rais

  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ateua mtendaji taasisi ya utafiti wa madini

    Rais John Magufuli RAIS John Magufuli, amemteua Dk. Mussa Budeba, kuwa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST). Anaripoti Faki Sosi … (endelea) “Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi imeeleza kuwa, uteuzi wa Dk. Budeba umeanza leo...
  2. britanicca

    JamiiForums Tanzania Je, Rais wa Tanzania ipo siku atakuwa na la Kujibu kwenye mamlaka zijazo juu ya Kupotea kwa Ben Saanane?

    Nauliza swali hili very technically Niko Tiyari niendelee kukaa uhamishoni huku lakin na on a waandishi wa habari na watu wanaopaswa kuuliza ni waoga kupitiliza Saa Nane kwa Maneno yake Mwenyewe alisema "Nimetumiwa ujumbe baada ya kukosoa elimu ya mtu mkubwa na nikaambiwa andika Ben Saanane...
  3. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Miaka 4 ya Kwanza: Rais Magufuli - Kipimo Mara Mbili cha Ujasiri na Uthubutu

    Na. M. M. Mwanakijiji Ni dikteta uchwara? Labda! Ni bosi mkali mwenye ukarimu? Inawezekana! Ni kiongozi Mwafrika kwenye utofauti fulani hivi? Bila ya shaka! Kiongozi ambaye Watanzania kwa muda mrefu walikuwa wanamtamania na hatimaye kumpata? Ndiyo! Tangu kuchaguliwa kwake miaka minne iliyopita...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Rais, tengua hii amri ya Makonda kuhusu unywaji pombe, inatesa wakazi wa Dar

    Ni mara ya pili sasa nakuja DSM bado nakutana na amri tata ya Mkuu wa Mkoa wa DSM ya katazo la unywaji wa hadi saa kumi jioni. Kwakweli wenye kufaidi hili katazo ni Polisi kwani wamekuwa wakitesa wananchi hasa siku ya Ijumaa kwani wakikuchukua usipotoa laki mmoja utakaa hadi Jumatatu.Kwakweli...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Kwa wale msiojua Bunge limebakisha mikutano miwili tu Februari na Aprili 2020 kabla Rais Magufuli hajalivunja rasmi

    Spika wa bunge mh. Ndugai amesema Bunge la 11 ambalo yeye ndio analiongoza limebakiza mikutano miwili tu yaani Februari na Aprili 2020 kabla halijavunjwa rasmi na Rais Magufuli. Spika Ndugai alikuwa anaweka uelewa sawa kwa wananchi ili tuweze kwenda pamoja kama kuna jambo limesahaulika basi...
  6. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Magufuli anataka kuigeuza Tanzania kuwa mali yake binafsi?

    Nimekuwa nafuatilia mwenendo wa utawala huu wa awamu ya tano na nimekuja na "conclusion" kuwa Rais Magufuli anataka kuigeuza nchi hii ya Tanzania kuwa Mali yake binafsi na yeye anaamini kuwa atakalosema yeye ndiyo sheria na litatekelezwa! Tunajua wazi kuwa Rais Magufuli kabla hajaingia...
  7. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Zitto achambua kitabu cha Mh. Rais Mstaafu Mkapa

    Aidha, alisema kitabu hicho kimempa majawabu ya baadhi ya mambo ambayo alikuwa akijiuliza wakati ule. Kwa mfano suala la ubinafsishaji wa mashirika ya umma na namna ulivyotekelezwa. Kwa mujibu wa uchambuzi wake wa kitabu hicho kilichozinduliwa juzi jijini Dar es Salaam, alisema Mkapa ameandika...
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wananchi wa Uganda wasaini waraka ili Rais Museveni afikishwe kwenye Mahakama ya ICC

    ZAIDI ya wananchi 800 wa Uganda wamesaini waraka wa kushinikiza kufikishwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC, Rais Yoweri Museveni wa nchi hiyo. Kampeni hiyo inayokusudia kukusanya kwa takriban saini milioni mbili inaongozwa na kinara wa upinzani nchini humo Dakta Kizza Besigye...
  9. Mystery

    JamiiForums Tanzania Tunajifunza nini kwa yanayotokea nchini Marekani kwa Rais aliyeko madarakani kufunguliwa mashitaka?

    Wote ni mashahidi kwa yanayotokea nchini Marekani hivi sasa kwa Bunge la nchi hiyo kuanza mchakato wa kumfungulia mashtaka Rais wa nchi hiyo kwa matumizi mabaya ya madaraka. Kwa kifupi katika kuelezea kuhusu sakata hilo ni kuwa inadaiwa kuwa Rais Trump alitumia vibaya madaraka yake kwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Asingekuwa Rais Magufuli barabara zetu zingekuwaje kwa sasa?

