rc chalamila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila amtaka mkandarasi Barabara ya Ubungo - Kimara kuongeza kasi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar ea Salaam, Albert Chalamila amemtaka mkandarasi anaefanya upanuzi wa barabara ya Morogoro kuanzia eneo la ubungo mataa hadi kimara kuongeza kasi ya ujenzi wa barabara hiyo ili kupunguza adha ya msongamano wa magari kwa wananchi RC Chalamila ameyasema hayo Aprili 10,2025...
  2. Pfizer

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Chalamila: Wananchi acheni kulalamika, kuna fursa nyingi kuelekea AFCON 2027 Tanzania

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila , amesema kuna mabadiliko ya maendeleo makubwa sana Dar Es salaam ya Miundombinu kulinganisha na Mikoa mingine. Hivyo kawataka Wafanye kazi kuliko kulalamika tuu. Ameyasema hayo leo tarehe 10 Aprili 2025 katika Uwanja wa TP uliopo Sinza wakati...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Kila wakitaka kuniroga nilikuwa nasema 'Allahu Akbar'

    Mkuu wa Mkoa wa Dar se Salaam, Albert Chalamila akishiriki Baraza la Eid El-Fitri ukumbi wa JNICC Dar es salaam, leo tarehe 31 Machi, 2025, ameeleza kuwa siku zote 29 hakuweka kando Tasbir na kila wakitaka kumroga alikua anasema 'Allahu Akbar'
  4. M

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila kaonewa bure ruhusa ya magari binafsi kutumia barabara ya mwendokasi, Mchengerwa angepambana na Bashungwa

    Wakuu, siku ya jana Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa alimtolea povu Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam kuwa hana mamlaka ya kutoa ruhusa ya magari kutumia njia ya mwendokasi. Ilikuwa kama udhalilishaji fulani njia aliyotumia waziri huyo kufikisha ujumbe. Soma karipio la Mchegerwa Mchengerwa...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchengerwa achukizwa na maamuzi ya RC Chalamila, ahoji ametoa wapi mamlaka?

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ametengua ruhusa iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, kuruhusu magari binafsi kupita kwenye barabara za mabasi yaendayo haraka (mwendokasi). Video: Habari Digital
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Chalamila: Simameni imara kumwombea Rais wetu, huwa inaniuma sana viongozi wa dini kusemana

    RC Chalamila akiongea katika Kongamano la maombi ya kuliombea Taifa pamoja na kumuombea Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan linalofanyika katika viwanja vya leaders Jijini Dar es salaam usiku huu.
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Dickson Matata: Kauli za RC Chalamila ni zao la uongozi mbovu

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Magharibi, Wakili Dickson Matata amesema kuwa viongozi wa nchi ya Tanzania wamekuwa na changamoto ya kutoheshimu sheria na katiba za nchi kutokana na sheria hizo kuwa na mapungufu ambayo yanasababisha viongozi hao kutowajibishwa...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Chalamila atangaza uuzaji viwanja Mabwepande-Kinondoni

    sema Serikali imeshapima viwanja zaidi ya 2274. -Awataka wale wote waliovamia na kujenga kulipia viwanja hivyo mara moja kwa kuwa wamepunguziwa bei. Soma Pia: RC Chalamila afafanua video inayo trend aliyosema "Kama hutaki kununua Gloves kajifungulie nyumbani" Kufuatia maelekezo ya Rais wa...
  9. Enthusiastic

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa acheni kuwachonganisha watoa huduma za afya na wananchi

    Kwa sababu watanzania wengi ni wajinga, wamezoea kudanganywa, wanadanganyika, wanapenda kudanganywa na hawapendi kuambiwa ukweli. Kumekuwa na changamoto ya sera ya afya inayotaka huduma za uzazi na za watoto chini ya miaka mitano kushindwa kutekelezwa ipasavyo. Mimi nataka kuchangia kama...
  10. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa Ukakasi wa Kauli za RC Chalamila Mnyonge Mnyongeni Ila Haki Yake Mpeni, Waafrika Tunapenda Kulelewa Mpaka Imekuwa Ulemavu

    NCHI INAZAMA KWA KUKUMBATIA UJINGA Je, umewahi kujiuliza kwa nini nchi hii haipigi hatua licha ya kuwa na rasilimali, amani, na nafasi za kujikwamua? Sababu iko wazi: tunakumbatia ujinga na kusambaza mzigo wa maamuzi yetu mabaya kwa wengine. Mtu anataka kondomu afadhiliwe, akishindwa kuitumia...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche amchana RC Chalamila, kisa kauli ya mjamzito anayegoma kununua gloves, adai wamejisahu kwasababu ya shibe ya kijinga

