rc chalamila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia kulihutubia Taifa kupitia mkutano wa wazee wa Dar es Salaam kesho Desemba 2, 2025

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa. Amesema ''Kutokana na Mkoa wetu kuendelea kurejea katika hali yake ya amani Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
  2. Inside10

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 RC Chalamila: Kama Mtu Hamuoni Ndugu Yake Afike Polisi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema wapo watu ambao wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa uchunguzi kutokana na vurugu zilizotokea siku ya uchaguzi na kueleza kama kuna mtu hamuoni ndugu yake, afike polisi na kutoa maelezo ambapo atasaidiwa kumpata ndugu yake.
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Vituo vya mafuta vifunguliwe na kutoa huduma

    Leo nimekutana na baadhi ya vitu vya mafuta barabara ya Bagamoyo vipo wazi kwa vile tu ambavyo havikupata madhara, lakini hata bei ya mafuta imendelea kusalia ileile ilikuwepo awali kabla ya maandamano! ================ Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Rc Chalamila amezungumza na waandishi wa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Day 5: RC Chalamila asema hakuna aliyeuawa na Polisi. Asema watu kufa ni jambo la kawaida

    RC Chalamila leo alipata nafasi ya kupokea simu za wananchi huku akiwapoza kuwa haki ya usalama wa jiji ni shwari. Aidha, amesema Polisi na Vyombo vya Usalama hawajaua mtu katika maandamano yaliyotokea. Ameongeza kuwa watu kufa ni jambo la kawaida. Katika simu alizokuwa anapokea, mama mmoja...
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Chalamila: Vijana wachache ubungo wamejaribu kufanya vurugu ila tupo imara kuliko jana

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameeleza kuwa hali ya amani na utulivu inaendelea kuimarishwa jijini Dar es Salaam na kueleza kuwa vurugu kidogo zilizojaribu kutokea katika eneo la Ubungo, zimedhibitiwa
  6. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Chalamila "maandalizi kuelekea oktoba 29 yamkamilika" |ahimiza wananchi kupiga kura

    Kuelekea Uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani Oktoba 29, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Oktoba 27, 2025 amesema mpaka sasa Maandalizi yote kwa ajili ya zoezi hilo muhimu yamekamilika kwenye vituo vya Upigaji kura. RC Chalamila ametoa kauli hiyo leo alipokuwa...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Buyobe: Kamishna wa ardhi Dar hakutakiwa kubaki ofisini baada ya hili alilotamka RC Chalamila

    Kupitia Ukurasa wake wa X (Twitter), Fortunatus Buyobe ameitag taarifa ya SwahiliTimes kuhusu Mjane kurejeshewa umiliki wa nyumba aliyoilalamikia hivi karibuni, kisha Buyobe akaandika: Kamishna wa ardhi mkoa wa Dar es Salaam hakutakiwa kubaki ofisini baada ya hili. Huyo aliyekuwa anamtoa...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dar es Salaam kuanzisha ujenzi wa Shule za Ghorofa kukabiliana na msongamano wa Wanafunzi

    Katika juhudi za kukabiliana na ongezeko la idadi ya watu katika Mkoa wa Dar es Salaam, uongozi wa mkoa huo umeamua kuanza rasmi ujenzi wa shule za ghorofa na kuachana na ujenzi wa shule za majengo ya kawaida ya chini. Kauli hiyo imetolewa leo, Septemba 16, 2025, na Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila atoa Mil. 100 kuwasaidia Wafanyabiashara wa Kawe baada ya Moto

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amefika kwenye soko la Kawe ambalo limeteketea kwa moto jana usiku na kuahidi kuwapa wafanyabiashara Shilingi Mil. 100 kama sehemu ya kufidia sehemu ya hasara waliyoopata
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Chalamila: CCM Mnapaswa kuwa Mabalozi wazuri wa Demokrasia

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amesema kwa mujibu wa ratiba ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi mikutano yote ya hadhara katika mkoa huo imewekwa wazi katika viwanja na tarehe za mikutano kuanzia tarehe iliyotangazwa na tume hadi karibu na uchaguzi Mkuu RC Chalamila ameyasema...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Chalamila: Atakayetujaribu, tutafanya kweli. Hakuna atakayetikisa Amani ya Taifa hili

