KILA RAIS WA MAREKANI LAZIMA AONDOKE NA KICHWA KIMOJA
Unapokuwa rais wa nchi yoyote ile ni kwamba unafuata kile ambacho watu fulani wanataka ukifuate, unaweza kuja na mipango yako na isifanye kazi.
Unawekewa mkakati kwamba tunakuweka wewe ila tunataka ufanye hili na lile, unatakiwa kufuata...
Nimeshangaa kwenye mechi ya Serengeti boys na Senegal watu wanaimba nyimbo za kumsifia mama!
Upande wa Senegal hawakuwa wakimuimba Rais wao Faye na wameshinda, Kenya huwa wanafanya vizuri sana kwenye michezo mingi duniani lakini huwezi kusikia wakiimba nyumba za kumsifu Uhuru au Ruto, DRC Congo...
■Atahutubia jukwaa la kimataifa la uchumi la St. Petersburg
■Anatarajiwa kushiriki kongamano la uwekezaji kati ya Tanzania na Urusi
■Atatunukiwa shahada ya heshima, kunadi fursa za dira 2050
Rais wa Singapore, Tharman Shanmugaratnam, anatarajiwa kufanya ziara ya kitaifa nchini Tanzania kuanzia Juni 8 hadi 10, 2026, kwa mwaliko wa Rais Samia Suluhu Hassan. Ziara hiyo itaandika historia kama ziara ya kwanza kabisa ya Rais wa Singapore nchini Tanzania tangu mataifa hayo yaanzishe...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati akipokea heshima ya wimbo wa Taifa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Vnukovo, Jijini Moscow kwa ajili ya Ziara ya Kitaifa nchini Urusi tarehe 02 Juni, 2026.
Soka na CCM ni mbingu na aridhi
Wakati mashabiki wa CCM wakihitaji kupelekewa maloli ya bule vijijni kimokela huko na mbagala kwa msewe, Boko na Magomeni mapipa ili kuja kujaza viwanja vya Jangwani, Mashabiki wa soka hutoka Mwanza, Arusha, mbeya, kigoma, Kenya, Congo na hata ulaya kwa pesa zao...
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Mayungi, ameshiriki zoezi la usafi katika Mkoa wa Mbeya pamoja na Balozi wa Mazingira Tanzania, Michael Msechu, vijana wa vyuo, wafanyabiashara wa eneo la Kabwe Standi, viongozi wa chama pamoja na madiwani.
Zoezi hilo limeendelea kuhamasisha...
Dr.Zack.
June 2,2026.06:54AM.
Baada ya Serikali ya Tz jana kutangaza kuwa Mh Rais Samia Suluhu Hassan kesho June 3,2026 anaanza ziara ya siku mbili Nchini Urusi ilinifurahisha sana.
Hii inaweza kuwa ni ziara bora zaidi na ya kimkakati sana tangu Mh Rais Samia Suluhu Hassan aingie Ikulu baada...
Kwa sasa, kama taifa, tuna tatizo kubwa tu.
Nalo ni uchawa. Uchawa umeondoa uwezo wa kuthubutu na kufikiri.
Kujipendekeza kumechukua nafasi ya kila kitu.
Utu wetu umedhalilishwa na kuhujumiwa.
Je nini kifanyike kuondoa kadhia hii ili baadaye asitokee tena rais mfuga na mpenda uchawa?
Nawasilisha.
TAARIFA KWA UMMA
Kesho tarehe 1/6/2026 Mahakama Kuu Masijala ya Kigoma mbele ya Jaji Rwinzile itasikiliza maombi ya Marejeo (Judicial Review) yaliyofunguliwa na
1. Buberwa Ephraimu Kaiza
2. Joseph Daudi Mabugo
Maombi hayo yanahusu uhalali wa Tume iliyoundwa na Mh. Rais ya Kuchunguza Ujinai...
Ni vigumu kuaminika kuwa uliguswa, kuumizwa, kustushwa au kuchukizwa na matukio ya Oktoba 29, 2025. Ni vigumu kufanya watu wasadiki kuwa wewebkama Rais wa nchi yetu hujui kilichotokea au hata kufanya jitihada za kutaka kujua...
- hujajaribu kukutana na wahanga wa matukio yale...hujajaribu kujua...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye kikao cha kupokea Taarifa ya Sensa ya Wanyamapori iliyofanyika nchi nzima mwaka 2024 – 2025 iliyowasilishwa na Waziri ya Maliasili na Utalii Dkt. Ashatu Kijaji kupitia Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori...
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imetoa zawadi ya sh. milioni 500 kwa Timu ya Taifa ya Tanzania ya vijana chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) kwa kufanikiwa kutinga hatua ya fainali ya mashindano hayo na kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania kimataifa.
Dkt. Mwigulu amesema hayo...
Salaam
Rais Mpendwa Donald Trump, wewe ni mtu unayesikiliza watu wote kwani hubagui.
Nilipenda ulivyomfundisha adabu aliyejipachika Urais Venezuela bwana Nicolás Maduro. Isiishie kwa Maduro tu, njoo na Tanzania Baba, Yupo mwingine kajipachika
Huyu Mzanzibari Samia akiwa Tunguu Zanzibar...
Makamu wa Rais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili Chato kumwakilisha Rais Samia katika Mazishi ya Marehemu Bi. Suzana Magufuli Mama wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
Ila mnaielewa hii picha? Ni kwa wenye akili tu.
Rais wa Senegal ametoa msamaha kwa mwandishi wa habari, Rene Capain Bassene, aliyekuwa amehukumiwa kifungo cha maisha jela kuhusiana na mauaji ya watu 14 yaliyotokea mwaka 2018 katika mkoa wa Casamance.
Mnamo Januari 2018, watu 14 waliokuwa wakikata mbao (loggers) walivamiwa na kuuawa katika...
Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Amekuwa akificha barua za uhamisho zinazotoka kwa OR Utumishi kwa baadhi ya watumishi ambao ana chuki nao.
Na pia amekuwa akifanya Hamisho za ndani kwa uonevu pindi anapopishana na watumishi hao.
Mfano, Kuna dereva na Transport officer wamepelekwa...
Anonymous
Thread
barua
binafsi
chuki
kuficha
kuhamisha
mabaya
manispaa
matumizi
matumizi mabaya
mkurugenzi
ofisi
ofisi ya rais
ofisi ya rais utumishi
or tamisemi
rais
shinyanga
tamisemi
uhamisho
utumishi
zake
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Viongozi wa Vyama vya Siasa nchini, waliofika Ikulu jijini Dar es Salaam, Oktoba 15, 2013.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Ikulu kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni, Freeman Mbowe mara baada ya mazungumzo nao leo ikulu...
Pamoja na kuwa bado utakuwa na kibarua kigumu kuhusu yaliyotokea October 29th 2025, bado unaweza kuonesha remorse and a road to a fresh start kwa yaliyotokea 29th October 2025 kwa kumwachia Lisu as a good gesture to a road to truth, accountability and finally reconciliation.
Hao wanaokushauri...