Takwimu zilizotolewa na Mamlaka ya Filamu ya China zinaonesha kuwa hadi kufikia Februari 3, mauzo ya tiketi za filamu katika kipindi cha sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China wa 2025 yamefikia yuan bilioni 8.02 na kuweka rekodi mpya ya kihistoria.
Kwa mujibu wa takwimu hizo, filamu ya katuni...
Je! Unajua kuwa Misri ni moja ya majeshi 15 yenye nguvu zaidi ulimwenguni? Jeshi la Misri ni kubwa Mara 3-4 kuliko jeshi la Afrika Kusini 🇿🇦.
1. Misri 🇪🇬
2. Algeria 🇩🇿
3. Nigeria 🇳🇬
4. Afrika Kusini 🇿🇦
5. Ethiopia 🇪🇹
6. Angola 🇦🇴
7. Moroko 🇲🇦
8. DR Congo 🇨🇩
9. Sudan 🇸🇩
10. Libya 🇱🇾
11.Tunisia...
Dar es Salaam, 01 Januari, 2025:
Kwa niaba ya Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inautaarifu umma kuwa, katika kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2024/25 (Oktoba – Desemba 2024) imefanikiwa kukusanya kiasi cha Shilingi Trilioni 8.741, sawa na ufanisi...
Mwanariadha wa Jeshi la Polisi, Konstebo Transfora Mussa ameibuka mshindi wa kwanza kwa upande wa Wanawake kupitia mbio za kilometa 10 katika mbio za Fulham 10k zilizofanyika Nchini Uingereza Novemba 17, 2024 huku akifanikiwa kuvunja rekodi iliyokuwa inashikiliwa kwa kukimbia muda mfupi zaidi...
Ulimwengu kumshuhudia mtawala wa kwanza wa kike wa Taifa lenye nguvu zaidi duniani ( Kamala Haris) Hii wakulungwa wameikataa
Au
Mbishi asiekata tamaa na kurudi ikulu baada ya kupoteza uchaguzi uliopita (Donald Trump)
Akishinda huu uchaguzi tena atakuwa ameweka rekodi 2 za kipekee,
1. Kuwazuia...
Kwa jinsi wachuganistan walivyojiandaa na Land Rover Festival, na jinsi Media zilivyosapoti tukio hili zito, ni jambo la kushangaza kwamba Guiness World Records wameshindwa kutambua rekodi hii iliyovunjwa na watu wa Arusha, ya msafara wa magari zaidi ya 1000. Mpaka hivi sasa hawajazungumza...
Vita kati ya Uingereza na Zanzibar ya Sultan mwaka 1896 ndio vita fupi zaidi katika historia ya dunia, vilidumu kwa dakika 38 tu. Vita yenyewe ilipiganwa tarehe 27 August kuanzia saa tatu na dakika mbili mpaka saa tatu na dakika arobaini ikawa imeisha.
Raia wa Burkina Faso, Iron Biby, majina halisi, Cheick Ahmed al-Hassan Sanou aweka rekodi ya mtu mwenye nguvu zaidi duniani 2024.
Hii ni baada ya Iron Biby kubeba chuma kilo 231 na kuvunja rekodi ya dunia wakati wa mashindano ya Dunia ya kuinua Magogo 2024 (WLLC)yaliyofanyika Birmingham...
Umuhimu wa Mtu ni pale akiwa hayupo,
Tunamshukuru sana Rais Jakaya Kikwete Kwa kuitumikia nchi hii Kwa moyo mmoja,
Ukweli ni kwamba kipindi chake ilikuepo mazungumzo ya mara Kwa mara na wapinzani waliingia ikulu kutoa mawazo yao kila wakati mambo yakiwa magumu,
Katika hayo tunampongeza sana...
Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza wa kiume katika historia kufunga magoli 900 kwenye mechi rasmi. Amefikia rekodi hii ya kihistoria katika mechi ya UEFA Nations League kati ya Ureno na Croatia iliyochezwa Lisbon Alhamisi hii.
Soma Pia: Lionel Messi aipiku rekodi ya Ronaldo kwa...
The Egyptian King 👑 🔥
Mohamed Salah amehusika kwenye magoli (17) dhidi ya Manchester United, kuliko mchezaji yoyote katika historia 💥
➜ 11 - Magoli aliyowafunga.
➜ 06 - Assists alizotoa.
Full - Man United 0 - 3 Liverpool
⚽️ Luis Diaz ›› 🅰️ Salah — 35'
⚽ Luis Diaz ›› 🅰️ Salah — 42’
⚽️...
Embu tuweke kwanza pembeni rekodi za Simba za hivi karibuni, hivi kuna timu nchi hii ina historia ya kufunga magoli mengi mashindano ya Africa kama Pamba FC?
Unakuwaje na kikosi kama ulichonacho ukijipa matumaini ya kutwaa ubingwa wa Afrika msimu huu, unacheza na timu ambayo hadi msemaji wake...
Vita inapotokea ratio ya wastani huwa ni raia 90 watafariki kwa kila mwanajeshi 10 wataouwawa vitani.
Israel imeshangaza ulimwengu wa vita kwa kuweza kuwa na ratio ndogo sana
Kufikia mwezi uliopita Wizara ya Afya ya Gaza imerekodi vifo elf 25 vilivyohakikishwa, Hamas wanasema kuna jumla ya...
Trump aliwahi kufungiwa kwenye mtandao wa X kipindi ukiwa unaitwa Twitter, Akaanizisha platform yake inayoitwa Truth kwasababu kwa kipindi hicho mtandao wa Twitter ulianza kuegemea zaidi maono ya Democrats, Hivyp watu wengi wenye sera za Republicans walipigwa BAN akiwemo Trump.
Baada ya Elon...
Emmanuel Wanyonyi (20) ameshinda medali ya dhahabu katika mbio za mita 800 kwenye Olimpiki za Paris Agosti 10, 2024. Inadaiwa ndio Mshindi mwenye umri mdogo zaidi kushinda katika mbio za mita 800 akiwa mwanariadha wa tatu mwenye kasi zaidi duniani.
Wanyonyi alikimbia kwa muda wa 1:41.19 na...
Waziri Mkuu wa kwanza kuwa Rais.
Waziri Mkuu wa kwanza kuwa Makamu wa Rais.
Mwanamke wa kwanza kuwa Waziri Mkuu.
Mwanamke wa kwanza kuwa Jaji Mkuu.
Mwanamke wa kwanza kuwa Mkuu wa Majeshi.
Mwanamke wa kwanza kuwa Mkuu wa Polisi (IGP).
Mwanamke wa kwanza kuwa mkuu wa Magereza.
Mwanamke wa...
Wafanyabiashara na wenye viwanda wanapaswa kulipa kodi stahili kwa uhai wa Taifa letu.
Kodi zinazolipwa zinapaswa kutumika vema,Kulindwa na kusimamiwa vema na si kufujwa.
Mchakato wa kukusanya kodi stahili unapaswa kufanyika kwa kuzingatia uhalisia wa kibiashara na kulinda mazingira bora ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.