SGR ukipokelewa bandarini, DSM, hivyo hatua ya kwanza ni kutoa pongezi kwa TRL kwa kazi...
  11. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hongera Wizara ya Ujenzi! Sasa twende na reli za mijini kwa kutumia sekta binafsi

    Moja ya sababu zilizofanya Tanzania kuwa nyuma kimaendeleo ni suala la sera zetu kuegemea ujamaa yaani kila kitu kufanywa na serikali jambo ambalo limekuwa likifanya tuchelewe sana kupata maendeleo. Jitihada kadhaa zimekuwa zikifanywa kuondokana na haya ila bahati mbaya zimekuwa zikikosa...
  12. Msanii

    JamiiForums Tanzania Ajali ya ndege: serikali isitutoe nje ya reli

    Tarehe 06 Novemba 2022 Tanzania iliingia tena kwenye majonzi na simanzi kubwa baada ya ndege ya Precission kuanguka ziwani ilipokuwa inataka kutua uwanja wa Bukoba. Tumepoteza Watu 19 huku kukiwa na sintofahamu kubwa ya namna serikali ilivyoshiriki kuokoa wahanga. Ajali hiyo imemuibua raia...
  13. Sozo_

    JamiiForums Tanzania Aliyetuloga Watanzania ni nani?

    Kitu kinatunyima fursa ya kufika mahali ni kupenda umbea hasa linapozushwa jambo la mahusiano. Mjadala wa Katibu na Masanja umetuhamisha na mitandao imetawala taarifa ambayo haijulikani ni kweli au ni kitu cha kutengeneza. Watanzania warahisi sana kuwahamisha kwenye Reli hasa ukileta mambo ya...
  14. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Faida za uboreshaji wa reli ya TAZARA

    Baada ya ziara ya Rais wa Zambia nchini Tanzania, Rais Haikinde Hichilema pamoja na Rais Samia Suluhu wamekubaliana kuboresha reli ya TAZARA yenye miaka 46 tangu kujengwa kwake. Zifuatazo ni faida za maboresho ya reli hiyo: Kupunguza gharama za kufanya biashara Kuvuta wafanyabiashara wengi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila chapa kazi usitolewe kwenye reli na wapigaji

    Kwa muda mfupi ambacho Kafulila ameongoza Mkoa wa Simiyu tumeshuhudia mageuzi makubwa ikiwemo kumtaka Mkandarasi aliyejenga barabara ya Maswa- Mwigumbi chini ya kiwango kuirudia kwa gharama zake jambo ambalo watangulizi wake hawakuliona kama ni tatizo. Kafulila amesimamia nidhamu ya ukusanyaji...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Reli kati ya Hotan na Ruoqiang nchini China yafunguliwa jana, ambayo ni reli ya kwanza ya mzunguko jangwani duniani

    Reli kati ya Hotan na Ruoqiang nchini China ambayo ni reli ya kwanza ya mzunguko jangwani ilianza kutumika rasmi jana.. Reli hiyo iko kwenye ukingo wa kusini wa Jangwa la Taklimakan, ambalo ni jangwa la pili kwa ukubwa duniani linalotembea, ikianzia mji wa Hotan upande wa magharibi hadi wilaya...
  17. mwandorobo

    JamiiForums Tanzania Gari kuzima relini

    Naomba kujuzwa Je, ni nini kinasababisha gari kukwama wakati wa kuvuka reli pindi treni inapokaribia?
  18. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania Miradi ya kimkakati Tanzania yawa chachu kwa vijana kuchangamkia kozi zote zinazohusu Reli, Meli na Anga zinazotolewa NIT

    Dhamira njema iliyooneshwa na serikali katika kukazania kujenga miradi ya kimkakati imetoa hamasa kwa Watanzania wengi kuchangamkia fursa ya kusoma kozi za huduma za usafiri wa reli, meli, bandari na anga katika chuo cha usafirishaji tanzania (NIT) Kwa Mujibu wa Mkuu wa Chuo amesema awali...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa barabara na reli viende sambamba na uchumi wa maeneo

    Kama barabara hizi hazitatumika kusafirisha mazao, mifugo na bidhaa kwenda na kutoka zinakopita zitatumiwa na wananchi kusafirisha vyuma vya madaraja na alama za barabarani vya barabara hizo vilivyokatwa na kung'olewa na wananchi kwenda kuuza na kujipatia fedha ya kujikimu. Tunapomimina hela za...
  20. Enkaly

    JamiiForums Tanzania Shirika la Reli (TRC) lifumuliwe

    Shirika la Reli kwa kweli ambalo ni shirika mama kwenye sekta ya usafirishaji linatia aibu. Shirika lina MATITI kila kona, getini na ndani ya train lakini cha kushangaza uendeshaji wake hauridhishi hata kidogo. Viongozi wapo, wabunge wapo, mawaziri wapo hawayaoni haya? Wanafanyaga ziara za...
Back
Top Bottom