Je, Rais wa Tanzania ipo siku atakuwa na la Kujibu kwenye mamlaka zijazo juu ya Kupotea kwa Ben Saanane?

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Nauliza swali hili very technically

Niko Tiyari niendelee kukaa uhamishoni huku lakin na on a waandishi wa habari na watu wanaopaswa kuuliza ni waoga kupitiliza

Saa Nane kwa Maneno yake Mwenyewe alisema

"Nimetumiwa ujumbe baada ya kukosoa elimu ya mtu mkubwa na nikaambiwa andika Ben Saanane andika Lakin ipo siku utajikuta mwenyewe na chatu"

Hii uwa inanifikirisha ni ama watu walimtaim president wakafanya uhuni wa kumpoteza SAA nane baada ya kuhoji PHD wakampoteza ionekane Suspect ni yule alozungumziwa?

Yaan watengeneze mazingira kama walivyoyatengeneza kwa Lissu baada ya rais kusema kwamba "Tunapigana vita huyu mtu anageuka kupiga front, huyo ndo anauwawa"

Banda ya napo Risasi

Nauliza Ipo siku Raisi atawajibika kwa kupotea kwa Saa Nane, ama kwenye Taasisi au kwenye kuyakili makosa ya uongozi wake?

Britannica
 
Atajibu akistaafu kama alivyojibu mwenzake mstaafu Ben kuhusu mauaji ya kule pemba, atasema haya; ''nasikitika kilichotokea katika uongozi wangu ila sikuwepo katika tukio wakati yanatokea''.
 
Nauliza swali hili very technically

Niko Tiyari niendelee kukaa uhamishoni huku lakin na on a waandishi wa habari na watu wanaopaswa kuuliza ni waoga kupitiliza

Saa Nane kwa Maneno yake Mwenyewe alisema

"Nimetumiwa ujumbe baada ya kukosoa elimu ya mtu mkubwa na nikaambiwa andika Ben Saanane andika Lakin ipo siku utajikuta mwenyewe na chatu"

Hii uwa inanifikirisha ni ama watu walimtaim president wakafanya uhuni wa kumpoteza SAA nane baada ya kuhoji PHD wakampoteza ionekane Suspect ni yule alozungumziwa?

Yaan watengeneze mazingira kama walivyoyatengeneza kwa Lissu baada ya rais kusema kwamba "Tunapigana vita huyu mtu anageuka kupiga front, huyo ndo anauwawa"

Banda ya napo Risasi

Nauliza Ipo siku Raisi atawajibika kwa kupotea kwa Saa Nane, ama kwenye Taasisi au kwenye kuyakili makosa ya uongozi wake?

Britannica
Inatia hasira sana hauwezi kumuua mtu kisa kuhoji phd ya :"mtu furani",hauwezi kumpiga risasi lissu kisa kutafuta documents za "akashia",aiseee ningependenda haki ya ben,azory zitendeke hata baada ya miaka 100.

Kwa mujibu wa Zitto alipofuatilia swala la ben katika ngazi zote polisi walimjibu Zitto sie tumefikia hapa katika ufuatiliaji ila mbele inaonekana amechukuliwa na "TEETH" ambapo sie hatuwezi kwenda.

Ben hakustahili kifo eti kwa kuhoji Phd ya mtu furani,mbona huyo mtu furani anatukana watu hovyo na kuwaita vilaza?? Bashite na mtu furani hivi mnadhani mtaishi milele? Nina hasira sana juu ya kifo cha Ben ninaamini lazima waje wapay the price,na pia wazazi wa Ben wapole sana yaani mwanao anauliwa halafu wakekaa kimya tu,wao wanamiliki mitutu na walinzi masaa 24 wamewazunguka lakini "Mizimu" haiangalii hivyo vitu ebu wazazi wa Ben jaribuni kustaki kwa Mizimu kuwateketeza wote waliotia mkono juu ya kifo cha BEN.
 
Wewe umethibitisha kifo chake au unaropoka tu? Washtaki kwa mizimu? Ngoja niishie hapo

Ujinga kuongelea jambo lilelile miaka nenda miaka rudi. Ni wajinga pekee wanaobakia kwenye tukio lilelile . Ni wajinga pekee wanaobakia kwenye msiba miaka nenda miaka rudii.
Utaomboleza misiba mingapi? Kama huyu unayeomboleza miaka 4?
 
Wewe umethibitisha kifo chake au unaropoka tu? Washtaki kwa mizimu? Ngoja niishie hapo
Kifo cha Ben kimedhibitishwa na waziri wenu mtoa macho kalamaganda kibudu ,nenda k/koo kaulizie Tego la ndizi linavyofanya kazi ,majambazi waliiba dukani,mwenye duka alishitaki kwa mizimu walikatika mmoja mmoja.

We endeleea kuishia hapo hapo tu maaana haujui kitu ya zaidi ya kusifu na kuabudu awamu yako ya 5.
 
Nauliza swali hili very technically

Niko Tiyari niendelee kukaa uhamishoni huku lakin na on a waandishi wa habari na watu wanaopaswa kuuliza ni waoga kupitiliza

Saa Nane kwa Maneno yake Mwenyewe alisema

"Nimetumiwa ujumbe baada ya kukosoa elimu ya mtu mkubwa na nikaambiwa andika Ben Saanane andika Lakin ipo siku utajikuta mwenyewe na chatu"

Hii uwa inanifikirisha ni ama watu walimtaim president wakafanya uhuni wa kumpoteza SAA nane baada ya kuhoji PHD wakampoteza ionekane Suspect ni yule alozungumziwa?

Yaan watengeneze mazingira kama walivyoyatengeneza kwa Lissu baada ya rais kusema kwamba "Tunapigana vita huyu mtu anageuka kupiga front, huyo ndo anauwawa"

Banda ya napo Risasi

Nauliza Ipo siku Raisi atawajibika kwa kupotea kwa Saa Nane, ama kwenye Taasisi au kwenye kuyakili makosa ya uongozi wake?

Britannica
Leo mada hii imekuja bila ya kuwepo "Anniversary" wala nini - kulikoni?

Hakika, kupotea kwa Kijana Saa Nane, hata watake asahaulike, hilo halitatokea.

Itabidi tu siku moja watu wajibu maswali magumu.

Ushahidi wa kutosha upo.
 
Back
Top Bottom