    Jana tarehe 12/11/2019 katika uzinduzi wa kitabu kilichoandikwa na Rais Mstaafu Benjamin W. Mkapa, Rais Magufuli alisema kati ya mambo ambayo atamkumbuka Mzee Mkapa ni lile alilokubali wazo lake la kuanziswa kwa Mfuko wa Barabara (Road Fund) licha ya sehemu kubwa ya Baraza la Mawaziri kukataa...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanza mazungumzo kwa ajili ya kununua ndege nyingine ya mizigo

    Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe amesema serikali imeshaanza mazungumzo ya namna ya kupata ndege ya mizigo kwaajili ya kubeba mazao ya mbogamboja kuyepaleka nje ili kuwasaidia wakula. Ametoa kauli hiyo bungeni leo Jumatano Novemba 13, alipokuwa akijibu swali la Mbunge...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Seneta mmoja wa upinzani amejitangaza kuwa Kaimu Rais wa Bolivia

    Siku chache baada ya Rais wa Bolivia, Evo Morales kujiuzulu naibu Spika wa Bunge la Seneti la nchi hiyo, Jeanine Anez amejitangaza kuwa kaimu Rais katika kikao cha Bunge ambacho kilikuwa na idadi ndogo ya wabunge. Wabunge wa Bolivia walikuwa wameitwa kupitisha uamuzi wa Morales kujiuzulu na...
  13. pantheraleo

    JamiiForums Tanzania Mshituko: Rais Magufuli, agoma kumsalimia kwa mkono Mkuu wa Mkoa wa Dar ndugu Paul Makonda

    Heshima wakuu, Katika hali ya kushangaza na kushitua, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, J Magufuli, amegoma katakata kutabasamu wala kumpa mkono rafiki na mtumishi wake mpendwa ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mheshimiwa Paul Makonda. Je, rais Magufuli ameshashitukia yale mambo...
  14. Boniphace Kichonge

    JamiiForums Tanzania Mzee Benjamin Mkapa asherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuzindua kitabu chake cha 'My Life, My Purpose'

    Wadau. Leo Novemba 12,2019 Mzee Wetu na Rais Mstaafu Wa Awamu Ya Tatu Benjamin Mkapa Anatimiza Miaka 81 ya Kuzaliwa. Tukio Hilo linaambatana na sherehe Mubashara muda Huu wa Uzinduzi wa Kitabu Chake Cha "My Life, My Purpose" Hongera Sana Mzee Wetu. ---- Benjamin William Mkapa is a...
  15. Influenza

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuzindua Kitabu cha maisha ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa

    Rais Magufuli kesho anatarajiwa kuzindua Kitabu cha maisha binafsi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Benjamin William Mkapa.
  16. J

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Serikali yanunua ndege ili kuutangaza utalii wa nchi yao

    Ndege mpya ya Uganda Airline inayomilikiwa na Serikali ya Uganda leo imezindua rasmi safari zake za kwenda Mombasa Kenya kwa kile kilichoelezwa kuwa kutangaza na kuimarisha sekta ya utalii. Msemaji wa Uganda amesema sasa ndege za shirika hilo zinamilikiwa na Serikali tofauti na hapo awali...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli ndio Rais wa mwisho kutawala kupitia CCM

    Nyakati za CCM kuendelea kutawala nchi hii zimefika mwisho na yote haya mnayoyashuhudia leo hii ni viashiria tu vya anguko la CCM katika siku zijazo. Kelele za wana-CCM majukwaani, mitandaoni, Bungeni na kwingineko, ni sawa tu na mateke ya farasi anaekata roho hivyo hayaepukiki na watarusha...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa Bolivia ajiuzulu na kutanganza uchaguzi mpya kutokana na machafuko nchini humo

    November 10, 2019 La Paz, Bolivia Jeshi lamlazimisha Rais kujiuzulu Bolivia Rais wa Bolivia Mhe. camarade Evo Morales ameachia ngazi bila kutegemea leo jumapili na kutangaza kujiuzulu kufuatia mbinyo wa kisiasa baada ya kudai kuwa ameshinda uchaguzi kwa kipindi cha nne, uchaguzi na matokeo yake...
  19. technically

    JamiiForums Tanzania Jinsi Utawala wa Rais Magufuli unavyoua ushawishi wa vijana ndani CCM

    Mwangalie Polepole wa utawala wa Kikwete na wa utawala huu, Mwangalie Nape alivyokuwa na ushawishi wakati akiwa Katibu Mwenezi na sasa, Mwangalie Mwigulu yule na huyu anayemshukuru Magufuli baada ya kupata ajali, Mwangalie January Makamba wa kipindi cha Kikwete na huyu anayeenda akiburuza miguu...
  20. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Serikali hii ya Rais Magufuli inawahofia mno wapinzani?

    Nimekuwa nikiwasikiliza wanasiasa wa Chama tawala cha CCM, katika majukwaa ya kisiasa na nilichokishuhudia ni viongozi hao kujigamba kuwa, vyama vya upinzani vya nchi hii vipo mahututi na vinasubiri kuzikwa tu, kutokana na juhudi kubwa inayofanywa na Mheshimiwa Rais ya kufanya maendeleo...
Back
Top Bottom