    Wakuu Makamu Mwenyekiti wa Chadema (bara), John Heche amlipua RC Chalamila kwa kauli yake iliyozua gumzo kuhusu Mama Mjamzito aliyempigia simu na kumweleza changamoto ya ukosefu wa Gloves hospitali. Soma, Pia: RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai...
  12. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania LHRC: Chalamila achuliwe hatua za kinidhamu kwa kauli ya kutweza utu wa Mwanamke

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa wito kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kumchukulia hatua za kinidhamu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila kutokana na kauli yake anayodaiwa kuitoa hivi karibuni ambayo wamedai kuwa inatweza utu wa...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Kuhusu hatma ya RC Chalamila na kauli zake chafu dhidi ya wanawake wajawazito tusubiri ugeni uliopo Dar uondoke

    Sasa sio wakati mzuri mama yupo bize na wageni wanaomiminika Dar kwa ajili ya mkutano wa viongozi wa Africa wa nishati. Baada ya hapo mbivu na mbovu za Chalamila zitajulikana, hasa kuelekea wikiendi.
  14. E

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila alikosea na alipaswa kuomba msamaha sio kujieleza

    Habari JF , leo katika pitapita zangu nimekutana na kauli iliyozua maswali mengi sana kutoka kwa RC Chalamila , kwa ataeshindwa kununua gloves akajifungulie nyumbani . Kimsingi inawezekana ni kauli sahihi katika mambo mengine ya afya lakini katika suala la uzazi ambalo lina faida kwa Serikali...
  15. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Nasimama na Chalamila mimba sio dharura. Miezi tisa ulitakiwa kujipanga

    Unabeba mimba siku ya Valentine ukijua kabisa December hutoboi. Weka hata buku kila siku, Kuna vigogo waeili waliofariki nwaka jana waneacha watoto wawili tu kila mmoja. Wewe choka mbaya unazaa kila mwaka.
  16. President of China

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila aongoza wananchi kufanya usafi - Dar es salaam

    Na Mwandishi Wetu -Asema Tanzania inaingia kwenye historia nyingine ya kuwa mwenyeji wa Mkutano mkubwa wa Marais wa Afrika -Atoa taarifa ya kufungwa kwa baadhi ya barabara siku chache ambazo ugeni utakuwa katika Mkoa huo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Januari 25, 2025...
  17. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Dar: Morocco na Mwenge kujengwa barabara za Juu. RC Chalamila ataka kazi ifanyike Mchana na Usiku

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amemtaka Mkandarasi anayejenga barabara kutoka Mjini kati Ohio hadi Mwenge na Tegeta, kufanya kazi Usiku na Mchana ili kuhakikisha Ujenzi unakamilika mapema. Ameyasema hayo leo tarehe 15 Januari wakati alipotembelea ujenzi wa barabara ya Mwendo kasi awamu ya nne...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania VIDEO: RC Chalamila akicheza na Simba bila uoga, unaweza kujaribu?

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila katika ukurasa wake wa Instagram ame-share video fupi ikimuonyesha akifanya mazoezi na Simba wanaofugwa katika pori la akiba la Mabwepande jijini Dar es Salaam.
  19. Adharusi

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila Jeuri kwa watu wenye kipato cha chini imezidi sasa, mamlaka ya uteuzi ikiendelea kumlea watavuna wote

    https://www.youtube.com/shorts/e-h8zzRwB44?feature=share RC Chalamila nazani madaraka yamemlevya ..amekua akiwadharau sana watu wa kipato cha chini ,hana lugha mzuri kundi ili la watanzania wenye kipato cha chini .amewashambulia sana wanaume wauza uduvi na kuwaambia wataolewa . Kumbuka...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Hajatekwa, amejipoteza mwenyewe

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akizungumza kwenye sherehe za kuweka Wakfu jengo la Ibada la Kanisa la Waadventista wa Sabato Magomeni, leo Disemba 15, 2024. "Mkoa wa Dar es Salaam uko salama, hizo habari zinazosambaa za mtu kutekwa sio za kweli na hivi karibuni mtasikia wenyewe...
Back
Top Bottom