Rekodi 3 zilzovunjika jumla TZ.

Rekodi 3 zilzovunjika jumla TZ.

mtu-roho

Member
Joined
Jun 16, 2026
Posts
14
Reaction score
18
1. Mtoto wa Raisi

Kuna tofauti kubwa sana ya kuoa mtoto wa Rais na mtoto ambaye mzazi wake amekuja kuwa Rais mbeleni (ni watu 2 tofauti)

2. Nchi tofauti.
Tofauti za kitamaduni,kimazingira na kimalezi.
Ni ngumu sana "Wazee wa kimila" kukupitisha kwenye "chujio la jadi" lakini jamaa amepenya.

3.Bilioni 7 Kwa mahali tu,vipi kuhusu matumizi ya kila siku ?

NB
Jamaa kutoka familia isiyo na mizizi ya kisiasa Tz nasema ameliwakilisha vyema TAIFA LA TANZANIA maana wanafiki hawakosekanagi 😂😁🤣 !!!
 
Msukuma toka katoro aliye singo nimebaki mimi, kama kuna mtoto mkali kwa Museven, Kagame, mlango uko wazi. Akikosekana huko hata kwa mh Samia, Kikwete, Mwigulu, Nchimbi naomba koneksheni.
 
1. Mtoto wa Raisi

Kuna tofauti kubwa sana ya kuoa mtoto wa Rais na mtoto ambaye mzazi wake amekuja kuwa Rais mbeleni (ni watu 2 tofauti)

2. Nchi tofauti.
Tofauti za kitamaduni,kimazingira na kimalezi.
Ni ngumu sana "Wazee wa kimila" kukupitisha kwenye "chujio la jadi" lakini jamaa amepenya.

3.Bilioni 7 Kwa mahali tu,vipi kuhusu matumizi ya kila siku ?

NB
Jamaa kutoka familia isiyo na mizizi ya kisiasa Tz nasema ameliwakilisha vyema TAIFA LA TANZANIA maana wanafiki hawakosekanagi 😂😁🤣 !!!
Uzi wako mbona unaelea?Unahusu nini na muhusika rasmi ni nani?
 
1. Mtoto wa Raisi

Kuna tofauti kubwa sana ya kuoa mtoto wa Rais na mtoto ambaye mzazi wake amekuja kuwa Rais mbeleni (ni watu 2 tofauti)

2. Nchi tofauti.
Tofauti za kitamaduni,kimazingira na kimalezi.
Ni ngumu sana "Wazee wa kimila" kukupitisha kwenye "chujio la jadi" lakini jamaa amepenya.

3.Bilioni 7 Kwa mahali tu,vipi kuhusu matumizi ya kila siku ?

NB
Jamaa kutoka familia isiyo na mizizi ya kisiasa Tz nasema ameliwakilisha vyema TAIFA LA TANZANIA maana wanafiki hawakosekanagi 😂😁🤣 !!!
Ipo nyingine nayo ni Ile ya kulenga shabaha vichwa vya Watanzania Oct 29 na baada.
 
Back
Top Bottom