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akizungumza kwenye ufunguzi wa Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) Ubungo, leo tarehe 1 Agosti, 2025 amesema; "Mhe. Rais, wewe unagombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, sisi vijana wako tunakuombea kila la heri na...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Askofu Maboya alipendekeza niwe Shemasi wa Kanisa la Mwamposa

    RC Chalamila kwenye Uzinduzi wa Kanisa la Mwamposa amesema; Mwaka jana Askofu Maboya alipendekeza awe Shemasi wa moja ya Kanisa la Mwamposa
  13. S

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Nikupe pole Rais Samia, wapo watu kazi yao kufitinisha Serikali na familia yako kwa maslahi binafsi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila asema kuwa kuna watu wachache kwenye mitandao wanaacha mambo ya msingi na kuishambulia familia ya Rais, alitaka kanisa liombe ili adui ashindwe. "Wapo watu katika Taifa kazi yao ni kuzungumza uongo unaofitinisha Serikali, Unaofitinisha Familia na...
  14. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Chalamila: Miradi 36 yenye thamani ya zaidi ya Tsh bilioni 79 kupitiwa na mwenge wa uhuru Dar

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Altbert Chalamila amesema Mwenge wa Uhuru 2025 unaokimbizwa katika Mkoa huo kwa umbali wa KM 35.03. Amesema hayo wakati akipokea Mwenge wa Uhuru, ukitokea Mkoa wa Lindi leo Juni 1, 2025 katika Stendi ya Mabasi ya mwendo kasi Mbagala Wilaya ya Temeke Jijini...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Wamachinga barabara ya Soko la Kariakoo wapewa wiki mbili kuondoka

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametoa wiki mbili kwa wafanyabiashara ndogondogo walio katika barabara za kuingia soko kuu la Kariakoo kuondoka. Hatua hiyo inakuja ikiwa ni kuelekea ufunguzi wa soko hilo, lililokuwa katika ukarabati tangu Julai 10, 2021 baada ya kuungua...
  16. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Naona RC Chalamila alicho kuwa anatamani kitokee kimetokea na amefurahi kabisa?

    Naona RC chalamila alicho kuwa anatamani kitokee kimetokea na amefurahi kabisa. Anafurahia kuona watanzania wasio na hatia wala silaha wanakamatwa, wanateswa , wanavunjwa miguu na kutupwa porini. Nchi hii kuwa na viongozi kama hawa tumefikia pabaya sana, ni heri tungekuwa na bucha za nyama za...
  17. Pfizer

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila Dar ni salama aeleza mafanikio na mipango ya maendeleo ya mkoa

    RC CHALAMILA DAR NI SALAMA AELEZA MAFANIKIO NA MIPANGO YA MAENDELEO YA MKOA -Afafanua maboresho makubwa ya miundombinu ya barabara na miradi ya kimkakati -Awataka wananchi kuendelea kuhamasishana umuhimu wa kulipa kodi -Awatoa hofu wananchi kuelekea uchaguzi Mkuu 2025 asema Serikali iko imara...
  18. Pfizer

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila kuwalipia nauli wana Dar Es Salaam 200 kushiriki betika Mbeya Tulia Marathon

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameyasema hayo leo April 15,2025 akiongea na waandishi wa Habari Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam wakati akikabidhiwa Jezi maalum ya kushiriki Betika Mbeya Tulia Marathon ambayo mwaka huu inatarajiwa kufanyika Mei 9 - 10, 2025 Jijini Mbeya...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila amtaka mkandarasi Barabara ya Ubungo - Kimara kuongeza kasi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar ea Salaam, Albert Chalamila amemtaka mkandarasi anaefanya upanuzi wa barabara ya Morogoro kuanzia eneo la ubungo mataa hadi kimara kuongeza kasi ya ujenzi wa barabara hiyo ili kupunguza adha ya msongamano wa magari kwa wananchi RC Chalamila ameyasema hayo Aprili 10,2025...
  20. Pfizer

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Chalamila: Wananchi acheni kulalamika, kuna fursa nyingi kuelekea AFCON 2027 Tanzania

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila , amesema kuna mabadiliko ya maendeleo makubwa sana Dar Es salaam ya Miundombinu kulinganisha na Mikoa mingine. Hivyo kawataka Wafanye kazi kuliko kulalamika tuu. Ameyasema hayo leo tarehe 10 Aprili 2025 katika Uwanja wa TP uliopo Sinza wakati...
Back
Top Bottom